Kwanini private candidates wengi huwa wanafeli (hawapati matokeo mazuri kama ya school candidates?

Dah,sio poa
 
Mtaongea yote Hila usahishaji wa PC unautofauti mkubwa mnoo na school candidate PC wengi wanavitu kichwa I Hila likija swala la matokeo kupiga zero ni kugusa tu
 
JAMANI NDUGU ZANGUNI MWENYE PDF YA MAJINA YA POST ZA KIDATO CHA TANO NAOMBA PLEASE
Hizo ndugu asaivi awatoi kwa pdf zinatoka kama vile uonavyo matokeo ya kidato Cha 4 au 6 zikitoka utazikuta kwa page ya tamisemi
 
PC hapa na sijawai pata chini ya Division one o-level na A-level.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
PC hapa na sijawai pata chini ya Division one o-level na A-level.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Pongezi mwamba na asante kwa ushuhuda.
Maana hili suala kwa PC mwenye mawazo ya kupata credit inakatisha tamaa ukifatilia takwimu na taarifa za wajuzi hata kabla hujaanza masomo
 
Story yako ni chai ama ya kutunga, na kama huyo ticha wenu ndo aliwahadithia basi alkua anafurahisha darasa muda uende..

Kama huyo tucha alirudia mtihani maana yke alkua na two seatings, ya kwanza alopata two na yapili alopata 3 so kwny kuomba chuo angeomba vp kwa kutumia second seating ilhali first seating amefanya vizur..

Nb. Ukirudia pepa haimanishi matokeo yako ya first seating yanafutwa
 
Mimi sijawahi kua PC sijawahi prove alichohadithia
 
Kuna PC wapo wanafahuru sana. Mm nilipita huko na tulitusua
 
Lakini ukiangalia matokeo ya PC kwa miaka hii ya karibuni ni wanafaulu sana. Division 1 zipo, but sijawahi kuona ya 7 kwa O level na 3 kwa Advance.
 
Umeongea kitu cha msingi sanaa.
 
Kwa uzoefu wangu Kama PC O-level to Advance

Niseme tu ukiwa Pc kweli ni ngumu Kupata A , hii utokana na Maandalizi maana Pc wengi Kama unavyojua hawana background nzuri ya Lugha ya kingereza na kuwa na mambo Mengi ya kiutu uzima so focus inakuaga ndogo kwao Katika kusoma.


Hapa Tanzania wanafunzi wengi wanaopata matokeo mabaya wengi hawana msingi mzuri wa lugha ya kingereza , unakuta PC kasoma vitu vingi Sana lakini siku ya mtihani anashindwa kukielewa swali anaenda out of points

Wengi pc niliofanya nao mtihani walikuwa wanasoma Sana lakini siku ya mtihani wengi walikwama Katika kashindwa kujua swali linamaanisha Nini , uchawi upo Katika lugha ya kingereza
 
Private Candidate ni kama Mwanachuo anaefanya kazi huku anasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…