Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

Jamani wafuasi wa Jiwe hebu muacheni Mama afanye kazi zake. Mbona Jiwe kila alipohutubia ni yale yale. Alikuwa na mapya yapi au msisimko upi?!

Kwa ujumla unayoyaona ni madhaifu yaliomo ndani ya chama. Na tusitarajie makuuubwa kwa mama , kwa sababu waliomzunguka kuanzia usalama, chamani, serikalini all most ni wale wale.

Usimfananishe jiwe na Mother Teresa , jina lake tu lenyewe lilikua ni tishio, JIWE they didn’t call him for nothing , he was unshakable, alikua ni kiongozi wa aina yake, kumfananisha na vituko vingine ni kumkosea heshima... ebu kaa kwa kutulia
 
Ni mapema mno kuyaona matokeo ya kazi yake rais, Rais ni taasisi kila anachofanya kinakua kimeandaliwa na si kwamba anaamka tu na kuamua kuenda kuzindua miradi ambayo haijakamilika.Wafuasi wa Magufuli watambue huu ni Utawala mwingine, zile nyakati za kufokewa na fujo ziliisha kitambo.
Mwendazake alikuwa anazindua viwanda vingi tu vilivyoachwa na Kikwete. Jamaa alikuwa muongo na mshipa wa aibu alikuwa hana.
 
Tumepigwa niaminini mimi

Kwani hawajui si wanajifanya tu kupoteza aibu zao, maana walijua huyu atakua kiboko ya magu kumbe gegedu so itabid tu wamsifie kiunafik ila ukweli wanaujua kuwa tumepigwa hamna kitu hapa
 
Amekosa mvuto kwako.watu tulikuwa hatupandi madaraja sasa tunapanda,ajira zilisimama jana kaachia,vitisho ilikuwa kawaida ya awamu iliyopita sasa tumaini na amani vimerejea,wewe unaishi wapi aisee.
 
Ile hali ameshika atama kwa kuteuliwa sio kuchaguliwa, wacha afanye aonavyo ni sawa.
 
Unaumwa na kichaa!

Na kazi iendelee!

Chato gang members tafuteni kazi za kufanya nyingine ...

Mlitaka apayuke ovyo na kuonekana kila siku kwenye mativii na matamko ya kipuuzi puuzi kama baba yenu marehem?

C mkubali tu tumepigwa, nchi haina mvuto tena kama zaman , Ipo ipo tu kama hamna raisi
 
Wewe mama ondoka huko kwenye mavyama. Sasahivi nchi imeshikwa na dereva asiyetaka aina hiyo ya makelele. Subiri uone na kama hujabadirika kisaikolojia, utaumia sana. Soon anakwenda kufanya yasiyowapendeza wana CCM, anamtazamo wa kitaifa huyu.

Jifunze kuelewa na kukubali kwamba Chama cha mapindunzi ndio chamadola ila usisahau ile kauli mbiu ya serikali yake kwamba Maendeleo hayana vyama

Siku Ukiweza kuelewa hapo utanishukuru sana
 
Habari wanaJF,

Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi

Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana ndani ya muda mfupi.

Nadhani yafuatayo yamechangia yeye kupoteza mvuto kwa kasi:

- Hotuba zake zimekosa msisimko, nadhani ni kwasababu Waandishi wake wamekuwa waki-copy na kupaste hotuba zake. Kila hotuba tunasikia yale yale (Taifa kufiwa, Jinsia yake, lazima aombe epewe muda nk)

- Wizara ya Habari inamuangusha kwa 100% watu wanatamani kuona ubabaishaji unaondoka Serikalini lakini ndani ya wiki Moja Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imetoa maboko mara mbili (1: BASATA na Wasanii, 2: Mechi ya Simba SC vs Yanga SC)

- Kuendelea kuwepo Madarakani kwa baadhi ya Watendaji ambao Wananchi tuliamini walipaswa kuondoka baada ya zama za Mwendazake kuisha. Ameondoka mmoja tu, yule aliyekuwa boss wa Manispaa ya Temeke. Lakini bado kuna wengine wengi wanapaswa kupumzishwa.

