Surveyor_1
Member
- Jan 2, 2022
- 58
- 52
- Thread starter
- #21
Shukran sana chiefSababu kuu
1. Private candidates wengi ni grade 3.
Wengi walishafeli(makapi) am sorry.
2.Husoma nusunusu(kunusa)
3.,Umri au majukumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sana chiefSababu kuu
1. Private candidates wengi ni grade 3.
Wengi walishafeli(makapi) am sorry.
2.Husoma nusunusu(kunusa)
3.,Umri au majukumu.
Dah,sio poaHii stori alituhadithia mwalimu wetu.
Ni nje ya mada.
Jamaa alikua 6 mpenzi wake hapo kijijini alikua form 5.
Ticha alivyopiga pepa ya 6 akapata divishen 2, yeye maisha yake yote ilikua lengo asome law UDSM. Basi akamuambia mchumba kwamba bwana eeh nina 2 ngoja nianze maombi.
Mpenzi akamwambia usiende sasa hivi. Nisubiri na mimi ili twende chuo kwa pamoja. Ticha kwa kuona hana sababu ya msingi ya kumuambia mzee wake juu ya yeye kutofanya maombi mwaka huo akarudi home kajinunisha akamuambia mzee wake "Bwana mi hii 2 sijaridhika nayo inadhalilisha ukoo"
Akaendelea "Ninaomba uniruhusu niresit"
Baba mtu hakuongeza neno mipango ikafanywa so ticha mwaka huo akapiga pepa na mpenzi wake.
Matokeo yakatoka ticha ana 3, mpenzi ana 1. Ticha akamuomba mdada amsubirie afanye clearancdada akagoma akajiendea UDSM ticha akaenda UDOM kusomea ualimu wa Kiswahili na ndiyo tukakutana hapo TMK
Hizo ndugu asaivi awatoi kwa pdf zinatoka kama vile uonavyo matokeo ya kidato Cha 4 au 6 zikitoka utazikuta kwa page ya tamisemiJAMANI NDUGU ZANGUNI MWENYE PDF YA MAJINA YA POST ZA KIDATO CHA TANO NAOMBA PLEASE
PC hapa na sijawai pata chini ya Division one o-level na A-level.Habari wana JF.
Kuna mwalimu mmoja mstaafu nilimsikia akisema private candidates mara nyingi huwa hawafanyi vizuri kwa kuwa alama zao za mitihani hugawanya nusu kwa kuwa wao huwa hawana assessments za darasani na majaribio kama school candidates.
Ama kwa upande wa school candidates wao yale majaribio na mitihani ya kipindi chote cha masomo huwa yanawabeba kwenye mtihani wa mwisho.
Je, kuna ukweli wowote juu ya hili? Msaada went great thinkers.
Pongezi mwamba na asante kwa ushuhuda.PC hapa na sijawai pata chini ya Division one o-level na A-level.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Story yako ni chai ama ya kutunga, na kama huyo ticha wenu ndo aliwahadithia basi alkua anafurahisha darasa muda uende..Hii stori alituhadithia mwalimu wetu.
Ni nje ya mada.
Jamaa alikua 6 mpenzi wake hapo kijijini alikua form 5.
Ticha alivyopiga pepa ya 6 akapata divishen 2, yeye maisha yake yote ilikua lengo asome law UDSM. Basi akamuambia mchumba kwamba bwana eeh nina 2 ngoja nianze maombi.
Mpenzi akamwambia usiende sasa hivi. Nisubiri na mimi ili twende chuo kwa pamoja. Ticha kwa kuona hana sababu ya msingi ya kumuambia mzee wake juu ya yeye kutofanya maombi mwaka huo akarudi home kajinunisha akamuambia mzee wake "Bwana mi hii 2 sijaridhika nayo inadhalilisha ukoo"
Akaendelea "Ninaomba uniruhusu niresit"
Baba mtu hakuongeza neno mipango ikafanywa so ticha mwaka huo akapiga pepa na mpenzi wake.
Matokeo yakatoka ticha ana 3, mpenzi ana 1. Ticha akamuomba mdada amsubirie afanye clearancdada akagoma akajiendea UDSM ticha akaenda UDOM kusomea ualimu wa Kiswahili na ndiyo tukakutana hapo TMK
Mimi sijawahi kua PC sijawahi prove alichohadithiaStory yako ni chai ama ya kutunga, na kama huyo ticha wenu ndo aliwahadithia basi alkua anafurahisha darasa muda uende..
Kama huyo tucha alirudia mtihani maana yke alkua na two seatings, ya kwanza alopata two na yapili alopata 3 so kwny kuomba chuo angeomba vp kwa kutumia second seating ilhali first seating amefanya vizur..
Nb. Ukirudia pepa haimanishi matokeo yako ya first seating yanafutwa
Kuna PC wapo wanafahuru sana. Mm nilipita huko na tulitusuaYeah alikuwa anasoma, alikuwa anavunja sana hizo Physics na Pure Maths kuliko walimu, yaani kuna kipindi mwalimu akichemka akashindwa kueleweka jamaa anamsaidia mwalimu kwa wepesi kabisa [emoji23][emoji23].
Walimu wote walikuwa wanamheshimu mwamba, pia yeye licha ya kuwa na uwezo mkubwa wa darasani na mkubwa ki umri kuliko hata walimu wengi ndo alikuwa mwanafunzi mwenye nidhamu.
Ki uhalisia kwa uwezo wake mwamba alitakiwa kupata 1.3 ila ndo hivyo aliapata 1.9 (CCC) Lkn huwa hatuachi kushangaa kwa sababu mimi sijawahi kuona PC kapiga Div One tena ya Science, tena zile enzi zetu(kipindi cha analogy [emoji23][emoji23])
Bila shaka kuna kitu ambacho NECTA wanakijua na sisi hatukijui kuhusu PC
Umeongea kitu cha msingi sanaa.Iko hivi PC wengi wanazinigua mitihani ya NECTA kutokana wanakuwa wanasoma bila usimamizi mkali na mkazo kama walivyokuwa hawa school candidate..
Unakuta PC anapepa la NECTA lakini ile pressure ya NECTA anakuwa hana kutokana yupo mzingira ya mtaani pia PC wengi wanakuwa wansoma huku wanafanya mishe mbali mbali kitaa at the end anakosa muda wa kupitia
Pia PC wengine unakuta kamaliza NECTA form 2010 hafu unakuja kurisit 2022 hapo kutoboa ni ngumu coz teyeri umri ushakutupa mkono unakuwa na mambo mengi na mambo mengi unakuwa umesahau ni kama unaanza upya.Kurisit hutakiwi kuzidisha miaka 3 tangu umalize shule
Ukifatilia matokeo mengi ya PC (rissiters) wengi huwa wanakimbia kabisa pepa hawafanyi maana anaona pepa limefika hafu kichwani mweupe so anaamua kunyuti na hakuna mtu atamuuliza ili mradi alishawalipa NECTA chao na kituo washachukua pesa yake so ni yeye apige pepa(kutetea pesa yake ) au laaah.
Binafsi naamini PC akipata mazingira ya kusoma under pressure NECTA anapasua bila stress so mtu kama unaresit ni vema ukaenda na shule kabisa yahn uwe mwanafunzi kwa huo mwaka unaopiga pepa
Mtaongea yote Hila usahishaji wa PC unautofauti mkubwa mnoo na school candidate PC wengi wanavitu kichwa I Hila likija swala la matokeo kupiga zero ni kugusa tu.
Ufaulu wao umeongezwa tofauti na Hawa wengine wao wa maksi kubwa.
NajuaDuu, huu ni ukweli usiosemwa?