Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Anaijua shughuli ya mwakibolwa alivyomsambaratisha Congo.Ni kosa Sana mwanajeshi jasusi na Mbobezi kuwaangalia wenzie, anacheeeka na kukumbuka mbaliii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaijua shughuli ya mwakibolwa alivyomsambaratisha Congo.Ni kosa Sana mwanajeshi jasusi na Mbobezi kuwaangalia wenzie, anacheeeka na kukumbuka mbaliii
GENTAMYCINE njoo hukuAnaijua shughuli ya mwakibolwa alivyomsambaratisha Congo.
Nasikia PK yupo imara Sana saivi, sio jeshi la Rwanda la 2013M23 ya PK ilichezea kichapo cha mbwa koko hadi zikawa haziivi na JK.
Sasa ulitaka apige salutiKtk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Labda uimara wa kupora CongoNasikia PK yupo imara Sana saivi, sio jeshi la Rwanda la 2013
Kwa nini asidharau maonesho ya kubeba magogo,hata wachomq mkaa wanawezaKtk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Shida ni jicho lake la Dharau, kagundua kitu gani?Sasa ulitaka apige saluti
Amegundua mama anaupigwa mwingiShida ni jicho lake la Dharau, kagundua kitu gani?
Lazima atudharau, Taifa kubwa halina askari shupavu na wabunifu, dhana za mkoloni.Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Mtu pekee anaeweza kumu outsmart PK ni JK na mimi tu,, huyu jamaa tayari ana Blackhawk attack helcopters, na hii ni tabu kweli kweli,, inabidi angalau nasisi tutafute HIND..Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Sijui mchongo wa nani huoKama kuna tukio hata mimi nimelidharau ni lile la Masanja na mwenzie nani sijui! Ulikuwa ujinga wa miaka 60 ya uhuru.
SanaNasikia PK yupo imara Sana saivi, sio jeshi la Rwanda la 2013
Yeye mwenyewe si Masta mzee, huyu humwelewi michongo zakeKtk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
hivi aliombaga msamaha kwa mkwere???!! sijawahi sikia hii!! ebu lete ubuyu ilikuwaje!!!.......kastory kenyewe nakakumbuka japo nilikuwa bado mdogo!Hao hao ndio waliomfanya apige simu kwa mkwere kumuomba msamaha kwa lazima😂😂😂😂
Nasikia PK yupo imara Sana saivi, sio jeshi la Rwanda la 2013
Mimi sioni sababu yoyote ya kuonyesha zana za kivita, tunajichoresha sana, zana zetu nyingi ni za kizamani mnoo, gwaride na halaiki ilikuwa inatosha sanaKtk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Mikwara pia ni siraha tosha sana wewe!!! kwani mmesomea wapi nyie watu?????Mbongo kwa ujuaji hana mpinzani.