Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Jibu ni rahisi mno .

Agano la kale linahusu waisrael.. Waisrael Wana Biblia yao inaitwa Jewish Bible.Haina hivyo vitabu sita walivyoongeza wakatoliki

Makanisa mengine yote yalikubaliana kuwa vitabu vya agano la kale vichukuliwe viitabu vyote vilivyomo kwenye Jewish Bible bila kuongeza au kupungua
Wakatoliki wakaamua wachukue vya Jewish BIBLE wakaongeza sita walivyoviokota wanakojua wenyewe

Agano Jipya vitabu vyote vya wakatoliki na madhehebu mengine vinalingana tofauti ni agano la kale ambapo Catholics waliongeza vyao ambavyo havimo kwenye Jewish Bible official inayotumiwa na wayahudi Hadi leo.Hivyo vitabu Catholics walivyoongeza vya agano la kale wayahudi wenyewe ambao ndio Wenye agano la kale hawajaviweka kwenye Biblia waliyonayo
 
Makanisa mengine yapi, hayo? ebu hataje.
unachokiandika hapa ni sawa na kusema:, ACT ILITAKA KATIBA MPYA ILA TANU IKAKATAA.
 
Napenda kujua chimbuko la ivo vitabu 6 vya Catholic na vimetoka wapi? Nani mwandishi?
Dhumuni lake nin?
 
Ukweli haufichiki

Nitafutie Mas-hafu ambayo ipo tofauti dunia nzima kama utaipata hii inamaanisha kua Uislamu ni dini ya kweli haina longolongo kma dini nyingine
 
Biblia tunazoziona leo zimeasisiwa na mkatoliki...Shida inakuja watu wana maslahi binafsi na hizi dini zao ndio maana wakapunguza vitabu hivyo ili mafundisho yao yasilete mkanganyiko. Kwa kifupi ukweli wa uwepo wa ukristo katoliki ndo linajua undani wake...
 
Shida ukristo bana una madalali wengi sna kila mtu anakuja na story yake ili afanye anavyotaka..Imagine dini moja lakini ina madhehebu lukuki na hasa kwetu huku Afrika lakini wenyewe wazungu hawana time.
Ndo mjue kua mumepigwa changa la macho m nakushauri ufuatilie Uislamu halafu utajua Dini ya haki ni ipi
 
Unatafsiri ya vitabu vilivyopotea kama first book of Adam and Eve, book of Enoch na vingine,
 
Pia swala la kurithi uzima wa milele siyo swala la dhehebu au dini ni wewe mwenyewe na matendo yako..

Hilo jibu ni la mtu mjinga kabisa

Unataka kuniambia linawafundisha nini waumini wake? Kumbe sio matendo mema?

Kwani ni nani anaabudiwa huku kwenye hili Kanisa?
 
Wewe ndo mjinga unaeleta ushabiki wa kiboya usiyejua unachohoji...hakuna dini isiyofundisha matendo mema..after all dini umeletewa boya ww
 
Inaonesha unashida mahali katika uwezo wako wa kufikiria, halafu kwani huwezi kujibu post ya mtu independently mpk uende ukaedit quote yake?
 
Back
Top Bottom