Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Lazima atudharau, Taifa kubwa halina askari shupavu na wabunifu, dhana za mkoloni.
Ingia youtube uone vijana wa PK walivyo wakakamavu.
Nchi hii kila kitu utopolo tu
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Mtu pekee anaeweza kumu outsmart PK ni JK na mimi tu,, huyu jamaa tayari ana Blackhawk attack helcopters, na hii ni tabu kweli kweli,, inabidi angalau nasisi tutafute HIND..
In order to outsmart that guy, you must think like him,,, he is very smart
 
Ameona kitambo sana!! wenye jeshi lao kwa Asili wamewekwa kando sasa wamejaa wazaramo tupu! waosha kucha! .....kagame anajua bana ile zamani ile!!..wkt anaitafuta Rwanda kwa hali na mali, alikuwa na yare machamaa yare! yanaweza kusonga mbere bira buti ra fiatu.....

yare kwakweri jeshi ilikuwa Damuni! na nidhamu hasa! yakisema mbere ni mbere hayatanii! yarikomboa bara ra afirika yoote!! na huko yariacha matoto!! km zimbabwe mwee!! yaani yare ni mura kabisa! sasa bongo ya reo yamefitinika!! yamewekwa kando!

kagame anayakubali sana!! km wewe ni Mkurya nenda Rwanda jeshini!! unaanza na Sajenti hakuna kuruta mkurya kule!! hii ni siri nawapa! kina Muraaa! waree tu wanao penda jeshi!
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Yeye mwenyewe si Masta mzee, huyu humwelewi michongo zake
 
Hao hao ndio waliomfanya apige simu kwa mkwere kumuomba msamaha kwa lazimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hivi aliombaga msamaha kwa mkwere???!! sijawahi sikia hii!! ebu lete ubuyu ilikuwaje!!!.......kastory kenyewe nakakumbuka japo nilikuwa bado mdogo!
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Mimi sioni sababu yoyote ya kuonyesha zana za kivita, tunajichoresha sana, zana zetu nyingi ni za kizamani mnoo, gwaride na halaiki ilikuwa inatosha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…