Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Swala sio watu kuwepo mbona una ugumu kuelewa vitu vidogo tu, polisi wamepigiwa simu kuna marehemu walichokikuta si ni lazima watolee ufafanuzi na taarifa walichokikuta pale
Mtoto wa ndugu yangu alifia Hostel mwaka jana, mbona Polisi hawakuwaambia watanzania?
 
Tatizo ni weledi, hili swala polisi wangeweza ku deal nalo bila kulianika kwenye vyombo vya habari na kulifanya kubwa.
Mzee mstaafu wa miaka 80 wanaidhalilisha familia yake kabisa aisee. Sad indeed.
 
Kama hiyo haitoshi mpaka chumba husika #22 hapo Mbezi garden kimetajwa pia kwenye ripoti
 
Tena na maandishi ya polisi ina maana kuna askari aliyachapa kwenye social media, so unprofessional na unethical
Badala ya kuungama wanaleta ubishi usio na faida. Wakumbuke wao pia wanao wazee wastaafu na ipo siku yatawakuta
 
Angekutwa na mzee mwenzake huenda wangemhifadhi! Swala ni wazee kuparamia umri mdogo! Nakumbuka mama Terry alizungumza sana kuhusu hili jambo ila siku hizi kakaa kimya. Pamoja na kumdhalilisha ni fundisho kwa jamii
 
Angekutwa na mzee mwenzake huenda wangemhifadhi! Swala ni wazee kuparamia umri mdogo! Nakumbuka mama Terry alizungumza sana kuhusu hili jambo ila siku hizi kakaa kimya.
Ni binadamu gani asiye na dhambi?...
 
Kuna mtu hachepuki lakini anakula rushwa. Hii sio dhambi?
 
Tatizo ni weledi, hili swala polisi wangeweza ku deal nalo bila kulianika kwenye vyombo vya habari na kulifanya kubwa.
Angalau wakitangaza hivi wazee wenzie ambao nin wakware wataogopa kwenda maeneo hayo lipo some hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…