Hayo ni kwa uchache, nakushauri fanya yafuatayo kujinusuru dhidi ya chuki na visirani vya Wananchi kabla haujachelewa.

- Safisha Serikali yako, baki na watu Wenye weledi tu (mfano ni Mama wa Afya anapaswa kupumzika ametulaghai sana)

- Kama kuna wafungwa wa kisiasa basi nakusihi wape uhuru wao. Familia zao zinawapenda na kuwahitaji.

- Ile ripoti ya matumizi ya fedha Serikalini ambayo uliomba bado haijakamilika? kama tayari basi tuweke wazi na ikiwezekana watu wawajibike kama kuna makandokando

- Usijidanganye ukaendelea kugawa Mabenz ya Serikali au ya fedha za walipa Kodi. Wananchi hatuoni mantiki ya kufanya hivyo.

- Acha kuwa na hotuba zinazojirudia rudia. Siku hizi ukianza tu tunajua unakoelekea.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Hotuba za mama ni tamu sana
 
Nyie ambao mnataka hotuba za kufokea watu na matusi ndio mnaona Raishana mvuto. Rais kwangu ana mataumaini makubwa sana hasa kwenye kukuza sekta binafsi iliyokuwa inapumulia mashine, na kurekebisha uhusiano na majirani na biashara za watanzania kuruhusiwa kuendelea kati yake na nchi jirani.

Sio kiki za kutembea na makamera muda wote na kufokafoka, matusi, rais sio celebrity kila siku kwenye camera na mitandaoni huku wananchi hali ngumu, biashara haziendi, ajira hakuna na majirani wametupiga pini

Kama kiongozi unatakiwa kukemea na kufokea pale inapobidi, haiwezekan kuona sehemu flan inafanya uozo then unarembesha tu sauti kama unataka kukata roho hivi unadhan kuna atakayekusikiliza? Magu he was a great leader c tukubali tu , hata kama Alikua dictator but alikua anajua anachokifanya hakuyumbishwa hovyo wala alikua hafanyi kazi kwa kufuraisha matajiri, yeye alikua busy na maskin wenzake

Mother Teresa kuingia tu madarakan, kashaanza kudemka, mara uganda, mara kenya, mara kaanza kugawa ma Benz , mara wawekezaji sasa wamepewa full support kuingia nchin bila kikwazo, come on guys really ? This is so digusting n annoying
 
C mkubali tu tumepigwa, nchi haina mvuto tena kama zaman , Ipo ipo tu kama hamna raisi

Cuzo hawa watu hajielewi ila walichokitaka nusunusu watakipata kwa ukamilifu.... na watakiri kwa vinywa vyao
 
Basi muacheni Mama aende style yake. Niliwahi kumsikia Maghufuli siku Ile anaongea na wastaafu Dar akisema "Aachwe atakosolewa akimaliza muhula wake". Na alienda mbali zaidi kuwaambia baadhi yao, wanawashwa washwa. Mungu hakupenda afike huko.

So kwa Mama ni vigumu sana kubadilika ukiwa na muundo na mfumo ule ule.

Magu alikua jembe bwana, akisema leo watu wote hakuna kuvaa nguo utaona jiji zima liko uchi[emoji23], c mtoto sio mzee, Mungu amuweke panapostahili, baba wa watu kazi aliifanya kwa kweli
 
Kwetu sisi wapiga kura hajakosa mvuto na ndio kwanza ana melemeta
Hii shida iko kwa wale waimba nyimbo wa Jiwe. Mama aliposema yeye na jiwe ni kitu kimoja walishangilia sana, sasa anawaonyesha kwa vitendo kuwa yeye siyo.
 
Magu alikua jembe bwana, akisema leo watu wote hakuna kuvaa nguo utaona jiji zima liko uchi[emoji23], c mtoto sio mzee, Mungu amuweke panapostahili, baba wa watu kazi aliifanya kwa kweli
Mungu fundi aiseee,mimi ni jiweeeee siogopiiiii.
 
Back
Top Bottom