Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Inaonesha unashida mahali katika uwezo wako wa kufikiria, halafu kwani huwezi kujibu post ya mtu independently mpk uende ukaedit quote yake?
Nimeamini wewe ni Mkatoliki
Kumbe hata hamfundishi kuacha dhambi na kuwa na matendo mema?
Sasa mnakusanyika kufanya nini huko?
 
Jibu ni rahisi mno .

Agano la kale linahusu waisrael.. Waisrael Wana Biblia yao inaitwa Jewish Bible.Haina hivyo vitabu sita walivyoongeza wakatoliki

Makanisa mengine yote yalikubaliana kuwa vitabu vya agano la kale vichukuliwe viitabu vyote vilivyomo kwenye Jewish Bible bila kuongeza au kupungua
Wakatoliki wakaamua wachukue vya Jewish BIBLE wakaongeza sita walivyoviokota wanakojua wenyewe

Agano Jipya vitabu vyote vya wakatoliki na madhehebu mengine vinalingana tofauti ni agano la kale ambapo Catholics waliongeza vyao ambavyo havimo kwenye Jewish Bible official inayotumiwa na wayahudi Hadi leo.Hivyo vitabu Catholics walivyoongeza vya agano la kale wayahudi wenyewe ambao ndio Wenye agano la kale hawajaviweka kwenye Biblia waliyonayo
Kwa ufahamu wangu ipo biblia ina vitabu 105, vitabu vilivyochukuliwa ni vichache
 
Ukweli haufichiki

Nitafutie Mas-hafu ambayo ipo tofauti dunia nzima kama utaipata hii inamaanisha kua Uislamu ni dini ya kweli haina longolongo kma dini nyingine
kuwepo na kitabu kimoja hakukuhakikishii kuwa dini hiyo ndio ya kweli, unahitaji uthibitisho mkubwa zaidi ya huo hasa wa kiroho maana hata hivyo dini inahusika na ulimwengu wa mwili na roho
 
SWALI LA DADA BEA ALILOULIZA JANA INBOX

Shalom mchungaji. Namimi naomba kuuliza. Kwanini biblia tunayotumia sisi ina vitabu pungufu ukilinganisha na ile ya kikatoriki?

Na kuhusu kuombea waliolala mauti ipo kwenye kitabu cha wakababayo(kama nakumbuka vizuri) nimesoma kwenye hio Biblia. Naomba kueleweshwa tafaadhali
Hii hoja ilishawahi ulizwa kipindi cha nyuma nilijitahidi kuielezea kwa upande wangu hapa

1.Kuna Matoleo mengi sana ya biblia,kuna matoleo ya biblia yenye vitabu 66 na pia kuna ya vitabu 72,73,80 vitabu ndani ya biblia viliandikwa katika lugha mbali mbali ,kigiriki,kiebrania na kiyunani katika nyakati mbalimbali kwa hiyo ilikuwa kazi ya vizazi vijavyo kukusanya hivi vitabu na kuviweka katika kitabu kimoja "ndio hiyo biblia" kwa hiyo kwa aina ya ukusanyaji wa vitabu kuna wengine walikusanya vitabu 66 wakaacha vingine kwa sababu zao au kutokujua na kuna wengine wakusanya vyoote,sina jibu sahihi kwanini walivitoa ila naweza kukwambia biblia iliyosambaa sana Duniani ni ile iliyotengenezwa na Waingereza inaitwa King James Version (KJV) ilitoka mwaka 1611,Mfalme wa uingereza alikuwa anaitwa James aliwakusanya wataalamu wa theolojia,wasomi na wajuvi wa lugha akawaweka sehemu wakaanza kutafsiri hivi vitabu vilivyopo ndani ya biblia yetu leo kutoka lugha mbali mbali kuja katika kiingereza walitumia miaka 4 kutafasiri,japo kabla ya hii KJV 1611 kulikuwepo na machapisho ya biblia mbali mbali tangia karne ya pili ambayo hayakusambaa na hayakuwa maarufu au rasmi kama hii KJV.
Kwanini KJV ndio ilisambaa? labda ni kwa sababu ya waingereza kuitawala dunia kwenye karne ya 16 hadi ya 19 mwanzoni sababu walikuwa wanaeneza dini kupitia wamishionari na kutafuta makoloni kwaajili ya viwanda vyao,ndiomaana Biblia nyingi katika lugha ya tatu zimetafsiriwa kutoka katika biblia ya KJV.Ndio maana kwa kadri siku zinavyozidi kusonga ndio tunajua kuwa kuna vitabu vingine viliachwa kimakosa ambavyo vinapaswa kutumika katika biblia,labda kwetu sisi inaonekana kitu kipya ila kwa nchi zingine kama marekani na ulaya wanatumia biblia zenye vitabu 72/73

