Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Jibu swali, Je! Mungu alikataza kuchonga sanamu na kuruhusu picha..?Sijawahi kuona mtu anapinga Biblia live, leo nimejionea kweli Roman Catholic ni mpinga Kristo Msitari nilioweka hapo unapatikana kitabu cha ufunuo sio maneno yangu.
Msaidie kujibu, je Mungu alikataza kutengeneza sanamu na kuruhusu kutengeneza picha..?mkuu now tupe maoni yako je yesu alikuja kutimiliza Yale yalioandikwa kwenye torati kuhusu unabii wake ama hapana hakuja kutimiliza coz bible ipo wazi na inaeleweka but sometimes inachanganya ukitaka mifano nitakupa.
hapana mkuu niko side ya Roman sasa ndio najaribu kumwambia mambo jinsi yalivyo yanachanganya kwenye biblia kwasababu unaweza ukawa na right point then ikawa wrong then ikawa right kwa mfano Yesu kristo mkombozi wetu anasema hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza lakini pale anaposema chochote mungu alichokiunganisha mwanadamu hapaswi kutenganisha"ukifunga ndoa" je alimaanisha nini wakati huo huo torati ya musa inasema na "mwanamke akizini nje ya ndoa na apewe taraka " ndio maana nikamuuliza anafikili vipi je yesu alikuja kuitimiliza torati ama kuitenguaMsaidie kujibu, je Mungu alikataza kutengeneza sanamu na kuruhusu kutengeneza picha..?
Mbona jibu unalo tayari, Yesu hakuja kutangua torati bali kutimiliza ( Mathayo 5:17)hapana mkuu niko side ya Roman sasa ndio najaribu kumwambia mambo jinsi yalivyo yanachanganya kwenye biblia kwasababu unaweza ukawa na right point then ikawa wrong then ikawa right kwa mfano Yesu kristo mkombozi wetu anasema hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza lakini pale anaposema chochote mungu alichokiunganisha mwanadamu hapaswi kutenganisha"ukifunga ndoa" je alimaanisha nini wakati huo huo torati ya musa inasema na "mwanamke akizini nje ya ndoa na apewe taraka " ndio maana nikamuuliza anafikili vipi je yesu alikuja kuitimiliza torati ama kuitengua
NOTE:kwakuwa anapenda mifano atapata mingi tu coz niko hapa instead of Roman Catholic church.
We mwabudu sanamu acha kusumbua watu kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Somo la picha na sanamu ulipaswa uwe umeshajua tangu kindergaten. Kwa kuwa ulitoka kapa huko, umeshaelimishwa kuwa picha na sanamu ni vitu viwili tofauti.usije ukaona picha kwenye mabango barabarani ukaaza kuzisujuudia, sio sanamu hizo.Jibu swali, Je! Mungu alikataza kuchonga sanamu na kuruhusu picha..?
Mbona ni rahisi sana
Ni kwasababu huna jibu...isipokuwa unafiki..We mwabudu sanamu acha kusumbua watu kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
Utifauti w vitu hivyo upo wapi..? Wali na pilau vinatofauti...?Somo la picha na sanamu ulipaswa uwe umeshajua tangu kindergaten. Kwa kuwa ulitoka kapa huko, umeshaelimishwa kuwa picha na sanamu ni vitu viwili tofauti.
Kwa kuwa picha ni kitu gani hasa..?usije ukaona picha kwenye mabango barabarani ukaaza kuzisujuudia, sio sanamu hizo.
