Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,185
- 1,975
Nimeamini wewe ni MkatolikiInaonesha unashida mahali katika uwezo wako wa kufikiria, halafu kwani huwezi kujibu post ya mtu independently mpk uende ukaedit quote yake?
Kwa ufahamu wangu ipo biblia ina vitabu 105, vitabu vilivyochukuliwa ni vichacheJibu ni rahisi mno .
Agano la kale linahusu waisrael.. Waisrael Wana Biblia yao inaitwa Jewish Bible.Haina hivyo vitabu sita walivyoongeza wakatoliki
Makanisa mengine yote yalikubaliana kuwa vitabu vya agano la kale vichukuliwe viitabu vyote vilivyomo kwenye Jewish Bible bila kuongeza au kupungua
Wakatoliki wakaamua wachukue vya Jewish BIBLE wakaongeza sita walivyoviokota wanakojua wenyewe
Agano Jipya vitabu vyote vya wakatoliki na madhehebu mengine vinalingana tofauti ni agano la kale ambapo Catholics waliongeza vyao ambavyo havimo kwenye Jewish Bible official inayotumiwa na wayahudi Hadi leo.Hivyo vitabu Catholics walivyoongeza vya agano la kale wayahudi wenyewe ambao ndio Wenye agano la kale hawajaviweka kwenye Biblia waliyonayo
kuwepo na kitabu kimoja hakukuhakikishii kuwa dini hiyo ndio ya kweli, unahitaji uthibitisho mkubwa zaidi ya huo hasa wa kiroho maana hata hivyo dini inahusika na ulimwengu wa mwili na rohoUkweli haufichiki
Nitafutie Mas-hafu ambayo ipo tofauti dunia nzima kama utaipata hii inamaanisha kua Uislamu ni dini ya kweli haina longolongo kma dini nyingine
Hii hoja ilishawahi ulizwa kipindi cha nyuma nilijitahidi kuielezea kwa upande wangu hapaSWALI LA DADA BEA ALILOULIZA JANA INBOX
Shalom mchungaji. Namimi naomba kuuliza. Kwanini biblia tunayotumia sisi ina vitabu pungufu ukilinganisha na ile ya kikatoriki?
Na kuhusu kuombea waliolala mauti ipo kwenye kitabu cha wakababayo(kama nakumbuka vizuri) nimesoma kwenye hio Biblia. Naomba kueleweshwa tafaadhali
Kwa sababu roman hawana madhara makubwa ya kiimani kwa waislam shida ipo kwenye maslahi ya kisiasa(kiutawala).Hujawahi kujiuliza kwa nini Roman catholic na Muslim wanaelewana sana kuliko Roman Catholic na protestants??
Swali zuri sana.Tuongeeni ukweli Je kwani dini ya katoliki inamuandaa mwanadamu kurithi uzima wa milele?
Ona ili nalo!!.Ukweli haufichiki
Nitafutie Mas-hafu ambayo ipo tofauti dunia nzima kama utaipata hii inamaanisha kua Uislamu ni dini ya kweli haina longolongo kma dini nyingine
MmmhBiblia tunazoziona leo zimeasisiwa na mkatoliki...Shida inakuja watu wana maslahi binafsi na hizi dini zao ndio maana wakapunguza vitabu hivyo ili mafundisho yao yasilete mkanganyiko. Kwa kifupi ukweli wa uwepo wa ukristo katoliki ndo linajua undani wake...
Katoliki ni kanisa sio dhehebu.Hakuna dini ya katoliki..ila dhehebu la katoliki na dini ni ukristo.
Aiseee!Makanisa mengine yapi, hayo? ebu hataje.
unachokiandika hapa ni sawa na kusema:, ACT ILITAKA KATIBA MPYA ILA TANU IKAKATAA.
Wanaelewana katika mambo gani?Hujawahi kujiuliza kwa nini Roman catholic na Muslim wanaelewana sana kuliko Roman Catholic na protestants??
Luther hakuwahi kuondoa kitabu chochoteKabla ya Luther kuviondoa nani aliamua hivyo vitabu viwepo kwanza?
Wakatoliki vitabu walivyoongeza walivitoa wapi ?Luther hakuwahi kuondoa kitabu chochote
Iko hivi agano la kale Lilikuwepo .Wayahudi wana Biblia yao yaani Jewish Bible ambayo iko hadi Leo wanaitumia.
Wakatoliki waliongeza vitabu vingine ambavyo havimo kwenye Biblia ya wayahudi ndio maana ya kwao ya kikatoliki agano LA kale lina vitabu vilivyoongezeka
Agano jipy hakuna badiliko wakristo wote katoliki na wengine vitabu viko sawa
Tofauti iko vitabu vya agano LA kale tu ambako katoliki waliamua kujiongezea vyao zaidi ya vilivyomo kwenye Biblia ya wayahudi makanisa mengine yanaamini ahano la kale zaidi lilihusu wayahudi hivyo Biblia yao ndip yafaa kutumika kama agano la kale
Hata wakati Yesu yupo biblia hiyo ya agano LA kale ilikuwepo wayahudi walikuwa nayo
...we jamaa bhana...hiyo idadi ya 69 million tumefika lini?.... anyway labda sensa ya mwaka huu itathibitisha.Mfano tz uhuru tulikuwa million 10. Leo miaka 50 tu tuko zaidi ya million 69 tumeipiku uingereza ambayo haikuwahi tawaliwa.wala kuathiriwa na utumwa.
Wana wasiwasi na sisi hao!!! Heee!!
GreatLuther hakuwahi kuondoa kitabu chochote
Iko hivi agano la kale Lilikuwepo .Wayahudi wana Biblia yao yaani Jewish Bible ambayo iko hadi Leo wanaitumia.
Wakatoliki waliongeza vitabu vingine ambavyo havimo kwenye Biblia ya wayahudi ndio maana ya kwao ya kikatoliki agano LA kale lina vitabu vilivyoongezeka
Agano jipy hakuna badiliko wakristo wote katoliki na wengine vitabu viko sawa
Tofauti iko vitabu vya agano LA kale tu ambako katoliki waliamua kujiongezea vyao zaidi ya vilivyomo kwenye Biblia ya wayahudi makanisa mengine yanaamini ahano la kale zaidi lilihusu wayahudi hivyo Biblia yao ndip yafaa kutumika kama agano la kale
Hata wakati Yesu yupo biblia hiyo ya agano LA kale ilikuwepo wayahudi walikuwa nayo
Huko unakoelekea utawapoteza wenzako km hukijui kitabu cha ufunuo bora ukar kimya tafuta reference zingine mpeSoma Ufunuo uone jinsi Yohane anapata ufunuo..
"Tazama ishara ikaonekana mbinguni, mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota 12 juu ya kichwa chake"
Kwamba unataka kuniambia nini yani??Huko unakoelekea utawapoteza wenzako km hukijui kitabu cha ufunuo bora ukar kimya tafuta reference zingine mpe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mie mwana takwimu nikikupatia yangu saaana utaishia mitini tu...we jamaa bhana...hiyo idadi ya 69 million tumefika lini?.... anyway labda sensa ya mwaka huu itathibitisha.
Isitoshe Uingereza ina raia kama 67 million mwaka 2020 huenda hata hatujawapiku au kupishana sana.