CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Hao wanasayansi wenye uwezo wa kushauri mapambano ya corona nchi hii ni kina nani?Rais wetu anajua kabisa Sayansi ni Sayansi na sio Siasa, lazima ashauriwe na Wanasayansi sio Lumumba
Medicine expert nilitegemea uwe maabara unasaka suluhisho la Covid should it strike Vets!! Lakini mpo busy mitandaoni kukejeli efforts za wenzenu!!Bahati mbaya mie nimesoma vet medicine. So sio kwamba sijui nachoongea.
Kujifanya msomi na mjuaji sana mbele za watu, haitakusaidia sana.
Yaani siku wakinikanyaga wakasema lockdown....ndo siku serikali itatambua kuna mwananchi kavurugwa. Naahidi kuwa sauti ya wengi. Wawekane lockdown hao viongozi huko,sisi watuache na haso zetu.Kenya wanaofuata COVID19 protocols wako wapi?
Je hamsikii hosptali na mfumo wa afya ulivyozidiwa?
Mbona bongo tunaishi na vizuri tu na maisha yanaendelea kama kawaida?
Tunataka maisha gani zaidi?
Hapa ndio najua watu sio wasomaji.... Kwa miongozo ya TCRA price per MB ceiling ni 9 Tshs ina maana kihalali kabisa GB 1 inatakiwa iuzwe elfu 9!!!Suala la bando lilikuwa ni suala la kutoa kauli moja tu mambo yarudi kama yalivyokuwa. Unawaambia watu wakaangalie la kufanya na tatizo lisijirudie tena ilhali halijaondoka.
Yaani hii nchi italiwa mpaka basi.
he wasnt. maybe 40%. alikuwa anataka ku induce mentality ya kupotezea mambo ya maana. kufanya kama hayapo kwamba yatapotea yenyewe.Kwenye covid maguful alikua sahih 100%.
Huyu mama asitake kutuletea mabalaa yake
Tunaongelea lockdown au chanjo ya korona?Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
nani kwakwambia wataweka lockdown?Yaani siku wakinikanyaga wakasema lockdown....ndo siku serikali itatambua kuna mwananchi kavurugwa. Naahidi kuwa sauti ya wengi. Wawekane lockdown hao viongozi huko,sisi watuache na haso zetu.
SSH hakusema watu wasilipe kodi au waonewe huruma.Yaani Mama Samia hotuba yake ya juzi tu ilinifanya niione Tanzania ikirudi 2005 hadi 2015.
Unasemaje kwakuanza ukusanyaji kodi wa kutumia akili kuliko nguvu nchi itayumba kidogo?
Halafu unasema mbele za watu ambao wataitumia hiyo kauli kama njia ya kula rushwa na kuhujumu mapato kwakuwa tu Rais keahasema tutayumba kidogo.
Suala la bando lilikuwa ni suala la kutoa kauli moja tu mambo yarudi kama yalivyokuwa. Unawaambia watu wakaangalie la kufanya na tatizo lisijirudie tena ilhali halijaondoka.
Yaani hii nchi italiwa mpaka basi.
Hamna kitu pale, mbaya zaidi anajiona ana akili halafu ni mtupu kabisa, JPM alificha madhaifu ya wengi wa pembeni yake. Rais anaruhusu vipi expatriates wapewe vibali ovyo tu kwa kuwa muwekezaji ametaka, anaenda ku sign mkataba wa LNG Lindi , mkataba wa 30bn USD kwa kukurupuka, ameshatoa maagizi gesi ya Hellium iuzwe tayari, ndani ya 3 weeks unaona kabisa tumerudi 15yrs back.Yaani Mama Samia hotuba yake ya juzi tu ilinifanya niione Tanzania ikirudi 2005 hadi 2015.
Unasemaje kwakuanza ukusanyaji kodi wa kutumia akili kuliko nguvu nchi itayumba kidogo?
Halafu unasema mbele za watu ambao wataitumia hiyo kauli kama njia ya kula rushwa na kuhujumu mapato kwakuwa tu Rais keahasema tutayumba kidogo.
Suala la bando lilikuwa ni suala la kutoa kauli moja tu mambo yarudi kama yalivyokuwa. Unawaambia watu wakaangalie la kufanya na tatizo lisijirudie tena ilhali halijaondoka.
Yaani hii nchi italiwa mpaka basi.
Akili zipi ? Kama kodi ni kubwa angesema sheria ibadilishwe kwa wote Ila saivi ametoa mwanya wa rushwa, wengine hawatalipa kodi kwa kuwa “watafikiriwa “ na TRA, huyu mama ni mzigo na anaongea mambo mazito ambayo hana uelewa nayo.SSH hakusema watu wasilipe kodi au waonewe huruma.
suala la kodi liko kisheria, hilo halikwepeki.
instead of kutumia too much power , akili zaidi ..iendane na itashi wa ukusanyaji kodi.
uzuri sheria za ukusanyaji kodi ziko open kabisa. na zimesha ainisha nini kifanyike kwa atakaegoma kulipa kodi.
