NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kutangaza tukio ni taratibu za kipolisi lakini sio kilatukio litatangazwa au kutotangazwa.akuna rai itakayokubaliwa kuacha kutangaza kwa kuogopa kutoa aibu ya mtu/watu au marehemu.Mkuu, sheria siku zote haipo straight ndio maana kule mahakamani kuna wazee wa baraza. Kwanini ni wazee wa baraza na sio vijana wa baraza?
Mtoto wa ndugu yangu alifia hostel mwaka jana lakini hakutangazwa, kwanini?
Tukio kama la uyu mzee ni la aina yake la mzee kumla tunda kimas-khara mjukuu wake lakini pia na uhai wa babu umepotea kwenye mazingira ya sintofahamu.