Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Lini..?Yesu akija
Inaendelea sasa wapi..? Yesu anafanya hukumu gani...?? Hii umetolea wapi...??bali anatekeleza hukumu ambayo inaendelea sasa
Mlango gani...?. Jisalimishe kwa Yesu kabla mlango haujafungwa ndugu.
Huwezi kuelewa siri hii ya ukombozi kupitia kwa Yesu Kristo. Yesu ni Mungu ndiyo, na ni mwandamu pia ndiyo maana alitwaa mwili huu unaokufa, kwani Mungu hapatikani na mauti,Lakini Mungu alimfufua katika wafu. Ndiyo maana Paulo anasema yu hai siku zote atuombee.Yesu ni Mungu....Mungu anamuombea nani.. na kwa nani...???
Naona ssa unakuja katika msitari. mwanzo ulikuwa unakataa kuwa Hakuna hekalu mbinguni, Biblia imekujibu kuwa hekalu liko mbinguni na ndio lile Musa alionyeshwa mlimani. Ukaja na Hoja kuwa Yesu ni Mungu hivyo anaomba kwa nani? Biblia imekujibu kuwa Yesu ni Kuhani wetu Mkuu akituombea kwa Baba. Naona sasa umeng'an'gana na hukumu ya upelelezi. Yesu Yuko katika hekalu la mbinguni akifanya huduma ya upatanisho kabla ya kurejea duniani kuwachukua wale waliotubu na kumuamini, hao ndio waliomwamini na kutubu dhambi zao kupitia kwa Yesu Kristo. Hii ndio huitwa hukumu ya upelelezi, matendo yetu wote yanachunguzwa ikiwa ni mema au mabaya, kama tumemkiri Yesu Kristo ama tumemkataa. Lengo la hukumu hii, ni kuwabagua kondoo na mbuzi. Hii huduma inaendelea upende usipende na kadri mnavyozidi kumkataa Yesu Kristo na huduma yake hii, ndivyo mnavyojitenga naye. Mafungu ya wapi pameandikwa yapo tele nilishaweka humu pitia kwa faida yako na wenzio.Nataka uniambie ni wapi pameandikwa Yesu anafanya hukumu ya Upelelezi...? Ana mpelelezs nanni...?
Kazi aliyoifanya pale msalabani ilikuwa ni bure...?
Je bikra Maria ni miongoni mwa hawa wazee 24?B/Maria ni Mtakatifu hivyo....
Sio Bikira Maria Pekee, Watakatifu wote jukumu lao ni kutuombea....Soma Ufunuo 5:8 uone Wazee 24 , wakizunguka kiti cha Mwana Kondo(Yesu) wanafanya nini..?
Ngoja nikuandikie
Ufunuo 5:8
Hata alipokitwa kile kitabu, hao wenye uhai 4 na wazee 24, walianguka mbele za mwana kondoo, kila mmoja na kinubi na vitasa vya dhabu vilivyojaa manukato, ambayo ni MAOMBI YA WATAKATIFU
Hivyo ni wazi, watakatifu kazi yao ni kutuombea...Sasa sijui utapingana na hapo pia...
Kuna mtu mwingine aliyefanya ukombozi zaidi ya Yesu...? Ni nani huyo...?Huwezi kuelewa siri hii ya ukombozi kupitia kwa Yesu Kristo.
Hii kauli ilitumika kipindi Yesu akiwa hapa duniani....Kwasasa Yesu ni Mungu...Yesu ni Mungu ndiyo, na ni mwandamu pia
Yesu anakuombea kwa nani...?ndiyo maana alitwaa mwili huu unaokufa, kwani Mungu hapatikani na mauti,Lakini Mungu alimfufua katika wafu. Ndiyo maana Paulo anasema yu hai siku zote atuombee.
Mantiki ya huo mstari na nilichoandika umeelewa...?Je bikra Maria ni miongoni mwa hawa wazee 24?
Mstari gani...? Unafikiri mimi ni mwehu kukuliza uniambie wapi mbinguni inasemekana kuna Hekalu....?Naona ssa unakuja katika msitari.
Sio mwanzo tuu mpaka mwisho wa dunia hii nitakataa kuwa mbinguni hakuna hekalu....mwanzo ulikuwa unakataa
Unataka kuniambia mbinguni kuna miungu wa tatu..?kuwa Hakuna hekalu mbinguni, Biblia imekujibu kuwa hekalu liko mbinguni na ndio lile Musa alionyeshwa mlimani. Ukaja na Hoja kuwa Yesu ni Mungu hivyo anaomba kwa nani? Biblia imekujibu kuwa Yesu ni Kuhani wetu Mkuu akituombea kwa Baba.
