Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Hv hakuna mbongo muvi akajiongeza kidogo kutengeneza muvi hapa....ama mpaka wacopy Nigeria...sterling Puzza
 
Miaka hiyokila Sekondari ilikuwa na watemi, Nchi nzima,sio hawa wajukuu zangu wala vihepe.
Highlands Iringa alikuwepo Bob Reagan....Kwa sasa ni mtu mzima...miaka michache iliyopita alimalizia kifungo chake baada ya kufungwa sana south na mozambique.
 
Kwa wale watoto wa Tambaza 1990 to 1993 mtakuwa mnakumbuka jamaa wakuitwa Puza.Huyu alikuwa ni miongoni mwa watukutu mashuhuri wa Tambaza..Mwaka 1992 Puza alijiua kwa kujinyonga nyumbani kwao maeneo ya Riverside...Mpaka Leo bado haijajulikana nini sasa kilimsukuma Puza hadi kupelekea kujinyonga ingawa watu wengi wanasema alijinyonga kwa sababu alikuwa anakabiliwa na kesi nyingi nzito . Za mauaji tatu na kati ya hizo tatu tukio la mwisho inasemekana alimuua denti wa Zanaki kwa kipigo Kikali so akawa anatafutwa na polisi.Mdau wewe unajua vipi kuhusu kujinyonga kwa huyu jamaa
Puza au Jackson Songambele alisoma Ubongo NHC shule ya Msingi na Kisha baadaye akaenda Tambaza. Akiwa Tambaza alikuwa Mwaka Mmoja Nyuma yangu Mimi Nikiwa Azania. Puza alikiwa Ni Mtoto Mtukutu sana, a Bully na Mvuta Bangi. Hakujiua kwa Kujjnyonga bali alijiua kwa Sumu! Nilikuwa miomgoni wa Wanafunzi waliomjua Puza kwa Karibu, Ila 1991 Nilibadilisha Mwelekeo wa Maisha kabisa. Kwa Psychology niliyoipata Baadaye ni kuwa Watoto wengi wanasoma Mashuleni, Huku wakilelewa na Ndugu, au Jamaaa na sio Wazazi, Na kwa Kukosa Upendo wa wazazi au Kunyayaswa sana, Wanaishia Kuwa watu wa Kutafuta attention kwa njia Mbalimbali. Ulimwona Utamwona Gangwe, Mtukutu etc lakini moyoni anavuja Damu kwa Mateso na Kutokuona ana haja gani ya Kuishi. Ndivyo ilivyokuwa kwa Puza Ukweli ni Kuwa alikuwa anakabiliwa na Kesi nadhani za Mauaji. Nakumbuka wakati Fulani tulishaenda Tanganyika Library Puza akataka Kumwongelesha binti mmoja wa Zanaki yule binti akamjibu Jeuri basi Puza anamchapa Bakora mbele ya Watunza Maktaba kwa madai ati yule binti ni mtovu wa nidhamu
 
bila kumsahau mzee MEJA-babu wa kichaga.
Yap, Nilimkuta Major, Na Kisamo, Kisha akaja Mr. Kwayu (The best of the best) sijui Major anaendeleaje na yuko wapi. Ila Kisamo alihamkshiwa Wizara ya Elimu na sasa nadhani amekwisha Staafu! Nikanda Mkwawa Nikakutana na Salingwa na Mchizi Kaaya! Nikahamia Pugu Nikamkuta Swai na Mchizi Charwe!
 
Kwa wale watoto wa Tambaza 1990 to 1993 mtakuwa mnakumbuka jamaa wakuitwa Puza.Huyu alikuwa ni miongoni mwa watukutu mashuhuri wa Tambaza..Mwaka 1992 Puza alijiua kwa kujinyonga nyumbani kwao maeneo ya Riverside...
Mkuu, miaka hiyo nikiwa Tosa, kulikuwa na stori za TISA aka...Tambaza International Smokers Association.....je, ni kweli kulikuwa na kitu kama hiki?
 
Dah puza... Umenikumbusha mbali Sana mkuu enz Za ugomvi wa tambaza na azania
 
Puza au Jackson Songambele alisoma Ubongo NHC shule ya Msingi na Kisha baadaye akaenda Tambaza. Akiwa Tambaza alikuwa Mwaka Mmoja Nyuma yangu Mimi Nikiwa Azania. Puza alikiwa Ni Mtoto Mtukutu sana, a Bully na Mvuta Bangi. Hakujiua kwa Kujjnyonga bali alijiua kwa Sumu! Nilikuwa miomgoni wa Wanafunzi waliomjua Puza kwa Karibu, Ila 1991 Nilibadilisha Mwelekeo wa Maisha kabisa. Kwa Psychology niliyoipata Baadaye ni kuwa Watoto wengi wanasoma Mashuleni, Huku wakilelewa na Ndugu, au Jamaaa na sio Wazazi, Na kwa Kukosa Upendo wa wazazi au Kunyayaswa sana, Wanaishia Kuwa watu wa Kutafuta attention kwa njia Mbalimbali. Ulimwona Utamwona Gangwe, Mtukutu etc lakini moyoni anavuja Damu kwa Mateso na Kutokuona ana haja gani ya Kuishi. Ndivyo ilivyokuwa kwa Puza Ukweli ni Kuwa alikuwa anakabiliwa na Kesi nadhani za Mauaji. Nakumbuka wakati Fulani tulishaenda Tanganyika Library Puza akataka Kumwongelesha binti mmoja wa Zanaki yule binti akamjibu Jeuri basi Puza anamchapa Bakora mbele ya Watunza Maktaba kwa madai ati yule binti ni mtovu wa nidhamu
Hapa umenikumbusha kitu maana puza anadedi mimi nilikuwa darasa la pili ubungo nh, nilikuwa naskia balaa lake kutoka kwa masister na ma broo
 
