Acha basi ujinga, mkuu. Kwani lockdown ndio kitu pekee kinahitajinkufanyika?? Vipi kuhusu mikusanyiko, kuvaa barakoa, vipi kukiri korona ipo na tukapima na kutoa taarifa??
Mama amesema kabisa - swala hili litashughulikiwa kisayansi. Kuwa na subira kujua ni hatua gani za kisayansi zitapendekezwa na zinatekelezeka. Kwa aina ya uchumi wetu “lockdown” is not an option. Hautuiwezi.
Umejuaje kama wanakufa wengi zaidi ya Tanzania wakati hapa nyumbani hakuna vipimo hata kwa wagonjwa walio mahospitali?? Unawezaje kulinganisha statistics wakati una za upande mmoja tu? Huoni unatakiwa kupewa takwimu za Tz ili ufanye ulinganifu? Mna akili gani lakini aisee????