Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

n
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Hongera mwanasheria kwa kutoa ufafanuzi mpana.

Mwinyi pekee ni rais aliyeingia madarakani bila ya mkutano mkuu kumshindanisha na wagombea wengine, mwaka ule wa 1995 tulikuwa bado ndani ya mfumo wa chama kimoja.

Waliofuatia wote walilazimika kushindanishwa na wagombea wengine kukidhi matakwa ya demokrasia halisi.

Mwaka 2021 March mpaka 2025 October ni karibu miaka mitano, kwa ufupi JPM alihudumu ikulu kwa miaka ile ile mitano ya muhula wake wa kwanza.

Hapakuwa na sababu ya uwepo wa mshindani wa Samia wakati ameshahudumu ikulu kwa asilimia zaidi ya 90 ya muda wa muhula wake wa kwanza.
 
Awamu yake ya kwanza imeanza lin?!…katiba imetamuka awamu za rais ni miaka 5,sasa samia amekaa miaka 4 hyo inakua ni awamu ya wapi?!
Awamu ya sita ilianza siku ile alipoapa pale ikulu ukawa ni muhula wake wa kwanza wa urais.

October 2025 kwenye uchaguzi mkuu haipo sababu ya kumpinga rais anayetaka kuendeleza muhula wake wa pili. Na huo ni utaratibu wa ndani ya CCM kwa marais waliomtangulia.
 
Mgombea amechukua form?

Mgombea ameleta wadhamini wa bara na visiwani

Kaka haya yote bado kwa katiba ya CCM then mgombea ni batili
Anayechukua fomu ni yule anayetaka kuwa urais. Samia kaongoza nchi kwa miaka minne achukue fomu ya kazi gani?.

Jiendelezeni kielimu ili muondokane na hizi hoja zenu zinazopwaya.
 
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Vipi desturi ya kumwaga oil kila baada ya awamu yaani miaka kumi, mbona hiyo hujaizungumzia?...
 
Hii desturi imeandikwa wapi na ni lini iliandikwa na ikaanza kufanya kazi?
Tukianza na nafasi ya spika, mzee msekwa, mzee sita unajua waliwahi kugombea uraisi? Unajua ukimuondoa majaliwa hakuna waziri mkuu ambaye hajawahi kugombea urais?(kama yupo nikumbushe)..
Makamu rais wa kikwete unajua aligombea urais(mzee bilali), mzee shein kaenda znz,
Hii desturi iliandikwa lini na ilianza kutumika lini?
Pole Pole anatumiwa na kundi la kina Ndugai, Makamba mtoto na Nape. Wanasiasa wanaodhani wanayo haki ya kuzaliwa ya kuongoza watu.
 
Anaomba kupata AWAMU ya Kwanza (2025-2030) hii ya 2021-2025 ni ya Magufuli
2021-2025 Inatambulika kuwa ni awamu ya kwanza ya Samia inaitwa awamu ya sita Magufuli alishaondoka kwenye equation alishafariki tayari. 2025-2030 muhula wa pili wa awamu ya sita.

Hakuna cha rais wa mpito, alipokea kijiti cha rais aliyekuwepo akaanza awamu yake na anamalizia 2030.
 
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Anachosema Pole Pole ni kuwa kama ccm itakubali kwenda kwenye sanduku la kura bila shaka SSM hatoboi!
 
2021-2025 Inatambulika kuwa ni awamu ya kwanza ya Samia inaitwa awamu ya sita Magufuli alishaondoka kwenye equation alishafariki tayari. 2025-2030 muhula wa pili wa awamu ya sita.

Hakuna cha rais wa mpito, alipokea kijiti cha rais aliyekuwepo akaanza awamu yake na anamalizia 2030.
Unapotosha... Awamu ni ya Tano kama mngetaka awamu ya sita mngeitisha uchaguzi kusitisha awamu iliyopita Ili wapatikane viongozi wa awamu mpya waongoze kwa miaka yao 5!
Awamu inakuwaje ya sita wakati madiwani, wabunge, na Uongozi wa bunge ni awamu ile ile?
 
Na katiba ipo wazi sijui kwa nn hawa watu wanashupaza shingo
 
Anayechukua fomu ni yule anayetaka kuwa urais. Samia kaongoza nchi kwa miaka minne achukue fomu ya kazi gani?.

Jiendelezeni kielimu ili muondokane na hizi hoja zenu zinazopwaya.

So magufuli alipochukua form akiwa Rais alikosea? Au jk alikosea?
 
Attachments

  • Screenshot_20250725_113059.jpg
    Screenshot_20250725_113059.jpg
    585.9 KB · Views: 17
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).

Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.

Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.

Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Tatizo la Polepole, hajawahi kukubali wala kumtazama Rais Dr Samia suluhu hasan kama Rais. Kwake Rais Dr Samia Suluhu Hasan anamuona kama makamu wa Rais au kwa karibu sana kama Kaimu Rais. Hili ndio TATIZO KUBWA LA POLEPOLE. Sijui kwa upande wake Rais sasa hivi ni nani? Jibu analo mwenyewe.

Kifupi, huyu kijana Polepole ni wa kumpotezea tu, hajui atendalo.
 
Unapotosha... Awamu ni ya Tano kama mngetaka awamu ya sita mngeitisha uchaguzi kusitisha awamu iliyopita Ili wapatikane viongozi wa awamu mpya waongoze kwa miaka yao 5!
Awamu inakuwaje ya sita wakati madiwani, wabunge, na Uongozi wa bunge ni awamu ile ile?
Kitendo cha rais kuapa tayari ni uthibitisho wa kuanza kwa awamu mpya. Hawezi kuapa rais halafu awamu ikaendelea ile ile.
 
