MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 424
- 765
dawa iliyopo nikuwaletea jiwe lingine zaidi ya Magu..miaka ya usoniuko sahihi kabisa. Kuna mambo mengi magufuli alikosea. Na kuna mazuri pia alifanya. Kipindi anaingia madarakan nchi ilikuwa na hali mbaya zaid. Kuna baadhi ya vitu alifanya ambavyo hata ingekuwa wewe ndo uko madarakani kwa wakati ule ungefanya kama yeye alivofanya. Kwa mtawala kuua watu ambao wako kinyume nae ilikuwepo tangu zamani.
Labda utakubaliana na mimi kuwa wakosoaji wengi wamejikita kubainisha mabaya ya magufuli na kumchora vibaya kwa jamii iliyokuwa ikimuona kama kiongozi bora. Jiulize nia yao ni nini hasa?
In the name of the president siyo The name of the president, unapotosha maana ya uandishi,Ndugu wanajamvi,
Tumesikia kuhusu kitabu kipya cha Erick Kabendera kinachoitwa "The Name of the President: The Memoir of a Jailed Journalist". Kabendera amefunguka kwa kina juu ya utawala wa Magufuli na madai ya udikteta. Hii inatufanya tujiulize maswali mengi kuhusu sababu halisi za kufungwa kwake.
Ni wazi kuwa Kabendera alikuwa mwandishi wa habari shupavu, lakini je, hatua za kumkamata na kumfungia zilikuwa za haki? Au zilikuwa juhudi za kumnyamazisha kwa sababu ya uandishi wake?
Kwa vile tunafahamu kwamba baadhi ya wanachama wetu hapa ni wafanyakazi wa idara za usalama, jeshi, na ulinzi, tunapenda kupata mitazamo yenu juu ya suala hili:
1. Je, ni nini hasa kilichosababisha Kabendera kuonekana tishio kwa utawala wa Magufuli?
2. Kuna ukweli wowote katika madai kuwa utawala huo ulitumia nguvu za dola kuzima uhuru wa vyombo vya habari?
3. Kwa maoni yenu, je, kufungwa kwa Kabendera kulikuwa na athari gani kwa tasnia ya uandishi wa habari na uhuru wa kujieleza nchini Tanzania?
4. Kwa nini utawala wa Magufuli ulikuwa na wasiwasi mkubwa juu ya waandishi wa habari huru kama Kabendera?
Tunaomba mjadala huu uwe wa kistaarabu, wa kina, na wa kuheshimu maoni tofauti. Ikiwezekana, tusaidiane kupata ukweli ili kuangazia mustakabali wa uhuru wa vyombo vya habari nchini mwetu.
Karibuni!
View attachment 3191541
Tanzania ni nchi maskini bado.
This is how it works kuna kinaitwa DeMPA👇
Debt Management Performance Assessment
The Debt Management Performance Assessment (DeMPA) is a diagnostic of government debt management practices and institutions.www.worldbank.org
Kuna taratibu zake kabla nchi maskini ujaenda kuchukua mikopo kwenye private banks.
Kwa sababu nyingi, default risks na cash flow yako. Kabla private banks awaja kukopa wanataka kuona income yako na against current current liability.
Na world bank nao wana monitor, bank itakayopa nchi yenye B rating bila ya kuongea na IMF au WB inanunua ugomvi mkubwa wa irresponsible lending kwa kuchezea amana za wateja wao. Waulize Credit Suisse fines walizochezea EU kwa kuikopa Mozambique bila kufuata DeMPA.
Unadhani unakopeshwa tu na private banks, muulize Mwigulu si alienda kutafuta mkopo NY through private banks (Paris Club), huo mkopo alipata.
Hadi ukoposhwe na banks nchi ya third na IMF/WB wakae kimya maana yake cash flow yako ipo vizuri.
Tatizo lenu tunajazana upepo kwenye story zetu sana humu JF na kudhani, that’s how things work.
Magufuli hakuwa wa mzaha-mzaha
TrueHapana.. Kina Kabendera walipata maanyata kutokana na matendo na kauli za mkuu. Tusiwape watu wengine lawama, tukubaliane na uhalisia wake
Kama ambayo alikuwa yupo vizuri kwa jambo moja, hakuwa katika jambo lingine na ipo sawa
Hao mkuu ndio wasomaji wa huko kijaniIn the name of the president siyo The name of the president, unapotosha maana ya uandishi,
uko sahihi kabisa. Kuna mambo mengi magufuli alikosea. Na kuna mazuri pia alifanya. Kipindi anaingia madarakan nchi ilikuwa na hali mbaya zaid. Kuna baadhi ya vitu alifanya ambavyo hata ingekuwa wewe ndo uko madarakani kwa wakati ule ungefanya kama yeye alivofanya. Kwa mtawala kuua watu ambao wako kinyume nae ilikuwepo tangu zamani.
