Kwanini Rais Magufuli alimfunga Kabendera?

HALAFU WATANZANIA WALA HAWAKO BIZE NA KUSOMA MAJALIDA NA HIYO LUGHA ALIYO TUMIA NDIYO KABISAAA HAKUNA ATAKEYE SOMA NA HAKINA IMPACT YOYOTE KWA TANZANIA NI KAMA KIGAZETI CHA UDAKU TU
Ndio maana nasema huyo mwehu Kabendera katunga hicho kitabu hili kujipa relief sababu ya trauma aliyonayo, ndio maana kakiweka kwenye lugha ambayo wengi watakaokisoma ni diaspora na watanzania wachache wenye traumatic experience inayofanana na yake.

Yeye mwenyewe anafahamu kabisa watanzania wengi hawatakuwa na muda na kusoma chake, watanzania hata Katiba tu ya nchi Yao iliyopo kwenye lugha mama ya kiswahili hawana muda na kusoma, ndio ije iwe hicho kitabu Cha Hadithi kilichoandikwa Kwa lugha ya kibeberu?

Huyu ndani ya mwezi tu atakuwa ameshasahaulika kabisa yeye na kitabu chake.
 
Huwa Kuna mentality fulani ya kuiga na ya kinafiki ipo Kwa watanzania wengi hasa hawa middle class ambao wanajiona Wana akili na vi-exposure uchwara walivyonavyo.

Kwamba kufanya chochote au kusema chochote hata kama ni hatarishi Kwa umma ni haki yake ya kidemokrasia.

Unakuta mtu anafanya ufisadi/wizi halafu akishughulikiwa vilivyo, wanatokea watu WA kumtetea kwamba adhabu aliyopewa ni ukiukwaji WA haki.... Na blah...blah kama hizo

Imagine huyo Kabendera kipindi kile jeshi letu limefanikiwa kuthibiti kile kikundi Cha kigaidi kule Kibiti, eti akaanza kuandika makala za kuwatetea wale magaidi kwamba wameonewa sijui wamevunjiwa haki zao za kibinadamu seriously?

Yaani mtu kuisnitch serikali dhidi ya mataifa ya nje eti ndio demokrasia hiyo, SI upumbavu huo?

Haya leo hii Kuna watu wanaamini eti wale wahanga wa vyeti feki walionewa.... Yaani mtu katumia udanganyifu kujipatia ajira serikalini, wakati huo Kuna watu kibao tu wenye sifa wako mitaaan... Haya leo hii ameshtukiwa na kisha akaondolewa kazini na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwenye elimu na sifa hii, mara ghafla tunakuja kuambiwa eti huyo mdanganyifu alionewa na anapaswa kulipwa stahiki zake... just imagine?

Hakika watanzania wanahitaji mtu ambaye ni mara tatu ya jinsi alivyokuwa Magufuli hili akili zao ziwakae sawa.

Kuna self-entitlement ya kipumbavu mno
 
Leo anaandika kitabu ili apate huruma ya kijamii kana kwamba watu hawamjui. Hawa mawakala wa mabeberu wamechangia sana katika kuzikwamisha serikali nyingi za Afrika.
 
Inasikitisha sana mkuu, ukiwa mzalendo kwa hii nchi unakua vitani na unaowatetea, ndio maana wengine wameona wale maisha na watoto wao kimya kimya
Anaowatetea walimwelewa sana, wajaribu kumtukana insta walipojaa waone moto wao.

Ni genge tu la mafisadi wachache.
 
Mkuu kawaandikia wazungu sisi Wananchi hakituusu
 
I wish ungekuwa wewe ukawekwa ndani mpaka Mama yako akaiomba Serikali ikuachie kwa sababu wewe ndiye Masada wake pekee lakini ikaziba masikio nadhani hapo ndipo ingependeza sana. Hata hayo mawazo ya kubwabwaja yangekutoka!!
Kwani wafungwa na watuhumiwa walioko mahabusu kama yeye hawana wazazi ina maana Mama yake ni muhimu kuliko watuhumiwa wote waliioko magerezani?
 
