Kwanini Rais Hatembei na Mume wake? CCM Haina washauri wa maadili?

Kwanini Rais Hatembei na Mume wake? CCM Haina washauri wa maadili?

Status
Not open for further replies.
Ndio maana wanaume tunakufa mapema, huenda mwenzetu anapitia mengi
 
Ni mume wake huyo.
Halafu mkitukanwa mnasema mnatukanwa, hauna akili, hauelewi chochote, ila unajifanya kushauri.

Pichanani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Azali Assoumani, ambae pia ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa Comoro
 
Mfumo jike favors a strong, single, and independent woman.
 
Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili? Kwanini anamtenga mume wake?

Je, anatoa picha gani kwa umma? Kikwete aliwahi kumlazimisha Magufuli kumtambulisha mke wake kwenye ufunguzi wa kampeni, kwanini hamlazimishi Samia kutembea na mume wake?View attachment 3465320
Duh..
Kazi ipo!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom