Surveyor_1
Member
- Jan 2, 2022
- 58
- 52
Unaweza kufafanuq zaidi mkuu,sijakupata vizuriUfaulu wao umeongezwa tofauti na Hawa wengine wao wa maksi kubwa.
Sio kweli. kuna watu wanasoma kama PC wakiwa hawajawahi kusoma/kufanya mitihani kwa kuwa mfumo uliwaacha nyuma kwa sababu mbalimbali, wakalazimika kuwa PC bila kupenda. Na shule tumesoma nao full time na darasani wako fit kuliko hata School candidates ila kwenye results la NECTA unakuta chali ππ.Kweli umevurugwa. Umeuliza ishu mbili tofauti.
Najibu title kama ifuatavyo
βNi vigumu sana kusoma na kufaulu kitu unachohisi unakijua ama ulichowahi kusomaβ kwa ufupi PC wengi vikombe vyao vimejaa!
πSio kweli. kuna watu wanasoma kama PC wakiwa hawajawahi kusoma/kufanya mitihani kwa kuwa mfumo uliwaacha nyuma kwa sababu mbalimbali, wakalazimika kuwa PC bila kupenda. Na shule tumesoma nao full time na darasani wako fit kuliko hata School candidates ila kwenye results la NECTA unakuta chali ππ.
Kuna mwamba mmoja tu nilisoma nae yule ndo alinistaajabisha alipiga 1.9 ya PCM kama PC. Mpaka leo sijawahi kuelewa aliwezaje.
Nimekupata vizuri mkuu,asante sana sana kwa muongozoIko hivi PC wengi wanazinigua mitihani ya NECTA kutokana wanakuwa wanasoma bila usimamizi mkali na mkazo kama walivyokuwa hawa school candidate..
Unakuta PC anapepa la NECTA lakini ile pressure ya NECTA anakuwa hana kutokana yupo mzingira ya mtaani pia PC wengi wanakuwa wansoma huku wanafanya mishe mbali mbali kitaa at the end anakosa muda wa kupitia
Pia PC wengine unakuta kamaliza NECTA form 2010 hafu unakuja kurisit 2022 hapo kutoboa ni ngumu coz teyeri umri ushakutupa mkono unakuwa na mambo mengi na mambo mengi unakuwa umesahau ni kama unaanza upya.Kurisit hutakiwi kuzidisha miaka 3 tangu umalize shule
Ukifatilia matokeo mengi ya PC (rissiters) wengi huwa wanakimbia kabisa pepa hawafanyi maana anaona pepa limefika hafu kichwani mweupe so anaamua kunyuti na hakuna mtu atamuuliza ili mradi alishawalipa NECTA chao na kituo washachukua pesa yake so ni yeye apige pepa(kutetea pesa yake ) au laaah.
Binafsi naamini PC akipata mazingira ya kusoma under pressure NECTA anapasua bila stress so mtu kama unaresit ni vema ukaenda na shule kabisa yahn uwe mwanafunzi kwa huo mwaka unaopiga pepa
Haha mechanical engineer mdau mbobezi wa elimuIko hivi PC wengi wanazinigua mitihani ya NECTA kutokana wanakuwa wanasoma bila usimamizi mkali na mkazo kama walivyokuwa hawa school candidate..
Unakuta PC anapepa la NECTA lakini ile pressure ya NECTA anakuwa hana kutokana yupo mzingira ya mtaani pia PC wengi wanakuwa wansoma huku wanafanya mishe mbali mbali kitaa at the end anakosa muda wa kupitia
Pia PC wengine unakuta kamaliza NECTA form 2010 hafu unakuja kurisit 2022 hapo kutoboa ni ngumu coz teyeri umri ushakutupa mkono unakuwa na mambo mengi na mambo mengi unakuwa umesahau ni kama unaanza upya.Kurisit hutakiwi kuzidisha miaka 3 tangu umalize shule
Ukifatilia matokeo mengi ya PC (rissiters) wengi huwa wanakimbia kabisa pepa hawafanyi maana anaona pepa limefika hafu kichwani mweupe so anaamua kunyuti na hakuna mtu atamuuliza ili mradi alishawalipa NECTA chao na kituo washachukua pesa yake so ni yeye apige pepa(kutetea pesa yake ) au laaah.
