Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Vp lissu, yupo na mkewe huko aliko?!!! Nilifikiri ungeanza na hilo kwanza.Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili?
Naam, nikweli hata JK inasemekana alikuwa na mgogoro wa ndani ila kwakuwa taifa haliongozwi na wahuni, walilazimika kuambatana na wenzi wao.JPM kuna maneno ya chini kwamba alikuwa ana mgogoro na wife wake, lakini baada ya kuwa rais ikabidi wife wake apelekwe jumba jeupe chap...
Kwa Mkapa pia ilikuwa hivyo...
Mkuu umeuliza swali la msingi sana..
Labda na yeye wamegombanaJPM kuna maneno ya chini kwamba alikuwa ana mgogoro na wife wake, lakini baada ya kuwa rais ikabidi wife wake apelekwe jumba jeupe chap...
Kwa Mkapa pia ilikuwa hivyo...
Mkuu umeuliza swali la msingi sana..
Aisee!Naam, nikweli hata JK inasemekana alikuwa na mgogoro wa ndani ila kwakuwa taifa haliongozwi na wahuni, walilazimika kuambatana na wenzi wao.
OhoooAisee!
Hata yule wa Namibia mbona anaonekana na ubavu wake asee?
Kwa hiyo unataka kusema kwa sasa taifa linaongozwa na nani...maana muhuni ni mwanaume, mwanamke sote tunajua anaitwaje.Naam, nikweli hata JK inasemekana alikuwa na mgogoro wa ndani ila kwakuwa taifa haliongozwi na wahuni, walilazimika kuambatana na wenzi wao.
nimekumbuka kanumba kale kawimbokake Baada ya kuona picha ya huyu mama aliyekuwa anaishi kongwa enzi za kupigania uhuru Namibia akishinda na jenerali ulimwenguAisee!
Hata yule wa Namibia mbona anaonekana na ubavu wake asee?
Jamaa anaonekana kama kalazimishwa kucheza 🤣🤣
Na aliongea kwa uchungu sana...🤣Kushikwa shikwa na lile jamaa?
Hana mume. Alikuwa naye zamani. Hata hivyo jk anstoshaMiaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili?
Lissu yupo gerezani mkuu, au hujui?Vp lissu, yupo na mkewe huko aliko?!!! Nilifikiri ungeanza na hilo kwanza.
Nioneshe mke wa Putin au Modi China juzi ?Si wanasema uongozi bora huanzia nyumbani, huoni kama kuonekana na mwenza kama kiongozi inakuwa ni alama au mfano kwa taifa wa familia bora na mshikamano?