Mkuu unaongea sana kuhusu mzee wako na hiyo covid,mbona mie mzee wangu hakuwahi kulazwa hospitali ila ilikuja kutokea alilazwa kwa malaria lakini mbona sipigi kelele humu kuhusu malaria? Au ulitaka na mimi nianze kupiga kelele na kwamba malaria hatari kisa mzee wangu alilazwa na malaria.Na ww nikuulize hao million waliokufa kwa Covid hawakuwahi kuugua magonjwa mengine ama nchi zao hazijawahi poteza watu wengi kwa magonjwa mengine?
Huwezi justify watu kuugua Covid 19 eti sababu tu wanauguaga magonjwa mengine.
Mzee wangu hakuwahi lazwa ICU licha ya umri mkubwa Ila kwa mara ya kwanza Covid ilimlaza.
Haupigi kelele sababu alitumia dawa ya malaria na sindano zilizotengenezwa na mabeberu!! Ila cha kushangaza mabeberu hao hao wakitengeneza chanjo ya Covid wanageuka WAUAJI!!Mkuu unaongea sana kuhusu mzee wako na hiyo covid,mbona mie mzee wangu hakuwahi kulazwa hospitali ila ilikuja kutokea alilazwa kwa malaria lakini mbona sipigi kelele humu kuhusu malaria? Au ulitaka na mimi nianze kupiga kelele na kwamba malaria hatari kisa mzee wangu alilazwa na malaria.
Umetisha mkuu yaani walikuwa wanakabdhi kwa chakubanga.Naona jiwe amewarudishia akili alizokuwa amewashikia...
Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Nani kakuambia Tz hakuna kipimo cha Corona? Unaongea ujinga gani wewe?Acha basi ujinga, mkuu. Kwani lockdown ndio kitu pekee kinahitajinkufanyika?? Vipi kuhusu mikusanyiko, kuvaa barakoa, vipi kukiri korona ipo na tukapima na kutoa taarifa??
Mama amesema kabisa - swala hili litashughulikiwa kisayansi. Kuwa na subira kujua ni hatua gani za kisayansi zitapendekezwa na zinatekelezeka. Kwa aina ya uchumi wetu “lockdown” is not an option. Hautuiwezi.
Umejuaje kama wanakufa wengi zaidi ya Tanzania wakati hapa nyumbani hakuna vipimo hata kwa wagonjwa walio mahospitali?? Unawezaje kulinganisha statistics wakati una za upande mmoja tu? Huoni unatakiwa kupewa takwimu za Tz ili ufanye ulinganifu? Mna akili gani lakini aisee????
Unajua hata hao Mabeberu wenyewe watakushangaa kwa sababu umekazania hizo chanjo kuliko hata wao, wao huko wenyewe wanaona Astrazeneca zinagandisha damu na hadi wameacha kuzitumia kwa baadhi ya makundi ya watu ila wewe bado huoni shida katika hizo chanjo na unatushambulie sisi hutaki tuseme kuwa hizo chanjo zina shida kisa et tunatumia chanjo zengine za mabeberu hivyo na hizi hutaki tuseme hata kama zina shida.Haupigi kelele sababu alitumia dawa ya malaria na sindano zilizotengenezwa na mabeberu!! Ila cha kushangaza mabeberu hao hao wakitengeneza chanjo ya Covid wanageuka WAUAJI!!
Nadhani kufa sana kwenye corona kunaendana na kasi ya maambukizi na ndio maana wenzetu wameweka hadi lockdown ili kupunguza hiyo kasi ya maambukizi na ndio tunaambiwa kama si kuchukua hizo tahadhari basi hali ingekuwa mbaya zaidi, sasa sisi ambao hatuchukui tahadhari kabisa na mikusanyiko inaendelea kama kawaida unadhani hali ingekuwaje? maana huko kwa wenzetu kuna muda tunasikia hadi wanazidiwa na wagonjwa na ndio huduma zao za afya zipo vizuri.Acha basi ujinga, mkuu. Kwani lockdown ndio kitu pekee kinahitajinkufanyika?? Vipi kuhusu mikusanyiko, kuvaa barakoa, vipi kukiri korona ipo na tukapima na kutoa taarifa??
Mama amesema kabisa - swala hili litashughulikiwa kisayansi. Kuwa na subira kujua ni hatua gani za kisayansi zitapendekezwa na zinatekelezeka. Kwa aina ya uchumi wetu “lockdown” is not an option. Hautuiwezi.
Umejuaje kama wanakufa wengi zaidi ya Tanzania wakati hapa nyumbani hakuna vipimo hata kwa wagonjwa walio mahospitali?? Unawezaje kulinganisha statistics wakati una za upande mmoja tu? Huoni unatakiwa kupewa takwimu za Tz ili ufanye ulinganifu? Mna akili gani lakini aisee????
Ulaya nzima wamechoma AstraZeneca na cases za matatizo ni chache.Wasalaam wana jamvi!
Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!
Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?
Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?
Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?
Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?
Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?
Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?
Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!
Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?
Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?
Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?
Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?
Wasalaam!