Yap, Nilimkuta Major, Na Kisamo, Kisha akaja Mr. Kwayu (The best of the best) sijui Major anaendeleaje na yuko wapi. Ila Kisamo alihamkshiwa Wizara ya Elimu na sasa nadhani amekwisha Staafu! Nikanda Mkwawa Nikakutana na Salingwa na Mchizi Kaaya! Nikahamia Pugu Nikamkuta Swai na Mchizi Charwe!
Charwe yupi huyoo
Au ni Charwe smoker mzee wa Mathematics
 
Vimto Yuko Norway Bergen...ameoa na anaishi huko more than 15yrs now!
Mkuu umenikumbusha vimto,wakati wa michezo akivaa vazi lenye maandishi mengi ya VIMTO,kipindi hicho ile soda nyeusi ya vimto ndo iko sokoni na wale jamaa wenye soda wakawa wanamuadmire dogo anavyowapigia promo bila kujijua.kitambo mkuu...
 
Pompidou alikuwa mtemi wa Jiteute...Nani alipigwa?? Hill ndo like tifu la mwaka 89? Wakati gemu linaanza watoto wa tambaza walitia madole sana mademu wa jiteute..washikaji wa jiteute akina Pompidou wakakusha kwa sababu kulikuwa na maticha wao maafande wanonko..gemu lilipoisha watoto wa jiteute wakiongozwa na kina Pompidou ndo wakaenda kuwazimngua watoto wa tambaza
Ile mechi refa alikuwa Kipingu kipindi kill bado ni luteni nafikiri...ilikuwa mchezaji akicheza rafu ataonywa ya kwanza akirudia ni makofi kutoka kwa refa...ilikuwa ubabe kuanzia nje mpaka uwanjani!
 
Nakumbuka siku ya kwanza tume report form I tukachapwa sana bakora na form II na kumwagiwa mikojo...then assembly akaja Head master Kalumuna akawauliza form II kama wametukaribisha na kutupokea vizuri! Na wao kwa pamoja wakajibu baadooo! Then K akasema..basi mtaendelea kuwakaribisha tena baadae...Form wakaendelea kushangilia kinoma! Form I tunajiuliza hii shule au kambi ya jeshi! Then Kuna form I mmoja baada ya kuchapwa na form II akaenda kwa mwalimu wa michezo Daffa kulalamika huku analia...jibu alilopewa Dafa ni" Changamka kinjuka wewee !!!Tambaza ulichagua mwenyewe!!! Hah ah! Mi kuona hivyo week nzima ya kwanza naishia kwa Daruweshi mtaa Aggrey nasingizia nasubiri kaptula za kaki!! It was memorable time I can't forget Tambaza!!!!
You are right,shule iliyokuwa inatoa upinzani kidoogo kwa tambaza wakati huo kwa mambo ya fujo ilikuwa kinondoni,ila kwa masomo ilikuwa Azania.Azania walikuwa wazuri kwa O level wakati Tambaza walikuwa wazuri kwa A level,na fujo za Tambaza ilikuwa ni O level Na zaidi form two na form one,na pia watu wa fujo hasa walikuwa wachache ila shule nzima na hasa O level walikuwa na umoja sana ndicho kilikuwa kinawabeba kwenye vurugu,ukimgusa tambaza mmoja ni kama umeigusa shule nzima,A level tambaza walikuwa watulivu sana na wengi wao walikuwa ni wale waliotoka Azania O level Ile Azania ya Mzee Kisamo na Mzee Meja ambayo ukichomekea shati unapewa adhabu,uniform ni kaptula ya kaki na shati bila kuchomekea,hapo one za point saba kwa O level ilikuwa kitu cha kawaida na Tambaza ya Kalumuna na baadae Mushi one za point 3 kwa A level ilikuwa kitu cha kawaida.Dah siku zimekwenda!
 
Nakumbuka siku ya kwanza tume report form I tukachapwa sana bakora na form II na kumwagiwa mikojo...then assembly akaja Head master Kalumuna akawauliza form II kama wametukaribisha na kutupokea vizuri! Na wao kwa pamoja wakajibu baadooo! Then K akasema..basi mtaendelea kuwakaribisha tena baadae...Form wakaendelea kushangilia kinoma! Form I tunajiuliza hii shule au kambi ya jeshi! Then Kuna form I mmoja baada ya kuchapwa na form II akaenda kwa mwalimu wa michezo Daffa kulalamika huku analia...jibu alilopewa Dafa ni" Changamka kinjuka wewee !!!Tambaza ulichagua mwenyewe!!! Hah ah! Mi kuona hivyo week nzima ya kwanza naishia kwa Daruweshi mtaa Aggrey nasingizia nasubiri kaptula za kaki!! It was memorable time I can't forget Tambaza!!!!
Those were the days
 
Alijiua mwenyewe..ila sababu ndo haijulikani...jamaa alikuwa mtemi sana..kaanza kuonyesha utemi toka yuko form one anadindishiana na form four
Wakati akiwa national housing ubungo promary hakuwa mtukutu sana, nadhani zile bangi za summit ziliwapagawisha vijana
 
Back
Top Bottom