Kanisa lililoasi Roman Catholic, linalojulikana kama Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi.Lilianza kuitwa hivyo rasmi mwaka 538 AD na ndipo cheo cha papa kilianza rasmi baada ya mfalme wa kirumi Justinian kumkabidhi rasmi aksofu mkuu wa roma mamlaka ya kidini na kiserikali.Tangu hapo kanisa katoliki na papa kwa kutumia mamlaka hayo walianza kutesa na kuua wakristo waaminifu waliopinga mafundisho potofu ya kanisa katoliki. Mateso yaliendelea hadi mwaka 1798 , Biblia inasema kipindi hiki upapa ulipata jereha la mauti. Mfalme Napoleon wa ufaransa alikataa kuwa chini ya papa,kwa kumtumia Jenerali Berthia alifanikiwa kumuua papa. Kanisa katoliki likapoteza mamlaka lililokuwa nayo.Lakini jeraha hili lilikuja kupona mwaka 1921, pale dola ya Italy ikaamua kutuoa jiji la vatican kwa kanisa katoliki na kumkabidhi papa mamlaka ya kidini na kiserikali kama walivyofanya awali.hapa Biblia inasema jeraha la mauti lilipona (ufunuo 13:3). Hata vitabu vya kanisa katoliki vinathibitisha maneno haya kuwa jeraha lilipona wakati huu.Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ... Kanisa pekee ambalo linaweza kuhorodhesha viongozi wake kuanzia Petro hadi leo bila kupoteza hata nukta ya uzi huo .....HAKUNA dhehebu linaloweza kuleta mtiririko wa viongozi wake kuanzia kwa Petro hata ya kupika labda wapishi wawe vichaa!!! Kila dhehebu leo utajua limeanzishwa na nani! Ila Kanisa Katoliki wazushi wamebaki kuleta stori za warumi na blah blah kibao ...
Mtumishi wa Mungu Askofu Ignatius wa Antiokia aliyeishi hapa duniani hadi mwaka 107. Alisema, "Popote alipo Yesu Kristu ndipo lilipo Kanisa Katoliki". (Barua kwa Kanisa la Smyrna, Sura ya 8).Kanisa lililoasi Roman Catholic, linalojulikana kama Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi.Lilianza kuitwa hivyo rasmi mwaka 538 AD na ndipo cheo cha papa kilianza rasmi baada ya mfalme wa kirumi Justinian kumkabidhi rasmi aksofu mkuu wa roma mamlaka ya kidini na kiserikali.Tangu hapo kanisa katoliki na papa kwa kutumia mamlaka hayo walianza kutesa na kuua wakristo waaminifu waliopinga mafundisho potofu ya kanisa katoliki. Mateso yaliendelea hadi mwaka 1798 , Biblia inasema kipindi hiki upapa ulipata jereha la mauti. Mfalme Napoleon wa ufaransa alikataa kuwa chini ya papa,kwa kumtumia Jenerali Berthia alifanikiwa kumuua papa. Kanisa katoliki likapoteza mamlaka lililokuwa nayo.Lakini jeraha hili lilikuja kupona mwaka 1921, pale dola ya Italy ikaamua kutuoa jiji la vatican kwa kanisa katoliki na kumkabidhi papa mamlaka ya kidini na kiserikali kama walivyofanya awali.hapa Biblia inasema jeraha la mauti lilipona (ufunuo 13:3). Hata vitabu vya kanisa katoliki vinathibitisha maneno haya kuwa jeraha lilipona wakati huu.
Hili ndilo kanisa katoliki.
16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.Petero hajawahi kuwa pope,ni uzushi tu walizusha watu,katika kitabu cha warumi utaoona paul akiongelea kuhusu rumi na hakuna sehemu kamtaja petero kama pope,sana sana utagundua paul na petro walikuwa kama simba na yanga,
hawakupatana,
petro alitumia mda mwingi mashariki ya kati na si roma
Sio kalaaniwa kama mvaa nepi na huyo wakala wake hapo kwenye picha?Umelaaniwa kama Mtume wako Mohammed
Umelaaniwa wewe na mvaa nepi unae muabudu maku weweUmelaaniwa kama Mtume wako Mohammed
Nikuletee Chronological order ya Popes...? Mpaka huo mwaka kulikuwa na popes zaidi ya 10..Kanisa lililoasi Roman Catholic, linalojulikana kama Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi.Lilianza kuitwa hivyo rasmi mwaka 538 AD
Huyo Kitaja ni kama kachanganyikiwa yani...ni shida..Alafu wazushi juu ya Kanisa muwe na consistance ....sometimes mnasema mwanzilishi wa Kanisa Katoliki ni mfalme wa Kirumi Constatine ....hapa nimeona mnamtaja mwingine tena ....alafu mnafikiri Kanisa halikubali ukweli wa makosa ambayo yamewahi kufanywa na baadhi ya viongozi wake ....kweli yapo machafu lakini kwa muongozo wa Roho Mtakatifu limebaki kuwa moja katika imani moja .....Askofu Kilaini amewahi kuweka wazi hayo machafu lakini "kuzimu wakashindwa" na lipo hadi leo.