Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Tuliweka hapa. Kama unahitaji picha wakimbilie,utakutana nao mbele huko wanashangiliaTuwekee hata picha bas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliweka hapa. Kama unahitaji picha wakimbilie,utakutana nao mbele huko wanashangiliaTuwekee hata picha bas
Kwa hiyo Israel hapo roho kwatu kabsa? SAFI KABSAHezbollah ni jeshi la Iran lenye lengo la kuwanyang'anya Wayahudi Ardhi yao
Propaganda hizo.
Wasyria qanashangilia kusambaratishwa ngome (base) ya marekani iliyopo Syria, inayoitwa conoco.
Mazayuni mabwabwa wenzao hawaleti hizo habari. Marufuku.
Ngome hiyo imesambaratishwa kiasi ambacho haijulikani nani au wangapi wametoka salama.
Wasyria walipokuwa wanashangilia hilo wabakaji wa habari wakaligeuza.
Webabu anakuja na majibu hivi punde.Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.
Mwenye jibu anisaidie.
Mashetabi hao siyo sera ha Syria tu hiyi. Ni sera yao kwa dunia nzima, kama huwapinkwa hiyari ywtakukuta yaliyowapata Ghaddafi, Saddam na wengine..Conoco au inakwenda kwa ConocoPhillips (COP), ni kampuni ya mafuta ya kimarekani. Serikali ya Marekani kwa makusudi kabisa, imekalia kibabe sehemu zote zenye utajiri wa mafuta ndani ya Syria, kwanza kuiba (kuchukua) mafuta bure, lakini kubwa zaidi ni kuhakikisha kuwa serikali ya Assad haipati pesa kupitia kuuza mafuta ya kuijenga tena Syria baada ya vita. Hii ni sera rasmi, Obama, Trump, Biden na ajaye wote wapo kwenye ukurasa mmoja kuhusu suala hili. Hivyo basi US Marines watakuwepo kuwepo sana Syria, hata iweje…
Kuhusu kushangilia kifo cha Sayyid Nasrallah, ni jambo la kawaida kwani hata alipoondoka marehemu Jiwe (JPM) kuna watu walishangilia, Thatcher wa UK pia wapo waliofurahi, Reagan hivyo hivyo, siku Kikwete akiondoka watakuwepo watakao kunywa bia. Na hata huyo Bibi, siku akifikwa na faradhi ya mauti, zitakuwepo nderemo na vifijo. Kwahiyo kwa baadhi ya watu kushangilia kifo cha Nasrallah ni jambo la kawaida sana….! Hakuna jipya hapo.
Mtume hakuacha Wosia 😂😂😂😁Hawa kwanini wanatofautiana sababu ni nini
usiseme tu vita vya wenyewe kwa wenyewe, sema vita ambavyo PLO (wakimbizi wa kipalestina) waliungana na hezbollah wachache, wakachinja wakristo wengi sana na kuharibu nchi. na ndio moja ya sababu wapalestina hawapendwi (hawakaribishwi) hata na waarabu wenzao kwasababu wakifika hawatabiriki wanaweza kukupindua hata uliyemkaribisha.Hizbollah kilianzishwa kwenye miaka ya 80 wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe kule Lebanon. Kule Lebanon Kuna mgawanyiko wa Sunni, Shida na wakristo. So Hizbollah wapo kwa niaba ya washia, Yani kulinda interests za washia.
Suala ni elimu: Sheikh wangu aliniambia kaa na watu wenye elimu utaielewa elimu. Ukikaa na watu wasiyoijua elimu watakupotosha.Hivi Wasuni na Washia utofauti wao si unatokana tu mitizamo michache juu ya Quran? Mbona ulivyoeleza hapa inaonekana issue sio mitizamo (perspective) juu ya Quran bali uadui na visasi? Je mkuu @zhang laoshi Quran inaruhusu Uadui & Visasi?
Hilo somo la kuutakasa moyo waislamu wenyewe wameshalikataa. Limepigwa vita ndani ya humo humo uislamuni na watu ambao waliyokuwa na maarifa machache waliyowezeshwa na kusikika ndani ya jamii ya uislamu hivyo hilo somo kwa sasa linaonekana halina maana kabisa. Kwa sababu linapigwq sana vita ukilisoma kwa sasa unaonekana una soma kitu kigeni kabisa katika dini. Hilo somo linaitwa tasawwuf au Zuhd au Tazkiya, linashugulika na moyo tu.wakuu wote akiwamo @FaizaFixy naomba kuelimishwa hivi kwenye kuiamamini Quran, mtume na zile Sala tano hakuna provision ya mtu kupata Devine editing ya Moyo wake ili usiwe pahala pa shetani kupajaza uadui, visasi na magomvi? Kwa mtizamo wangu tatizo kuu la mwanadamu ni uovu wa Moyo na sio mtizamo.
Tofauti ya Ushia na Usuni ni kubwa.Mkuu zhang laoshi Salam kwako. Hivi Wasuni na Washia utofauti wao si unatokana tu mitizamo michache juu ya Quran? Mbona ulivyoeleza hapa inaonekana issue sio mitizamo (perspective) juu ya Quran bali uadui na visasi? Je mkuu zhang laoshi Quran inaruhusu Uadui & Visasi? Je wakuu wote akiwamo FaizaFixy naomba kuelimishwa hivi kwenye kuiamamini Quran, mtume na zile Sala tano hakuna provision ya mtu kupata Devine editing ya Moyo wake ili usiwe pahala pa shetani kupajaza uadui, visasi na magomvi? Kwa mtizamo wangu tatizo kuu la mwanadamu ni uovu wa Moyo na sio mtizamo.
Ahsante
Mwarabu na Mwafrika ni pipa na mfuniko. Hauhitaji kutumia microscope kuona chembechembe za unafiki kwenye damu zao.Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.
Mwenye jibu anisaidie.
Lazima utakuwa Profesa.Mwarabu na Mwafrika ni pipa na mfuniko. Hauhitaji kutumia microscope kuona chembechembe za unafiki kwenye damu zao.
usiseme tu vita vya wenyewe kwa wenyewe, sema vita ambavyo PLO (wakimbizi wa kipalestina) waliungana na hezbollah wachache, wakachinja wakristo wengi sana na kuharibu nchi. na ndio moja ya sababu wapalestina hawapendwi (hawakaribishwi) hata na waarabu wenzao kwasababu wakifika hawatabiriki wanaweza kukupindua hata uliyemkaribisha.
Naona unathibitisha unafiki wa Mwafrika!Lazima utakuwa Profesa.
Unatoa dukuduku, kisayansi😌🤯
=====
Hivi kuna wanaoshinda Unafiki wa Mzungu Profesa?