Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

Propaganda hizo.

Wasyria qanashangilia kusambaratishwa ngome (base) ya marekani iliyopo Syria, inayoitwa conoco.

Mazayuni mabwabwa wenzao hawaleti hizo habari. Marufuku.

Ngome hiyo imesambaratishwa kiasi ambacho haijulikani nani au wangapi wametoka salama.

Wasyria walipokuwa wanashangilia hilo wabakaji wa habari wakaligeuza.

Conoco au inakwenda kwa ConocoPhillips (COP), ni kampuni ya mafuta ya kimarekani. Serikali ya Marekani kwa makusudi kabisa, imekalia kibabe sehemu zote zenye utajiri wa mafuta ndani ya Syria, kwanza kuiba (kuchukua) mafuta bure, lakini kubwa zaidi ni kuhakikisha kuwa serikali ya Assad haipati pesa kupitia kuuza mafuta ya kuijenga tena Syria baada ya vita. Hii ni sera rasmi, Obama, Trump, Biden na ajaye wote wapo kwenye ukurasa mmoja kuhusu suala hili. Hivyo basi US Marines watakuwepo kuwepo sana Syria, hata iweje…

Kuhusu kushangilia kifo cha Sayyid Nasrallah, ni jambo la kawaida kwani hata alipoondoka marehemu Jiwe (JPM) kuna watu walishangilia, Thatcher wa UK pia wapo waliofurahi, Reagan hivyo hivyo, siku Kikwete akiondoka watakuwepo watakao kunywa bia. Na hata huyo Bibi, siku akifikwa na faradhi ya mauti, zitakuwepo nderemo na vifijo. Kwahiyo kwa baadhi ya watu kushangilia kifo cha Nasrallah ni jambo la kawaida sana….! Hakuna jipya hapo.
 
Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.

Mwenye jibu anisaidie.
Webabu anakuja na majibu hivi punde.
 
Mashetabi hao siyo sera ha Syria tu hiyi. Ni sera yao kwa dunia nzima, kama huwapinkwa hiyari ywtakukuta yaliyowapata Ghaddafi, Saddam na wengine..

"You are either with us or you're against us" ndiyo sera yao.

Hakuna nchi duniani yenye mali ikawa salama kwao.
 
Hizbollah kilianzishwa kwenye miaka ya 80 wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe kule Lebanon. Kule Lebanon Kuna mgawanyiko wa Sunni, Shida na wakristo. So Hizbollah wapo kwa niaba ya washia, Yani kulinda interests za washia.
usiseme tu vita vya wenyewe kwa wenyewe, sema vita ambavyo PLO (wakimbizi wa kipalestina) waliungana na hezbollah wachache, wakachinja wakristo wengi sana na kuharibu nchi. na ndio moja ya sababu wapalestina hawapendwi (hawakaribishwi) hata na waarabu wenzao kwasababu wakifika hawatabiriki wanaweza kukupindua hata uliyemkaribisha.
 
Hivi Wasuni na Washia utofauti wao si unatokana tu mitizamo michache juu ya Quran? Mbona ulivyoeleza hapa inaonekana issue sio mitizamo (perspective) juu ya Quran bali uadui na visasi? Je mkuu @zhang laoshi Quran inaruhusu Uadui & Visasi?
Suala ni elimu: Sheikh wangu aliniambia kaa na watu wenye elimu utaielewa elimu. Ukikaa na watu wasiyoijua elimu watakupotosha.

Kuna watu ambao walikubalika kwenye jamii kama wanawazuoni lakini elimu yao haikuwa sahihi hivyo imepandikiza chuki jamii ya waislam na ndicho ambacho kinachotokea. Wanawazuoni wanajitahidi kuweka mambo sawa ila kwa kuwa wahimili wa itikadi za kueneza chuki baina ya waislamu wana nguvu za kiuchumi na kijeshi hivyo ngumu kupambana nao.

Wanatumia resources zote walizokuwa nazo kuendeleza mitazamo yao kwa jamii nyengine za waislamu na mtafaruku na chuki zinajaa.
wakuu wote akiwamo @FaizaFixy naomba kuelimishwa hivi kwenye kuiamamini Quran, mtume na zile Sala tano hakuna provision ya mtu kupata Devine editing ya Moyo wake ili usiwe pahala pa shetani kupajaza uadui, visasi na magomvi? Kwa mtizamo wangu tatizo kuu la mwanadamu ni uovu wa Moyo na sio mtizamo.
Hilo somo la kuutakasa moyo waislamu wenyewe wameshalikataa. Limepigwa vita ndani ya humo humo uislamuni na watu ambao waliyokuwa na maarifa machache waliyowezeshwa na kusikika ndani ya jamii ya uislamu hivyo hilo somo kwa sasa linaonekana halina maana kabisa. Kwa sababu linapigwq sana vita ukilisoma kwa sasa unaonekana una soma kitu kigeni kabisa katika dini. Hilo somo linaitwa tasawwuf au Zuhd au Tazkiya, linashugulika na moyo tu.

Mfano katika misingi yake uwe mtu wa upendo usiwe mtu wa chuki. Tasawwuf inakufundisha umpende hata yule ambaye wasiyofanya mema. Yaani in the sense that you give them rehma. Mtu anaweza akawa ni aaswi lakini kwa kupitia vitendo vyako pengine vinaweza kumbadilisha.

Kwa sababu katika misingi ya tasawwuf inakufundisha kuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu aliujaalia uhai kwa siri pekee: Ameuumba kutokana na upendo. Kwa sababu hiyo, kuna upungufu popote ambapo upendo haupo na kuna alama za ukamilifu popote upendo ulipo.