Narudia tena MBINGUNI HAKUNA HEKALU...Yesu Yuko katika hekalu la mbinguni akifanya huduma ya upatanisho
Unaposema Yesu yupo anafanya upelelezi inamaana kazi iliyomleta hapa duniani na kifo cha Msalaba ilikuwa ni bure siyo...??kabla ya kurejea duniani kuwachukua wale waliotubu na kumuamini, hao ndio waliomwamini na kutubu dhambi zao
Ebu tuambie bwana mheshimiwa, martin Luther alifuta vitabu gani, vitaje maana philosophy ya martin Luther juu ya u protestant wote tumeisoma sasa wewe hayo mengine ya uongo umeyapata wapi? Ndio nyie mnabadilisha majina ili kutetea hoja yako ili wadau wakuonw unajua ili wafunguke na wewe ujitiw umesoma ili wakuone unajua, nandio nyie mnaopita mitaani eti mnasema Paulo mnafiki na Yale aliyoandika kwenye vile vitabu vyake nivya kubuni, soma sana kisha ondoa mahaba na unafiki utaelewa tuu.Ngoja wajuvi wa mambo waje..!!!
JamiiForums peleka hii Jamii Intelligence
Mafundisho ya Hukumu ya upelelezi ni.matokeo ya tafsiri Potofu ya neno la Mungu aliyofanya Bwana Hiram Edson, na fundishi hili ilikuwa ni kywafariji watu baada ya uongo wa kutokurudi kwa Yesu Oct 22, 1844..,. Hii ndio huitwa hukumu ya upelelezi, matendo yetu wote yanachunguzwa ikiwa ni mema au mabaya, kama tumemkiri Yesu Kristo ama tumemkataa. Lengo la hukumu hii, ni kuwabagua kondoo na mbuzi.
Kazi yote Yesu aliimaliza pale Msalabani....Ndio maana tunasema yote Yesu aliyamaliza pale Msalabani....Yesu alikufa msalabani ili kulipa deni la dhambi kwa niaba ya wanadamu wote ambao pasipo kifo cha Yesu Kristo sote tungeangamia milele. Sasa kazi yake anaikamilisha katika Hekalu la mbinguni,
Kitendo cha Wasabato, kupinga ufufuko wa Yesu na kusema Yesu kufa msalabani ni kazi bure, wasabato moja kwa moja siyo Wakristo...Kwa yeyote anyekataa ukweli huu, na huduma ya Yesu katika Hekalu la Mbinguni, huyo ndiye mpinga kristo aliyetajwa kwenye Biblia.
Tangu lini mwabudu sanamu akawa mwamuzi wa yupi awe mkristo na yupi asiwe mkristo? Roman Catholic Church ni mpinga Kristo, ndio maana hawamwamini Yesu bali humwamini Maria. Mambo ya Ukristo hayawahusu.Kitendo cha Wasabato, kupinga ufufuko wa Yesu na kusema Yesu kufa msalabani ni kazi bure, wasabato moja kwa moja siyo Wakristo...
Wasabato kuitwa cult sio kwa bahati mbaya...Mambo haya ya kina Hiram Edson ya kuoindisha maandiko ili kufarijiana ndio yanawaondoa ktk Ukristo..
Tangu lini mwabudu sanamu akawa mwamuzi wa yupi awe mkristo na yupi asiwe mkristo? Roman Catholic Church ni mpinga Kristo, ndio maana hawamwamini Yesu bali humwamini Maria. Mambo ya Ukristo hayawahusu.
Nimeuliza sanamu sio picha. Hivyo ni viwili tofauti. Na pia Je wakati wa kuomba Mungu natazama picha hizo?Nipe sababu ya wewe kuweka picha ya Baba, mama, Wewe, au ndugu kwenye album au frem...?
Kwanini sanamu iwekwe kanisani? Its a a simple question. Kama huwezi Jibu kaa Kimya. KUMSWALIA Mtume Sio Kumuabudu Mtume. Kuna tofauti kunwa Hapo.Good, umeshasema wameziweka kanisani... Ishu unaelewa kwanza maana ya kuabudu au unakurupuka usingizini??? Wenyewe wanasema wanaamini kwa Mungu mmoja aliyezifanya mbingu na nchi we unawaforce wanaabudu sanamu....kama kweli wanaabudu sanamu waje hapa waseme wenyewe...
Mbona wewe unamswalia mtume lakini hawakuingilii....Jaman ombeni neema ya kuijua kweli na kweli itawawek huru..
We jamaa acha zako, sanamu inapresent kitu na picha inapresent kitu, vyote sawa tu... Tofaut ni ndg sana matumiz yaleyale, moja ipo kwenye keny karatac flat moja ipo kwenye realy shape bt zte zmeganda hazchek wala hazinuni[emoji21] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimeuliza sanamu sio picha. Hivyo ni viwili tofauti. Na pia Je wakati wa kuomba Mungu natazama picha hizo?
Ninaandiko linalokataza kuchonga sanamu kwenye biblia nikupe?
Upeo wako ni mdogo sana.[emoji23] napoyexa mda kwa mtu ambae hajui tofauti ya sanamu na Picha [emoji115]We jamaa acha zako, sanamu inapresent kitu na picha inapresent kitu, vyote sawa tu... Tofaut ni ndg sana matumiz yaleyale, moja ipo kwenye keny karatac flat moja ipo kwenye realy shape bt zte zmeganda hazchek wala hazinuni[emoji21] [emoji3] [emoji3] [emoji3]