Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

Hivi ile kamati ya kumshauri Raisi kisayansi maswala ya Covid 19 bado kutoa ripoti. Kuna Wave 3 inakuja na variance ya India , sisi bado tuna mbwela mbwela tu. Mama hii ikitokea utakuwa exposed.
 
Muda bado sana kuanza kumpa lawama hizo...
Kama issue ni kukosea aka hayo maboko unayosema basi tumpe heko kwa yale machache mazuri aliyofanya pia mfano....TRA kuacha kubughudhi wafanyabiashara, kuondoa Loan board retention fee, kupunguza Paye 1%, kuanza kuimarisha diplomasia ya nchi, kuanza kufungua nchi, vifurushi vya mitandao, kuwapa confidence wawekaji na tayari wameanza kuifikilia tena Tanzania, Kuukomalia mradi wa LNG, Mtwara na Lindi...

Hawezi kumfurahisha kila mtu, ila tunampima kwa yale muhimu ambayo yanafaida kwa Taifa..
 
Hivi yule aliyekuwa analalamika kuwa nchi hii imeibiwa sana, imeliwa sana, tunapigwa vita ya kiuchumi alikuwa mwenyekiti wa kijiji?

Yule alikuwa analalamika huku akifanya maamuzi, though pia alikuwa anatutengenezea mazingira ya kutupiga pia.

Tatizo ninaloliona sasa hivi, yeyote anayempinga mama anaonekana ni timu Magufuli.
 
Yule alikuwa analalamika huku akifanya maamuzi, though pia alikuwa anatutengenezea mazingira ya kutupiga pia.

Tatizo ninaloliona sasa hivi, yeyote anayempinga mama anaonekana ni timu Magufuli.
Kwani uongo? Mbona wewe nakufahamu fika?
 
Kwani uongo? Mbona wewe nakufahamu fika?

Kunifahamu kwako hakubadilishi maana kwamba mama anachemka.

Na eti tukisema mama anachemka, haimaanishi kwamba eti Magufuli alikuwa sahihi.
 
Ahaaaaaaa! Naona amekosa mvuto kwa masalia ya Mwendazake. Hivi haya majamaa yalipewa nini na yule Ibilisi mwendazake?

Ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe kama ulivyo kwa wewe mwenyewe Kihava

Mwendazake alikua na mvuto na Samia ana mvuto

Wanaumia ni walewale

Kazi iendelee
 
Hata JKM, Mwinyi, Mkapa, JPM hawakuwa na mvuto kwa wapiga kura wote japo walikua na mvuto kwa asilimia kubwa ya wapiga kura

Ndivyo ilivyo kwa SSH
Ulizaliwa lini wewe??? Kizazi cha Magufuri kimejaa uongo na unafiki.
 
Tatizo ninaloliona sasa hivi, yeyote anayempinga mama anaonekana ni timu Magufuli.
Ni kweli kwa kuwa hata akifanya mambo yanayoruhusiwa kisheria bado mnamlalamikia
 
Amepoteza mvuto kwawale waliozoea
1 Kuona watu wamuabudu binaadam mwenzao badala yamungu
2 amepoteza mvuto kwawale wanapenda kuona wenzao wanabambikiwa kesi
3 amepoteza mvuto kwawale waliofurahi kuona sisi wavuvi tukipigwa navyombo vyetu halali tukiwa naleseni pia risiti tukichomewa malizetu nakuteka injini zetu tunaambiwa tukazikomboe hadi leo
4 amepoteza mvuto kwawale hawapendi mawazo mbadala kama vile wapinzani
5 amepoteza mvuto kwawale wasiopenda wenzao kuajiriwa kama zilivyotangazwa ajira mpya
6 amepoteza mvuto kwawale waliotegemea atakuwa mshamba na limbukeni wamadaraka
Kifupi mtoa post mvuto tunaoutaka sisi nikuona ajira mpya .mazingira ya kufanya shughuli zetu halali mfano sisi wavuvi ziwa tangnyika kata ya kalya huko uvinza yanakuwa rafiki nakuangaliwa tulichofanyiwa na utawala uliopita
Hatuitaji mvuto wakuuwa kazi zetu nakutuacha masikini kama utawala mbaya wa mtangulizi wake
 
Jamani watu duniani hawalingani hata kama wamezaliwa tumbo moja.Lazima ukubaliane na mabadiliko Mama ni mtu mwingine kabisa kwenye serikali ile ile.Sasa kazi ji yako na yangu kukubaliana na mabadiliko.Kuna watu wanafundishwa kabisa jinsi ya kukabiliana na mabadiliko kwa njia chanya.Mama hafoki,hakurupuki ni msikivu ,anafuata sheria,hasemi vitu vya papa kwa papo,ni mtulivu ,anaacha wataalam wafanye kazi yao bila kuwaingilia na mengine mengi.Tulia tu JPM hafufuki move on
 
Magu mbona kashasaulika kabla hata ya miezi miwili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…