Binafsi naamini PC akipata mazingira ya kusoma under pressure NECTA anapasua bila stress so mtu kama unaresit ni vema ukaenda na shule kabisa yahn uwe mwanafunzi kwa huo mwaka unaopiga pepa
Naam mtalaamu wa hisabati daslamu.Haha mechanical engineer mdau mbobezi wa elimu
Huyo pimbi alikuwa bado hajawajua hao viumbe..! Sasa kikamkuta hivi unafutaje matokeo kifalafala hivyo..? Mapimbi ni mapimbi tu!. Vipi msela bado yupo na huyo manziHii stori alituhadithia mwalimu wetu.
Ni nje ya mada.
Jamaa alikua 6 mpenzi wake hapo kijijini alikua form 5.
Ticha alivyopiga pepa ya 6 akapata divishen 2, yeye maisha yake yote ilikua lengo asome law UDSM. Basi akamuambia mchumba kwamba bwana eeh nina 2 ngoja nianze maombi.
Mpenzi akamwambia usiende sasa hivi. Nisubiri na mimi ili twende chuo kwa pamoja. Ticha kwa kuona hana sababu ya msingi ya kumuambia mzee wake juu ya yeye kutofanya maombi mwaka huo akarudi home kajinunisha akamuambia mzee wake "Bwana mi hii 2 sijaridhika nayo inadhalilisha ukoo"
Akaendelea "Ninaomba uniruhusu niresit"
Baba mtu hakuongeza neno mipango ikafanywa so ticha mwaka huo akapiga pepa na mpenzi wake.
Matokeo yakatoka ticha ana 3, mpenzi ana 1. Ticha akamuomba mdada amsubirie afanye clearancdada akagoma akajiendea UDSM ticha akaenda UDOM kusomea ualimu wa Kiswahili na ndiyo tukakutana hapo TMK
Kuna watu akili zao zina shida gani yahn serious umefaulu kwa kupata daraja la pili hafu unarudia pepa ila upate divisheni 1 tena kwa ushawishi wa mwanamke daah....Hii stori alituhadithia mwalimu wetu.
Ni nje ya mada.
Jamaa alikua 6 mpenzi wake hapo kijijini alikua form 5.
Ticha alivyopiga pepa ya 6 akapata divishen 2, yeye maisha yake yote ilikua lengo asome law UDSM. Basi akamuambia mchumba kwamba bwana eeh nina 2 ngoja nianze maombi.
Mpenzi akamwambia usiende sasa hivi. Nisubiri na mimi ili twende chuo kwa pamoja. Ticha kwa kuona hana sababu ya msingi ya kumuambia mzee wake juu ya yeye kutofanya maombi mwaka huo akarudi home kajinunisha akamuambia mzee wake "Bwana mi hii 2 sijaridhika nayo inadhalilisha ukoo"
Akaendelea "Ninaomba uniruhusu niresit"
Baba mtu hakuongeza neno mipango ikafanywa so ticha mwaka huo akapiga pepa na mpenzi wake.
Matokeo yakatoka ticha ana 3, mpenzi ana 1. Ticha akamuomba mdada amsubirie afanye clearancdada akagoma akajiendea UDSM ticha akaenda UDOM kusomea ualimu wa Kiswahili na ndiyo tukakutana hapo TMK
Alitemwa baada ya ile 2. Kama walirudiana hakuwahi kutuambia mpaka namaliza shule paleHuyo pimbi alikuwa bado hajawajua hao viumbe..! Sasa kikamkuta hivi unafutaje matokeo kifalafala hivyo..? Mapimbi ni mapimbi tu!. Vipi msela bado yupo na huyo manzi
Aliweza Kwa kusoma..Sio kweli. kuna watu wanasoma kama PC wakiwa hawajawahi kusoma/kufanya mitihani kwa kuwa mfumo uliwaacha nyuma kwa sababu mbalimbali, wakalazimika kuwa PC bila kupenda. Na shule tumesoma nao full time na darasani wako fit kuliko hata School candidates ila kwenye results la NECTA unakuta chali [emoji849][emoji849].
Kuna mwamba mmoja tu nilisoma nae yule ndo alinistaajabisha alipiga 1.9 ya PCM kama PC. Mpaka leo sijawahi kuelewa aliwezaje.
Yeah alikuwa anasoma, alikuwa anavunja sana hizo Physics na Pure Maths kuliko walimu, yaani kuna kipindi mwalimu akichemka akashindwa kueleweka jamaa anamsaidia mwalimu kwa wepesi kabisa ππ.Aliweza Kwa kusoma..