Hata kama ukiliondoa hilo.Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Kwa hiyo stile ndiyo kiswahiliHapo ameandika kwa kiswahili..
Siyo style bali ni "mtindo"
Chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan, Tanzania ni bora kabisa kuvumilia takataka inazoweza kuzisafisha; kuliko uharibifu mkubwa unaotokana na uongozi mbovu chini ya Samia.Pole pole shujaa mpya wa chadomo ni takataka kama takataka zingine.
Alitaka nani awe rais wa JMT?
..Kipindi kimoja kinacover uchaguzi mmoja hadi uchaguzi mwingine unaofuata..kwanza hakuchaguliwa km rais, pili amechukua urais tayari miezi miwili ilishapita toka rais aapishwe..Kwanini sio sawa kusema SSH kawa raisi kwa kipindi kimoja mkuu?
mbona katiba inatambua kwamba yeye kashapiga kipindi kimoja?..Kipindi kimoja kinacover uchaguzi mmoja hadi uchaguzi mwingine unaofuata..kwanza hakuchaguliwa km rais, pili amechukua urais tayari miezi miwili ilishapita toka rais aapishwe..
Haujamuelewa Pole Pole ,amesema "WATCH_HUNDRED" alikuwa makamu wa Rais kwa miaka mitano na Rais kwa miaka mitano kasoro miezi miwili tu kwa kifupi SIR100 kashagonga miaka 10 kuwa kwenye High Ranks ,sasa aongezewe mitano tena aende kufanya kitu gani? #KATAA_WAHUNI.Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Urais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
Ingebadilisha nini hata kama angefuata utaratibu??Tuseme polepole kakosea Ila je kwanini Samia hakufata taratibu na katiba ya Ccm .
Mfano kupigiwa kura , kutafuta wadhamini , kwenda kuchukua Fomu ya urais n.k.?
Pole pole yawezekana hayuko sahihi Ila Ccm ndo hawako sahihi Sana .
Katiba ipi na inatambuaje..fafanuambona katiba inatambua kwamba yeye kashapiga kipindi kimoja?
Na hizi sababu ulizozitaja ndo anazozitumia Mseveni na Kagame kujiongezea mda wa kubaki madarakaniJipya lililopo ni kama ifuatavyo..
1. Ilani huwa hazifanani kwa vipindi hvyo viwili.
2. Muundo wa baraza la mawaziri hutofautiana kutoka kipindi kimoja kwenda kingine kutegemeana na rais aliyepo madarakani.
3. Utekelezaji wa ilani hyo hutofautiana kutok kipindi kimoja kwenda kingine kutegemeana na bajeti ya nchi kulingana na sera, dira na hali ya uchumi kwa kipindi hicho cha miaka 5.
4. Hata wajumbe wa kisekta wa chama na vikao vyake huwa ni tofauti (kumbuka kila baada ya miaka 5, ccm hufanya uchaguzi wa ndani)
5. Ari ya kiongozi mwenyewe ikiwemo aina yake ya uongozi.
6. Mapokeo ya wananchi kwa kipindi hcho cha uongozi.
SABABU NI NYINGI MNO.
Anajua fika..Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
..ibara ya 37(5) inasemaje..
ibara hiyo ya 40(4) lengo la kukupa hiyo ni kusasahisha comment yako hii..ibara ya 37(5) inasemaje..
..Kipindi kimoja kinacover uchaguzi mmoja hadi uchaguzi mwingine unaofuata..kwanza hakuchaguliwa km rais, pili amechukua urais tayari miezi miwili ilishapita toka rais aapishwe..
ibara hiyo ya 40(4) lengo la kukupa hiyo ni kusasahisha comment yako hii
hiyo 40(4) sioni tatizo lake
naam, ni sawa40(4) Inampa Samia nafasi ya kugombea urais 2025 lakini inamnyima nafasi ya kugonbea urais 2030.
Ni sahihi..kulingana na katiba.ibara hiyo ya 40(4) lengo la kukupa hiyo ni kusasahisha comment yako hii
hiyo 40(4) sioni tatizo lake
Kasome katiba ya JMT ibara 37(5) na 40(4). Mambo haya hayahitaji ushabiki na mihemko.Awamu ya uongozi ni miaka 5 au 10. Samia alikua anamalizia awamu ya 5 kama mwenza wa Magufuri. Sasa utaratibu unaanza upya. Mbona wewe hulizungumzii hili.
Upo sahihi kabisaTatizo lake ni samia; siyo kukerwa na ukosefunwa haki na demokrasia.