2.Henoko mwenyewe ndio aliandika kitabu unabii wake,kwanini kitabu chake kiondolewe nimejibu hapo juu kwenye namba moja ila hata wewe unaweza fanya utafiti pia japo kuna theory kuwa kanisa katoliki katika mwaka 1684 lilitoa vitabu 14 kutoka katika machapisho yoote ya biblia kasoro KJV ya 1611 labda kwa sababu vitabu vilikuwa vina pingana na wao walivyokuwa wanataka au walikuwa na sababu zao binafsi kumbuka hata biblia ya kikatoliki kwenye zile amri 10 za Mungu wameimodify ile amri ya "usiweke sanamu...." wameiweka katika namna ambayo haionyenshi kuwa ni Dhambi kuweka mfano wa sanamu ya kitu chochote,hata ile amri ya usizini kwenye biblia za kiprotestant ni amri ya 5 lakini kwenye biblia ya kikatoliki ni amri ya sita! kuna mambo mengi sana wakatoliki walitoa kutoka kwenye biblia ya zamani na kutengeneza biblia itakayoendana na imani yao na malengo yao nk.. kwahiyo kwenye haya maswala kuna hizo nadharia dhidi ya kanisa katoliki sijui kama ni kweli au si kweli unaweza chunguza na wewe pia
hata unabii wa jasher umetajwa kwenye agano jipya ila ndani ya biblia yenye vitabu 66 hamna kitabu cha jasher!!!
 
Hujawahi kujiuliza kwa nini Roman catholic na Muslim wanaelewana sana kuliko Roman Catholic na protestants??
Kwa sababu roman hawana madhara makubwa ya kiimani kwa waislam shida ipo kwenye maslahi ya kisiasa(kiutawala).
 
Biblia tunazoziona leo zimeasisiwa na mkatoliki...Shida inakuja watu wana maslahi binafsi na hizi dini zao ndio maana wakapunguza vitabu hivyo ili mafundisho yao yasilete mkanganyiko. Kwa kifupi ukweli wa uwepo wa ukristo katoliki ndo linajua undani wake...
Mmmh
 
Kabla ya Luther kuviondoa nani aliamua hivyo vitabu viwepo kwanza?
Luther hakuwahi kuondoa kitabu chochote

Iko hivi agano la kale Lilikuwepo .Wayahudi wana Biblia yao yaani Jewish Bible ambayo iko hadi Leo wanaitumia.

Wakatoliki waliongeza vitabu vingine ambavyo havimo kwenye Biblia ya wayahudi ndio maana ya kwao ya kikatoliki agano LA kale lina vitabu vilivyoongezeka

Agano jipy hakuna badiliko wakristo wote katoliki na wengine vitabu viko sawa

Tofauti iko vitabu vya agano LA kale tu ambako katoliki waliamua kujiongezea vyao zaidi ya vilivyomo kwenye Biblia ya wayahudi makanisa mengine yanaamini ahano la kale zaidi lilihusu wayahudi hivyo Biblia yao ndip yafaa kutumika kama agano la kale

Hata wakati Yesu yupo biblia hiyo ya agano LA kale ilikuwepo wayahudi walikuwa nayo
 
Wakatoliki vitabu walivyoongeza walivitoa wapi ?
 