Hivyo wale ambao wanaoweza kuwa wapambanaji halisi kama ilivyoelezwa katika maneno ya Mtume huelewa hekima ya Mungu ya uhai na umauti. Wao hawaweki hisia zao katika furaha ya muda ya ulimwengu huu. Bali hujaribu tuu kufanya matendo mema na kuishi maisha yaliyopambwa na maarifa, unyenyekevu na kuabudu. Kwa sababu maisha kama hayo yataujaza moyo kwa upendo wa kweli.

Kwa kufanya hivyo maana unaelekeza upendo wako kwa Mungu. Mtume alimwambia mmoja katika vijana kuwa ikiwa unampenda Mungu heshimu viumbe vyake.
 
1. Hezbollah imewahi kuua waziri mkuu wa Lebanon

2. Katika maandamo yaliyopita ambayo Raia wa Lebanon waliandamana kupinga ugumu wa Maisha na sera mbovu za serikali, Hezbollah ilisimama dhidi ya wananchi na kuwatesa sana.
3. Hezbollah ilikataa kudisarm na kusema serikali na Jeshi la taifa ni dhaifu sana, matokeo yake wamekuwa nchi ndani ya Nchi.

4. Mwaka 2011 yalitokea mapinduzi katika nchi za Kiarabu, nchini Syria Assad kutoka Kabila la Allawites ambao pia ni Washia wakaita Washia wenzao kutoka Iran, Hezbollah, Iraq kuja kuwasaidia, matokeo yake raia wengi wakisuni waliuliwa na kunyang'anywa Ardhi zao na Washia hii ikapelekea Syria kufukuzwa kwenye wa umoja wa nchi za Kiarabu hadi mwaka Jana au mwaka huu.

5. Yemen, Yemen pia ni nchi yenye Idadi kubwa wa Washia na Wahouthi ni Washia hawa wote wanapewa Silaha na Iran na wanaua sana Wasunni wa Yemen, Hezbollah imeleka Askari na wakifunzi kuwasaidia houthis ambao wamezishambulia sana nchi za Kisunni na Jamii za Kisunni.

Ndio maana ukiangalia kwa makini nchi zote za Kissuni hazifanyi chocolate huko Gaza sababu wanaiona Hamas kama msaliti ambaye anatumiwa na Iran kama toilet paper.

Hezbollah ni Washia na wako kwenye vita ya Wazi na Wasunni wengine na ni puppet wa Iran kama walivyo Houthis.

Only JamiiForums na nje ya middle east Ndio Watu wanaiona Hezbollah na Houthis kama Watu wa maana
 
Mkuu zhang laoshi Salam kwako. Hivi Wasuni na Washia utofauti wao si unatokana tu mitizamo michache juu ya Quran? Mbona ulivyoeleza hapa inaonekana issue sio mitizamo (perspective) juu ya Quran bali uadui na visasi? Je mkuu zhang laoshi Quran inaruhusu Uadui & Visasi? Je wakuu wote akiwamo FaizaFixy naomba kuelimishwa hivi kwenye kuiamamini Quran, mtume na zile Sala tano hakuna provision ya mtu kupata Devine editing ya Moyo wake ili usiwe pahala pa shetani kupajaza uadui, visasi na magomvi? Kwa mtizamo wangu tatizo kuu la mwanadamu ni uovu wa Moyo na sio mtizamo.
Ahsante​
Tofauti ya Ushia na Usuni ni kubwa.

Angalia taarifa ya Hezbollah kutangaza kifo Cha Nashrallah na Taarifa hiyo hiyo ilivyowasilishwa na Al-Jazeeraa.

Kama Ushia utakuwepo Miaka 500 ijayo utakuwa unafanana kiasi Fulani ideas na Catholicism, Washia Wana mafundisho ya kuwatukuza Maimam.

Na Wa wao wanajiita Watu wa Ali, Wakati Wasunni wanajiita Watu wa Muhammad, kwenye hii Taarifa ya Hezbollah hakuna sehemu ametajwa Muhammad ila Ali Ndio kama Imam wao mkuu

Taarifa ya Hezbollah
1000036688.jpg

Taarifa ya Al-Jazeeraa (Wasunni wa Qatar)
Pay attention kila sehemu iliyoweka ...
1000036741.png
 
Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.

Mwenye jibu anisaidie.
Mwarabu na Mwafrika ni pipa na mfuniko. Hauhitaji kutumia microscope kuona chembechembe za unafiki kwenye damu zao.
 
Ati ni nani mwenye imani zaidi ya Mwingine?

Hashashimu vs ???
 
usiseme tu vita vya wenyewe kwa wenyewe, sema vita ambavyo PLO (wakimbizi wa kipalestina) waliungana na hezbollah wachache, wakachinja wakristo wengi sana na kuharibu nchi. na ndio moja ya sababu wapalestina hawapendwi (hawakaribishwi) hata na waarabu wenzao kwasababu wakifika hawatabiriki wanaweza kukupindua hata uliyemkaribisha.

Wameiharibu Lebanon mpaka Leo. Walitaka kuharibu Jordan wakawahiwa
 
Lazima utakuwa Profesa.

Unatoa dukuduku, kisayansi😌🤯

=====
Hivi kuna wanaoshinda Unafiki wa Mzungu Profesa?
Naona unathibitisha unafiki wa Mwafrika!

Enewei, jibu la swali lako ni kuwa...hata Mzungu ana melanin!
 
Back
Top Bottom