Watu kama huyo Kabendera kuachwa waendelee kuwa hai ilikuwa ni mistake, hapo ndio Huwa namkubali PK Huwa anajua sana kudeal na watu WA aina hii ambao ni threat Kwa usalama WA taifa.... Ana bahati sana JPM hakuwa na uhodari WA kimafia kama Kagame, huyu asingekuwa hai kutuandikia huu ushuzi ambao hauna manufaa yoyote zaidi ya kupoza hasira zake na za wengine ambao Wana makovu kama yeye.
Eti investigative journalist halafu unaishia kuichunguza serikali Kwa manufaa ya watu WA nje, si ni uhaini huo? Kwanini asingechunguza kuhusu makinikia na uporaji WA rasilimali zingine lukuki unaofanywa nchini kwetu ambao wananchi wengi hatuujui? Yaani unaichunguza serikali kisha unashirikiana na magaidi yanayotishia kuangusha utawala, halafu ukishughulikiwa, umeonewa... Mbaya Zaid Kuna wapumbavu wanamuunga mkono, inatia hasira sana
Kuna watu wachache wa ajabu sana Tanzania waliathirika na aliyoyafanya Magufuli kama haya chini. Walikuwa wanufaika wa mfumo uliokuwa umejaa rushwa, wizi, ufisadi, uonevu, kujuana, upendeleo, kutojalina kila aina ya uchafu.
JPM kakomesha ugaidi Watanzania wote waishi kwa amani. Webgine waweze kumtukana hapa JF, kufanya kazi zao, kuendelea na biashara zao, mambo yao. Huo ndio uhuru wenyewe, ndio huko kusimamia haki za binadamu wote.
Kawapa elimu bure.
Kawapa umeme, maji ya kuaminika sasa hivi hivi vinashindikana tena kwa bei nafuu.
Kafukuza vyeti feki mtu alikuwa anaweza kujiita mhasibu,engineer, muuguzi kwa kutumia vyeti feki. Madhara yake ni makubwa sana.
Wafanyakazi hewa hawapo tena serikali imeokoa mabilioni ya pesa iliyokuwa inaenda kwa vigogo kwenda kwenye mambo ya msingi. Hao vigogo hawawezi kumpenda.
Kapambana tupate sheria mpya kulinda rasilimali zetu, zitunufaishe, kama sheria za madini vizazi na vizazi vijavyo.
Alipunguza rushwa na kuongeza nidhamu serikalini na alipunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Alihakikisha mfumuko wa bei unathibitiwa. Vitu havipandi ovyo.
Amejenga masoko, shule, hospitali, barabara, SGR, Bwawa la umeme, madaraja, interchange,vituo vya usafiri hivi vyote kusaidia kuliinua taifa hili maskini.
Vyote hivyo alifanya bila kuongeza kodi, tozo.
Muhimu zaidi amejaribu kubadilisha mentality la hili taifa, kuwaambia Watanzania nyie sio maskini, mna rasilimali za kutosha, muhimu kuzitumia vizuri akaonyesha mfano kwa vitendo.
Ndio alikuwa mtetezi mkubwa wa haki za kibinadamu na uhuru kwa Watanzania wote. Wapate haki zao za msingi, haki za kuishi, haki ya elimu, afya, kazi, biashara, amani, nk.