Mfano tz uhuru tulikuwa million 10. Leo miaka 50 tu tuko zaidi ya million 69 tumeipiku uingereza ambayo haikuwahi tawaliwa.wala kuathiriwa na utumwa.
Wana wasiwasi na sisi hao!!! Heee!!
...we jamaa bhana...hiyo idadi ya 69 million tumefika lini?.... anyway labda sensa ya mwaka huu itathibitisha.

Isitoshe Uingereza ina raia kama 67 million mwaka 2020 huenda hata hatujawapiku au kupishana sana.
 
Luther hakuwahi kuondoa kitabu chochote

Iko hivi agano la kale Lilikuwepo .Wayahudi wana Biblia yao yaani Jewish Bible ambayo iko hadi Leo wanaitumia.

Wakatoliki waliongeza vitabu vingine ambavyo havimo kwenye Biblia ya wayahudi ndio maana ya kwao ya kikatoliki agano LA kale lina vitabu vilivyoongezeka

Agano jipy hakuna badiliko wakristo wote katoliki na wengine vitabu viko sawa

Tofauti iko vitabu vya agano LA kale tu ambako katoliki waliamua kujiongezea vyao zaidi ya vilivyomo kwenye Biblia ya wayahudi makanisa mengine yanaamini ahano la kale zaidi lilihusu wayahudi hivyo Biblia yao ndip yafaa kutumika kama agano la kale

Hata wakati Yesu yupo biblia hiyo ya agano LA kale ilikuwepo wayahudi walikuwa nayo
Great
 
DINI NI TAASISI ZA BINADAMU ZENYE LENGO LA KUONGOZA WENGINE NA KUNUFAIKA KIUCHUMI KUPITIA KUPATA SADAKA HAKUNA LINGINE.

BINADAMU BILA MAFUNDISHO NA HISTORIA ZA DINI HAWANA UGOMVI WA KIIMANI.

MAFUNDISHO YA KIHISTORIA YA KITAASISI NDIYO HULETA TOFAUTI KATI YA BINADAMU MMOJA NA MWINGINE, UADUI KATI YA BINADAMU MMOJA NA MWINGINE.

CHUKUA MTOTO KUTOKA ASILI YA KIKRISTO, KIYAHUDI, KISABATO, KIAFRIKA, KICHINA, KIHINDI, KIISLAMU, KIARABU WAKUZE PAMOJA.

WATAISHI BILA KUHUKUMIANA, KUKOSOANA NA KUPARUANA KUHUSU DINI, WATACHEZA PAMOJA, WATAIMBA PAMOJA, WATAHUZINIKA PAMOJA MPAKA PALE MAFUNDISHO YATAKAPOKUJA NA KUWATENGA KIMAFUNGU KUWA WEWE NI MKATOLIKI, BABA YAKO NI MUISLAMU SAFI, WEWE NI MLUTHERI N.K

TUKIAMUA, BINADAMU TUNAWEZA KUMTAFUTA MUNGU WETU, KUIFAHAMU ASILI YETU BILA DINI.

SIKU SAYANSI ITAKAPOKUJA NA JIBU KUWA MUNGU YUPO DINI ZOTE ZITAKOSA UMAARUFU.

download (8).jpeg

download (7).jpeg

images (59).jpeg

images (58).jpeg

NAAMINI ITAFIKA KIPINDI BINADAMU TUTAIFAHAMU ASILI YETU NA KUMJUA MUNGU BILA DINI WALA BLA BLA ZA TAASISI NA TUTAKUWA VIUMBE HURU TUSIOFUNGWA NA ITIKADI.

HISTORIA YA BINADAMU KABLA YA KUGUNDUA UCHUMI, ILIONGOZWA NA TAASISI GANI ZA DINI? UFAHAMU UNAVYOONGEZEKA HILI NALO LITAPITA KAMA IMANI ZILIZOKUWEPO KABLA YA UWEPO WA UCHUMI ZILIVYOPITA
 
...we jamaa bhana...hiyo idadi ya 69 million tumefika lini?.... anyway labda sensa ya mwaka huu itathibitisha.

Isitoshe Uingereza ina raia kama 67 million mwaka 2020 huenda hata hatujawapiku au kupishana sana.
Mie mwana takwimu nikikupatia yangu saaana utaishia mitini tu
 
Back
Top Bottom