Kwanini Rais Hatembei na Mume wake? CCM Haina washauri wa maadili?

Status
Not open for further replies.
Vp lissu, yupo na mkewe huko aliko?!!! Nilifikiri ungeanza na hilo kwanza.
Hii ndio akili Sasa ya waja wasiofungamana na maadili na tamaduni za kiafrika. Hawajui hata umuhimu wa mambo ya Mr and Mrs kwenye nyadhfa za juu kabisa.
Mwalimu mkuu tu anaambiwa ni vema akawa na mke.
 
Kwa nini wanawake wa Afrika wakiwa na umri 35 na kuendelea wanakua wanene sana.
 
Hii ndio akili Sasa ya waja wasiofungamana na maadili na tamaduni za kiafrika. Hawajui hata umuhimu wa mambo ya Mr and Mrs kwenye nyadhfa za juu kabisa.
Mwalimu mkuu tu anaambiwa ni vema akawa na mke.
Kwahiyo lazima watembee pamoja tu hata kama mmoja ana changamoto za afya (kwa mfano)?!!!!
 
kwa mila za kiafrika raisi mwanamama anacheo kikubwa sana
 
Picha ina uhusiano gani na mada yako?
Kwamba ulitaka Mwanaume afuatane na mkewe kila kona?
 
Nawasanua!

Kuwa mume wa mwanamke mfanyakazi wa serikali ni mateso sana kuliko mnavyodhani!

Wanawake wenye mishahara wanajua Santa kutesa kisaikolojia wanaume zao kuliko mnavyodhani!

Kwa utafiti binafsi wanaume tuliowahi kuwa na Jao viumbe wenye kazi hatukua na furaha kabisa!coz hawaongozeki na Wana option kibao kukuhusu!unaweza jikuta wewe ni kama kikaragosi Fulani na hasa kama ana dharau utateseka sana!!

Wanawake wenye mishahara hawapaswi kuolewa officially ni wa kuishi nao kuanzisha familia halafu unaaanzisha unayoweza kuiongoza hii nyingine unakua 50-50!! Kama upo haupo vile!!

By experience!kupigwa matukio nje nje!haijalishi wewe ni provider au mtakatifu kiasi gani!unapigwa matukio hadi unachanganyikiwa!
 
Kwahiyo lazima watembee pamoja tu hata kama mmoja ana changamoto za afya (kwa mfano)?!!!!
Thibitisha kama anachangamoto ya kiafya.

Kimsingi mada hii ni nzuri na mtu yoyote mwenye Hekima huambatana na mwenza kwani ndio mlinzi wake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…