jaywacnza
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 998
- 1,162
Ndioooo.Upeo wako ni mdogo sana.[emoji23] napoyexa mda kwa mtu ambae hajui tofauti ya sanamu na Picha [emoji115]
Ndioooo.Upeo wako ni mdogo sana.[emoji23] napoyexa mda kwa mtu ambae hajui tofauti ya sanamu na Picha [emoji115]
Waabudu sanamu utawajua tu. Mnatetea sanamu utafikiri mnaweza kumdanya Mungu kuwa hajui tofauti kati ya Picha na sanamu. Mdanganye mwandamu mwenzio lakini kamwe huwezi kumdanganya Mungu. Aliagiza usijifnyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote na katika ufunuo amezitaja kabisa. sanamu za miti, shaba, mawe,fedha na dhahabu. hizi ndo sanamu zinazosemwa hapa.We jamaa acha zako, sanamu inapresent kitu na picha inapresent kitu, vyote sawa tu... Tofaut ni ndg sana matumiz yaleyale, moja ipo kwenye keny karatac flat moja ipo kwenye realy shape bt zte zmeganda hazchek wala hazinuni[emoji21] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
kitaja embu jaribu kutoa ufafanuzi wa maneno yafuatayoWaabudu sanamu utawajua tu. Mnatetea sanamu utafikiri mnaweza kumdanya Mungu kuwa hajui tofauti kati ya Picha na sanamu. Mdanganye mwandamu mwenzio lakini kamwe huwezi kumdanganya Mungu. Aliagiza usijifnyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote na katika ufunuo amezitaja kabisa. sanamu za miti, shaba, mawe,fedha na dhahabu. hizi ndo sanamu zinazosemwa hapa.
"Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda." ( Ufunuo 9:20)
Ukwel hujakuweka huru kijana, sanamu ni kitu unachokipenda ukakipa nafac ya kwanza na kumwacha Mungu... Mungu aliwapa amri ile kwan watu wale walikua wanavipenda sana vitu hvyo ulivyoorodhesha.... Kwa sasa kama ww unanapenda kutafuta pesa hadi ukafikia hatua ya kutoudhuria ibada hyo ndiyo sanamu yako... Nadhan unahitaj elimu ya biblia na imani kwa ujumla.Waabudu sanamu utawajua tu. Mnatetea sanamu utafikiri mnaweza kumdanya Mungu kuwa hajui tofauti kati ya Picha na sanamu. Mdanganye mwandamu mwenzio lakini kamwe huwezi kumdanganya Mungu. Aliagiza usijifnyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote na katika ufunuo amezitaja kabisa. sanamu za miti, shaba, mawe,fedha na dhahabu. hizi ndo sanamu zinazosemwa hapa.
"Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda." ( Ufunuo 9:20)
Kabla ya kutrngeneza sanamu lazima uwe na picha ya kitu unachotaka kutengeza...hivyo bila picha hakuna sanamu....Nimeuliza sanamu sio picha. Hivyo ni viwili tofauti
Literally hutazami picha ila unatazama kile kinachowakilishwa na hiyo picha..... Na pia Je wakati wa kuomba Mungu natazama picha hizo?
Ngoja nikusaidieNinaandiko linalokataza kuchonga sanamu kwenye biblia nikupe?
Huyo haelewi unapoteza mudakitaja embu jaribu kutoa ufafanuzi wa maneno yafuatayo
-kusujudu
-kuabudu
-kutumia
-kuwakilisha
-kutumika kama
-kusadiki
-kuamini
NOTE:jibu kwa kutumia uwelewa wako na sio Bible
hajui tofauti ya sanamu na Picha![]()
Elimu, Elimu, Elimu...Aliagiza usijifnyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote na katika ufunuo amezitaja kabisa. sanamu za miti, shaba, mawe,fedha na dhahabu. hizi ndo sanamu zinazosemwa hapa.
Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda." ( Ufunuo 9:20)
Wewe ndiye hujui kitu chochote..
Ngoja nikupe hii..
Sanamu kitaalamu ipo kwenye 3D conformal...ila picha ni kitu kilicho katika 2D conformal..
Ili uwe na Sanamu lazima uwe na picha ya kitu unachotaka kutengenezea statue yako....Hivyo ni transformation ya 2D kwenda kwenye 3D...
Hivyo hakuna Sanamu bila picha...picha ni sanamu iliyo katika 2D conformal..
Done!
Aliyekuambia picha ni lazima kupigwa ni nani...?Zero zero ziro!! Kwani huwezi chonga sanamu bila kupiga Picha?
For that matter I rest my case...Sanamu na picha sio kitu kimoja wacha kukariri!!
Sanamu ni kitu kuchongwa na picha ni kuchorwa ama kuchapishwa.
Ok! Sawa ..Wataalamu wanasema bora ukae kimya watu wawe na wasiwasi kama ni mjinga, kuliko kuomgea na kuwapa uhakika kua kweli wewe ni mjinga.
PICTURE AND IDOL ni vitu viwili tofauti kabisa.
Halafu unaleta mfano eti Wali na Ubwabwa [emoji23] [emoji23]
Hata kiswahili hujui?
Mtu anaepiga picha anaitwa MPIGA PICHA
haya tuambie mtu anaechonga masanamu ataitwaje? MPIGA SANAMU? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Very Good. Nilidhani hautoelewa!Aliyekuambia picha ni lazima kupigwa ni nani...?
For that matter I rest my case...
Done
Mwanafunzi huyu namfundisha 1+1=2 ila yeye anashupaza kichwa 1+1=11....Very Good. Nilidhani hautoelewa!
Sijawahi kuona mtu anapinga Biblia live, leo nimejionea kweli Roman Catholic ni mpinga Kristo Msitari nilioweka hapo unapatikana kitabu cha ufunuo sio maneno yangu.Kumbe picha zinaweza kuona, kusikia na kuenenda ehh....?
Usijeukatufanya wote tuonekane ni matahira humu ndani. ..
mkuu now tupe maoni yako je yesu alikuja kutimiliza Yale yalioandikwa kwenye torati kuhusu unabii wake ama hapana hakuja kutimiliza coz bible ipo wazi na inaeleweka but sometimes inachanganya ukitaka mifano nitakupa.Sijawahi kuona mtu anapinga Biblia live, leo nimejionea kweli Roman Catholic ni mpinga Kristo Msitari nilioweka hapo unapatikana kitabu cha ufunuo sio maneno yangu.