Unajua maana ya ku make ammendsKaka kilichofanyika ni kumpandisha hadhi au kumtambua kuwa mtume mmoja wapo wa Yesu hakuna sehemu limeomba msamaha kwa kuficha kitu, labda unifafanulie vizuri
“Na mtu ye yote akiondoa katika maneno ya kitabu hiki cha unabii, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao umeandikwa katika kitabu hiki.”
Ndio Yesu was very close to Mary Magdalene and kissed her on the mouth. Vitabu baadhi vimeandika kuhusu hiliSijawahi kusikia hiki kitu, na kuna kashfa huwa naziona humu mara yesu alikuwa gay mara mchumba ni mary n so n so, nimechagua kujua hii part.. sijaona kama hili swali halina maana!
Lower your ego kaka, hakuna msamaha hapo. Wewe ni mfuasi wa gnostic gospels!?Unajua maana ya ku make ammends
Kanisa haliwezi directly kusema limekoosea na watu walipiga sana kelele kuhusu hili
Sasa hivi she titled honored. Sasa kusema neno kwenye barua ya papa we are makimg ammends utalisoma kwa maana unayotaka wewe kama ni msamaha au kubadilisha😬
Hatukatai watu wanafichua sana na kusoma sana na vitabu viko vingi mno mpaka tiktok kuna wachambuzi w aligha zote! This means bila technology kusingekuwepo na hizi dondoo.. kwanini mtu akachunguze kama yesu alikuwa naye mchumba, anatafuta nini hasa?Wataalamu waliobobea ndo wanatoa hizo dondoo mkuu, kuna nyuzi kadhaa hata jukwaani.
Au una hofu itatishia ule msimamo wa kusifia kwamba hakuoa? 😁
Mi binafsi bado najiuliza hizo siri wamejuaje zipo na wamewezaje kujua nini kimefichwa
Aisee hizo ni twisted stories, alimbusu wakiwa wapi? Hebu pata picha mchungaji wako au askofu wafuasi wamuone akimbusu mdomoni hata mke wake inavyokuwa!Ndio Yesu was very close to Mary Magdalene and kissed her on the mouth. Vitabu baadhi vimeandika kuhusu hili
Ila kwamba alitembea nae akalala nae hilo silijui
Na wala hii sio kitu cha msingi sana kwangu katika kujua, mimi ni kabballist ingawa wengi wao hawaamini katika Yesu mimi bimafsi naamini🙂
Uliona furaha aliyopata Scars baada ya messi kupost "goat debate settled"? Inaenda sambamba na baadhi ya waliopokea hiyo dondoo 😁 hii ni maoni yangu tuHatukatai watu wanafichua sana na kusoma sana na vitabu viko vingi mno mpaka tiktok kuna wachambuzi w aligha zote! This means bila technology kusingekuwepo na hizi dondoo.. kwanini mtu akachunguze kama yesu alikuwa naye mchumba, anatafuta nini hasa?
Am not egostic kabisaLower your ego kaka, hakuna msamaha hapo. Wewe ni mfuasi wa gnostic gospels!?
Mjumbe hauwawi mkuu 😁Huwa wanafurahishwa na nini hasa! Binadamu kuna kitu hakiko sawa vichwani mwetu🫢
HAha nimecheka sanaAisee hizo ni twisted stories, alimbusu wakiwa wapi? Hebu pata picha mchungaji wako au askofu wafuasi wamuone akimbusu mdomoni hata mke wake inavyokuwa!
Mabusu yao yakutakiana heri au salamu ndio imekuwa french kiss, msitutaniee! Hakuwa na mchumba! Nani alipokea mahali ya uchumba? Ni kama ile story ya yule kahaba kumpaka yesu mafuta na nywee zake walivyoitwist wapinga kristo!
Oky! Jitahidi usome vizuri kuna vitu vingi uko shallow unakuwa unamisinterpret. The concept ya Yesu na magdalena in ancient gnostic hawakuwa wanaeleza unacho kieleza wewe.Am not egostic kabisa
Ila kwa sababu unanidhiaki sina cha kueleza 🙂
Anyway let me answer you, am a kaballist.
Gnostic ni watu ambao wanaamini wana maarifa ya siri. Gnostic hawaamini kama Yesu alioa au hizo kisses zilikuwa zinamaanisha physical body wewe umemis understand. Ingia google uulize kama gnostic wanaamini Yesu alioaSawa.
IF you think am shallow nakujibu nini?
Ila sija mis interprete chochote,
Again nasoma gnostic as part of increasing my understanding. Mimi ni kabballist.
Haya ya Yesu nayaamini mimi huko niliko ni kuhusu mambo mengine kabisa.
Book of life vs book of death. Haya ndio maarifa ambayo yamegawanyikaVitabu vya kutungwa na wahuni kina mwamposa vinajulikana..kwa mafundisho na hekima yake ukipima ni upotovu ..nikama leo ROHO MTAKATIFU ANAVYO SINGIZIWA KWA MAFUNDISHO POTOVU.
Kaka me nakuelewa sana hizo gospel nimesoma zinafundisha Yesu alikuja kutufanya tuwe kama yeye.Brother I know what gnostic means and am not it
And i keep telling you am a kabballist..
These two are totally different worlds.
Pia even tho I read the gnostic gospels, and learn bout Christ. Mimi niko kwingineko
Kweli kuna maarifa ya siri, kuhusu ukweli na uongo. Na humu kuna watu wanani follow kila nikiandika following 4 au 5. Sasa nitawapost waje wajieleze why
Nishatishiwa maisha kwa ajili ya haya. And even Mr Yoda said am delusional.
Kristu ni cheo, hata wewe ni Kristu kila mtu unayemuona humu ni Kristu. Ndio maana kanisa wanajiuta wakristu wengine wakiamini kuwa ni wafusasi wa kristu na wengine hawajui kwamba wao ni kristu.
Gnostic hawaamini kama ilikuwa kiss kama unavyoiweka wewe it was not physical. All in all you are free to believe whatever you likeKuna vitabu nishasoma hapo nyuma vinasema huvyo
Labda kukiss ni kitu kibaya?
Soma Gospel of Phillips nime attach hapo juu inasema Yesu alimbusu Mary Magdalene mdomoni
Gnostic hawaamini kama ilikuwa kiss kama unavyoiweka wewe it was not physical. All in all you are free to believe whatever you like
Hivi vitabu vinaongeza maarifa tu au vinataka kuleta utata? Kuna siku nimesoma kitabu cha henoko, nilishindwa!🙌🏾HAha nimecheka sana
Wewe unajua hivyo kwa sababu ulisoma kwenye Bible, ungeniuliz ni kitabu gani kiliandika hivyo ningekujibu
Ila kwa sababu ndio ulivyosoma sikatai