NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kutangaza tukio ni taratibu za kipolisi lakini sio kilatukio litatangazwa au kutotangazwa.akuna rai itakayokubaliwa kuacha kutangaza kwa kuogopa kutoa aibu ya mtu/watu au marehemu.Mkuu, sheria siku zote haipo straight ndio maana kule mahakamani kuna wazee wa baraza. Kwanini ni wazee wa baraza na sio vijana wa baraza?
Mtoto wa ndugu yangu alifia hostel mwaka jana lakini hakutangazwa, kwanini?
Nina wasiwasi huyu Babu atakuwa anakuhusu pole sanaBusara huwa haihitaji mtu awe amesoma sana ili kujua hili halikuwa sahihi
Pole sana, sidhani kama umerudia tena hilo kosa kwa hawa watoto wa digitali [emoji3][emoji3][emoji3]Mzee wa miaka 80 lazima uwe na matatizo ya moyo; lakini pia, uwezo wa kusex unakuwa umepungua sana, kwamba, ukiwa na tabia ya kupenda vimwana, tena hawa wa kisasa na kujiremba kwao, lazima utashawishika kuji-boost kwa "vumbi la kongo" ili "umfaidi mtoto".
Watoto wenyewe ukakutana hana busara akakuchukulia kama kijana kwa kujitoa akufurahishe ili akuchune vizuri; kosa! Lazima moyo utasimama upende usipende. Niliwahi ponea chupuchupu, yaani, tuseme ni Mungu tu alininusuru na mauti siku hiyo. Hawa wajukuu zetu na mitindo yao wanayojifunza kupitia pornography, ni hatari.
Hata hivyo, kuijulisha jamii si mbaya kwa ajili ya kujifunza na kuchukuwa tafadhali.
Buster ktk age kama ya huyo , pressure ni kama kumsukuma mlevi.Kutangaza tukio ni taratibu za kipolisi lakini sio kilatukio litatangazwa au kutotangazwa.akuna rai itakayokubaliwa kuacha kutangaza kwa kuogopa kutoa aibu ya mtu/watu au marehemu.
Tukio kama la uyu mzee ni la aina yake la mzee kumla tunda kimas-khara mjukuu wake lakini pia na uhai wa babu umepotea kwenye mazingira ya sintofahamu.
Kama umekiri kuwa zote ni dhambi najua sasa umeelewaZote ni dhambi ila haina justifications kwa kile unachotaka kufanya utetezi kwenye hilo
Hahahahaaaaa hapana mkuu, ninaongelea busara kwa wastaafuNina wasiwasi huyu Babu atakuwa anakuhusu pole sana
Mkuu sio mstaafu tu hata wewe kijana kwanza onyesha stara utastiriwa, kwani hivi huwa havitokei majumbani je umeshayasikia?Wastaafu ni lazima wasitiriwe utu wao mkuu.
Huwezi kuamini Leo ndio J5 ndio naiona kwa UdakuMbona hii story ina-trend sana tangia jana katika social media platforms mzee baba?
Mzee amekosea kama ambavyo mimi na wewe huwa tunakosea mara kwa mara ndio maana nikaiita hii case kuwa ni aibu.Mkuu sio mstaafu tu hata wewe kijana kwanza onyesha stara utastiriwa
OkayHuwezi kuamini Leo ndio J5 ndio naiona kwa Udaku
Taarifa za suala kama hili za kutokea majumbani sijawahi kuzisikiaMkuu sio mstaafu tu hata wewe kijana kwanza onyesha stara utastiriwa, kwani hivi huwa havitokei majumbani je umeshayasikia?
Ushauri mzuriBuster ktk age kama ya huyo , pressure ni kama kumsukuma mlevi.
Nashauri wazee wenzangu kuridhika na zawadi aliotupa Mungu (uzee)
Odhis *
Pole sana, sidhani kama umerudia tena hilo kosa kwa hawa watoto wa digitali [emoji3][emoji3][emoji3]
Aibu kwa familia na ukoo mzimaAna mke huyu mzee? Kama yupo, apewe pole sana. Sijui familia watalia kwenye msiba au wataona bora yaishe haraka haraka?
Ile matini (document) iliyozunguka mitandaoni ni ya kiofisi ambayo haikuwa vyema sana isomwe na kila mtu.Polisi wasipotangaza pia mtaanza kulalamika
Kwa kuwa umeanza na neno "Jinga wewe" siwezi kukujibu zaidi ya hapaJinga wewe, siyo ninyi mnaosema si bure ni watu wasiojulikana mkimaanisha serikali ya CCM. Kwani kuna ubaya gani ikafahamika chanzo cha kifo chake? Watu wajue ujinga wa marehemu na iwe fundisho kwa wenye tabia kama za makerege.
Hatuna jema. Taarifa zikifichwa mnalalamika, zikianikwa kwanini mmeanika.
Wangeweza kutoa maelezo yote hayo bila kutaja jina, mbona huwa wanafanya hivyo kwa majambazi na watu wengine pale wanapoamua wao? Weledi tu ni tatizo.Angalau wakitangaza hivi wazee wenzie ambao nin wakware wataogopa kwenda maeneo hayo lipo some hapo
Sahihi kabisa mkuu...Wangeweza kutoa maelezo yote hayo bila kutaja jina, mbona huwa wanafanya hivyo kwa majambazi na watu wengine pale wanapoamua wao?