Kwani wafungwa na watuhumiwa walioko mahabusu kama yeye hawana wazazi ina maana Mama yake ni muhimu kuliko watuhumiwa wote waliioko magerezani?
Msharaha ni hapa hapa tu!! Unavuna ulichopanda ndicho utavuna!! Hivi wewe unafikiri shida yangu ndiyo yako? Walijua wamemkomoa lakini hawakujua kuwa Mungu Fundi!!
 
Wazee wa mihemko, hivi wanazi wa Magu mna matatizo gani?
Kwanini mkiishiwa hoja au huyo mungumtu wenu akisemwa vibaya mnakasirika na matusi juu??

Sisi uthibitisho wa kua mwendazake alitaka kula tunda kimasikhara kama rikiboy tunao, ni kitabu cha jamaa yetu alie ughaibuni, ukituuliza tutaquote tu.

Bwabwaja ubwabwajavyo ila mwendazake alitaka kuzagamua kinguvu, KWISHA.
 
Kuna watu wachache wa ajabu sana Tanzania waliathirika na aliyoyafanya Magufuli kama haya chini. Walikuwa wanufaika wa mfumo uliokuwa umejaa rushwa, wizi, ufisadi, uonevu, kujuana, upendeleo, kutojalina kila aina ya uchafu.

JPM kakomesha ugaidi Watanzania wote waishi kwa amani. Webgine waweze kumtukana hapa JF, kufanya kazi zao, kuendelea na biashara zao, mambo yao. Huo ndio uhuru wenyewe, ndio huko kusimamia haki za binadamu wote.

Kawapa elimu bure.
Kawapa umeme, maji ya kuaminika sasa hivi hivi vinashindikana tena kwa bei nafuu.

Kafukuza vyeti feki mtu alikuwa anaweza kujiita mhasibu,engineer, muuguzi kwa kutumia vyeti feki. Madhara yake ni makubwa sana.

Wafanyakazi hewa hawapo tena serikali imeokoa mabilioni ya pesa iliyokuwa inaenda kwa vigogo kwenda kwenye mambo ya msingi. Hao vigogo hawawezi kumpenda.

Kapambana tupate sheria mpya kulinda rasilimali zetu, zitunufaishe, kama sheria za madini vizazi na vizazi vijavyo.

Alipunguza rushwa na kuongeza nidhamu serikalini na alipunguza matumizi yasiyo ya lazima.

Alihakikisha mfumuko wa bei unathibitiwa. Vitu havipandi ovyo.

Amejenga masoko, shule, hospitali, barabara, SGR, Bwawa la umeme, madaraja, interchange,vituo vya usafiri hivi vyote kusaidia kuliinua taifa hili maskini.

Vyote hivyo alifanya bila kuongeza kodi, tozo.

Muhimu zaidi amejaribu kubadilisha mentality la hili taifa, kuwaambia Watanzania nyie sio maskini, mna rasilimali za kutosha, muhimu kuzitumia vizuri akaonyesha mfano kwa vitendo.

Ndio alikuwa mtetezi mkubwa wa haki za kibinadamu na uhuru kwa Watanzania wote. Wapate haki zao za msingi, haki za kuishi, haki ya elimu, afya, kazi, biashara, amani, nk.
 
Afanye mambo yote lakini kudhilumu haki za watu,Kuteka watu,kuua watu na wengine kuokotwa coco-Beach hiyo si sawa kabisa!!
 
Afanye mambo yote lakini kudhilumu haki za watu,Kuteka watu,kuua watu na wengine kuokotwa coco-Beach hiyo si sawa kabisa!!
Ungekuwa wewe ungedili vipi na magaidi Mkuranga, Kibiti Rufiji, Lindi, Mtwara, Ruvuma? baadaye kidogo wangefika Dar kama wangechekewa.

Hawa walikuwa wanaua watu wengi tu bila kujali haki zao za kuishi, uhuru wao kufanya kazi, biashara, mamno yao.

Unaona JWTZ, JPM, usalama, polisi walikosea, Tupe mkakati wako?
 
Angalieni msimchonganishe wakili Pascal Mayalla na familia ya Kabendera!
 
Hebu fafanua zaidi mkuu!
 
Hao waliokuwa wanatekwa na kupotezwa na wengine kuokotwa kwenye fukwe za coco Beach walikuwa Magaidi?
 
Watanzania gani boss, hao ambaoa magufuli hakuwa ma imani nao hadi ikabidi anajisi uchaguzi wa 2020?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…