pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kama umeona ni upimbi basi jina pimbi unatakiwa uitwe wewe kwa upimbi ulio nao kichwani!Rafiki yangu tafuta vitu vya kuandika basi kama huna unaonaje ukikaa kimya kwani nani atakuona hujui fb?
Huu ni upimbi watu wanahitaji mijadala inayowajengea weledi siyo upumbavu kama huu.
Ifikie maadmin nyuzi kama hizi zisizo na tija zifutwe kabisa, ujinga gani huu?