kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 3,253
- 4,824
Hii ndio akili Sasa ya waja wasiofungamana na maadili na tamaduni za kiafrika. Hawajui hata umuhimu wa mambo ya Mr and Mrs kwenye nyadhfa za juu kabisa.Vp lissu, yupo na mkewe huko aliko?!!! Nilifikiri ungeanza na hilo kwanza.
Mwalimu mkuu tu anaambiwa ni vema akawa na mke.