So magufuli alipochukua form akiwa Rais alikosea? Au jk alikosea?
Kitendo cha rais kuapishwa na jaji mkuu ni ushahidi wa kuanza kwa awamu yake ya uongozi. Hawezi kuapa rais halafu akaendelea kuwa sehemu ya awamu ya mtangulizi wake.

Samia akiondoka leo akaja rais mwingine ni lazima ataapishwa ili aweze kuwa na madaraka kamili na hapo inaanza awamu ya saba ambayo kila kitu kinakuwa na mtazamo na vionjo vya kwake.
 
Tatizo la Polepole, hajawahi kukubali wala kumtazama Rais Dr Samia suluhu hasan kama Rais. Kwake Rais Dr Samia Suluhu Hasan anamuona kama makamu wa Rais au kwa karibu sana kama Kaimu Rais. Hili ndio TATIZO KUBWA LA POLEPOLE. Sijui kwa upande wake Rais sasa hivi ni nani? Jibu analo mwenyewe.

Kifupi, huyu kijana Polepole ni wa kumpotezea tu, hajui atendalo.
Analo faili kule Milembe, ni mgonjwa wa akili , wa kupuuzwa tu.
 
Awamu ya uongozi ni miaka 5 au 10. Samia alikua anamalizia awamu ya 5 kama mwenza wa Magufuri. Sasa utaratibu unaanza upya. Mbona wewe hulizungumzii hili.
Hoja hii ni sahihi,
Maana inalenga kumpa Rais anayemalizia muda wake kwa kukaimu,
Ashiriki na wengine angalau watano au zaidi kuomba ridhaa ya chama kuweza kunadi sera mpya za awamu mpya ya Sita yenye miaka 10 ijayo,
Sasa kwa kigezo hicho Samia aruhusu chama kiandae sera za kunadi kwa ajili ya miaka 10 ijayo ya awamu ya Sita, na kama akishinda anaweza tawala miaka 10
ya awamu ya sita, huku akiwa amekaimu kumalizia awamu ya 5.
Hapo panampendezea afuate utaratibu wa awamu. Tufanye hii anayomaliza ni awamu ya 5.
 
Kitendo cha rais kuapishwa na jaji mkuu ni ushahidi wa kuanza kwa awamu yake ya uongozi. Hawezi kuapa rais halafu akaendelea kuwa sehemu ya awamu ya mtangulizi wake.

Samia akiondoka leo akaja rais mwingine ni lazima ataapishwa ili aweze kuwa na madaraka kamili na hapo inaanza awamu ya saba ambayo kila kitu kinakuwa na mtazamo na vionjo vya kwake.

Hoja ni uchukuaji sa form

Sio kiapo,

Kwani magu alipochukua form awamu yake ya pili hakuwa ameapishwa awamu yake ya kwanza
 
Hoja hii ni sahihi,
Maana inalenga kumpa Rais anayemalizia muda wake kwa kukaimu,
Ashiriki na wengine angalau watano au zaidi kuomba ridhaa ya chama kuweza kunadi sera mpya za awamu mpya ya Sita yenye miaka 10 ijayo,
Sasa kwa kigezo hicho Samia aruhusu chama kiandae sera za kunadi kwa ajili ya miaka 10 ijayo ya awamu ya Sita, na kama akishinda anaweza tawala miaka 10
ya awamu ya sita, huku akiwa amekaimu kumalizia awamu ya 5.
Hapo panampendezea afuate utaratibu wa awamu. Tufanye hii anayomaliza ni awamu ya 5.
Yes!
Na muhuni/wahuni waliopotosha kuwa hii ni Awamu ya 6 wafukuzwe ccm na yy kama kiongozi mkuu awajibike kwa kulikubali hilo, kayumbishwa hafai kuendelea kwa muktadha huo.
 
Hoja ni uchukuaji sa form

Sio kiapo

Kwani magu alipochukua form awamu yake ya pili hakuwa ameapishwa awamu yake ya kwanza
Hoja ni huyo anayechukua fomu hitimisho ni kiapo chake cha urais.

Akishaapa inaanza awamu inayokuwa chini yake, tatizo tunashindwa kumuangalia Samia katika nafasi ya urais tunamdharau sasa tuendelee kuishi na dharau zetu wakati yeye akiishi miaka ya urais wake.
 
Urais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
Anaomba sawa, kuomba kuna kukubaliwa na kukataliwa.

Akikataliwa je nani yupo mbadala? Unajua maana ya kuomba?

Ni lazima kuwe na Mtu mwingine pemben ambae hata kama tusipokuptsha basi ataptishwa yeye.

Hata kama ni KIBABE ila lazima awekwe hata mtu geresha wa kuzugia

Kwann hamna, huoni kama kashajiamulia kupita na haombi kama usemavyo.

Mke Wako akwambie Naomba kwenda Saloon, Muda huo kashafika saloon anasukwa.. hapo kakuomba au kashafanya?

Huyu yeye Haombi maana yuko peke ake Tusitumie neno Kuomba vibaya..

Huyu ni Dikteta alie amua kuganda madarakani.

Sababu alizotumia ndio ambazo

Wananchi/Pole Pole hatumuelewi
 
Back
Top Bottom