Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Mkuu, sheria siku zote haipo straight ndio maana kule mahakamani kuna wazee wa baraza. Kwanini ni wazee wa baraza na sio vijana wa baraza?

Mtoto wa ndugu yangu alifia hostel mwaka jana lakini hakutangazwa, kwanini?
Kutangaza tukio ni taratibu za kipolisi lakini sio kilatukio litatangazwa au kutotangazwa.akuna rai itakayokubaliwa kuacha kutangaza kwa kuogopa kutoa aibu ya mtu/watu au marehemu.
Tukio kama la uyu mzee ni la aina yake la mzee kumla tunda kimas-khara mjukuu wake lakini pia na uhai wa babu umepotea kwenye mazingira ya sintofahamu.
 
Mzee wa miaka 80 lazima uwe na matatizo ya moyo; lakini pia, uwezo wa kusex unakuwa umepungua sana, kwamba, ukiwa na tabia ya kupenda vimwana, tena hawa wa kisasa na kujiremba kwao, lazima utashawishika kuji-boost kwa "vumbi la kongo" ili "umfaidi mtoto".

Watoto wenyewe ukakutana hana busara akakuchukulia kama kijana kwa kujitoa akufurahishe ili akuchune vizuri; kosa! Lazima moyo utasimama upende usipende. Niliwahi ponea chupuchupu, yaani, tuseme ni Mungu tu alininusuru na mauti siku hiyo. Hawa wajukuu zetu na mitindo yao wanayojifunza kupitia pornography, ni hatari.

Hata hivyo, kuijulisha jamii si mbaya kwa ajili ya kujifunza na kuchukuwa tafadhali.
Pole sana, sidhani kama umerudia tena hilo kosa kwa hawa watoto wa digitali [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kutangaza tukio ni taratibu za kipolisi lakini sio kilatukio litatangazwa au kutotangazwa.akuna rai itakayokubaliwa kuacha kutangaza kwa kuogopa kutoa aibu ya mtu/watu au marehemu.
Tukio kama la uyu mzee ni la aina yake la mzee kumla tunda kimas-khara mjukuu wake lakini pia na uhai wa babu umepotea kwenye mazingira ya sintofahamu.
Buster ktk age kama ya huyo , pressure ni kama kumsukuma mlevi.

Nashauri wazee wenzangu kuridhika na zawadi aliotupa Mungu (uzee)

Odhis *
 
Pole sana, sidhani kama umerudia tena hilo kosa kwa hawa watoto wa digitali [emoji3][emoji3][emoji3]
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
 
Polisi wasipotangaza pia mtaanza kulalamika
Ile matini (document) iliyozunguka mitandaoni ni ya kiofisi ambayo haikuwa vyema sana isomwe na kila mtu.

Ni vyema wakubali (polisi) waliteleza na wahusika wawajibike japokuwa kimoyo-moyo.
 
Jinga wewe, siyo ninyi mnaosema si bure ni watu wasiojulikana mkimaanisha serikali ya CCM. Kwani kuna ubaya gani ikafahamika chanzo cha kifo chake? Watu wajue ujinga wa marehemu na iwe fundisho kwa wenye tabia kama za makerege.

Hatuna jema. Taarifa zikifichwa mnalalamika, zikianikwa kwanini mmeanika.
 
Kwa kuwa umeanza na neno "Jinga wewe" siwezi kukujibu zaidi ya hapa
 
Angalau wakitangaza hivi wazee wenzie ambao nin wakware wataogopa kwenda maeneo hayo lipo some hapo
Wangeweza kutoa maelezo yote hayo bila kutaja jina, mbona huwa wanafanya hivyo kwa majambazi na watu wengine pale wanapoamua wao? Weledi tu ni tatizo.
Kuhusu kuwa wengine wataacha baada ya kuona hilo, hilo haliwezekani, dhambi zipo toka dunia imeumbwa.
 
Back
Top Bottom