Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

Pale unapotumia vibaya freedom of speech, muacheni mama afanye kazi zake kama anavyokusudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

 
Huwezi kumfunza kazi rais,mfunze mkeo au mmeo
 
Ni mapema mno kuyaona matokeo ya kazi yake rais, Rais ni taasisi kila anachofanya kinakua kimeandaliwa na si kwamba anaamka tu na kuamua kuenda kuzindua miradi ambayo haijakamilika.Wafuasi wa Magufuli watambue huu ni Utawala mwingine, zile nyakati za kufokewa na fujo ziliisha kitambo.
 
Wewe ndio wasema
 
Hapo ulipomtaja Dr Gwajima afukuzwe wakati asilimia kubwa ya wabunge na watu serikalini washaanza kuona thamani yake ndipo ulipochemsha na kuonekana unasikiliza mitandao badala ya kufanya actual assessment.
 
muacheni mama afanye kazi zake kama anavyokusudia
Kuna mtu amemzuia kufanya hiyo kazi yake ???

Taasisi na watu ndio wana misemo ya usimuingilie Rais, umelidhalilisha bunge, umeingilia mahakama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…