Labda utakubaliana na mimi kuwa wakosoaji wengi wamejikita kubainisha mabaya ya magufuli na kumchora vibaya kwa jamii iliyokuwa ikimuona kama kiongozi bora. Jiulize nia yao ni nini hasa?
Uandishi wa Habari una Maadili yake kama zilivyo kazi nyingine, na chochote unachoandika lazima u balance stori na stori hiyo iwe na ukweli.Ndugu wanajamvi,
Tumesikia kuhusu kitabu kipya cha Erick Kabendera kinachoitwa "The Name of the President: The Memoir of a Jailed Journalist". Kabendera amefunguka kwa kina juu ya utawala wa Magufuli na madai ya udikteta. Hii inatufanya tujiulize maswali mengi kuhusu sababu halisi za kufungwa kwake.
Ni wazi kuwa Kabendera alikuwa mwandishi wa habari shupavu, lakini je, hatua za kumkamata na kumfungia zilikuwa za haki? Au zilikuwa juhudi za kumnyamazisha kwa sababu ya uandishi wake?
Kwa vile tunafahamu kwamba baadhi ya wanachama wetu hapa ni wafanyakazi wa idara za usalama, jeshi, na ulinzi, tunapenda kupata mitazamo yenu juu ya suala hili:
1. Je, ni nini hasa kilichosababisha Kabendera kuonekana tishio kwa utawala wa Magufuli?
2. Kuna ukweli wowote katika madai kuwa utawala huo ulitumia nguvu za dola kuzima uhuru wa vyombo vya habari?
3. Kwa maoni yenu, je, kufungwa kwa Kabendera kulikuwa na athari gani kwa tasnia ya uandishi wa habari na uhuru wa kujieleza nchini Tanzania?
4. Kwa nini utawala wa Magufuli ulikuwa na wasiwasi mkubwa juu ya waandishi wa habari huru kama Kabendera?
Tunaomba mjadala huu uwe wa kistaarabu, wa kina, na wa kuheshimu maoni tofauti. Ikiwezekana, tusaidiane kupata ukweli ili kuangazia mustakabali wa uhuru wa vyombo vya habari nchini mwetu.
Karibuni!
View attachment 3191541
AarghNimeongelea Exim kwa sababu ni bank ya China na kama ujuavyo, China hainglii sovereignty ya nchi. Hata ufanye nini, wao wanachoangalia ni uwezekano wa kulipa na collateral, kilichowakuta Zambia hadi kuweka uwanja wa ndege rehani nadhani unaujua
Kwa hiyo China na mashirika yake ni mbadala wa IMF au WB bank ambao wanaangalia sana Utawala wa Sheria..
Hapo ndipo point zangu zilipo
Kuhusu credit rating, ni mambo ya kawaida na Tanzania ilikuwa katika position nzuri kwenye hizo ratings zao haswa baada ya Kikwete kwa sababu kikubwa kinachoangaliwa ni uwiano wa deni na thamani ya uchumi au pato la taifa la nchi husika.
Hapo ndipo tunapata kujua kama nchi inakopesheka au hapana.
Kwa hiyo mkuu usitake kutengeneza imagine kuwa Tanzania ishawahi kuwa na bad credit rating na Magufuli alikimbilia exim kutokana kutokukopesheka kwetu. Hapanaaaa, alikimbilia huko kwa sababu mfumo wake wa nchi ulikuwa haukopesheki maana kama trilions zilizokosa maelezo kiasi cha Assad kustaafishwa U_ CAG kinyume na sheria. Ni nani angemuamini na Pesa za wahisani
So msihamishe magoli, ongeeni ukweli
Tutakuwa na kazi ya ziada ya kuelimisha, kumbe pia changamoto husababishwa na kushindwa kutafsiri taarifa kwa usahihi Tena kwa wakati, (muda), muafakaHao mkuu ndio wasomaji wa huko kijani
Tuwasikilize na wengine ndani ya kaya wanasemaje?Kabendera alikuwa anatumika na watu wa nje kumhujumu Magufuli alitaka kupindua utawala wa Magu.
Mwandishi wa habari unaandika artcles 4 kwa mwezi kwenye akaunt yako unalipwa million 300. Unachomoa pesa unazitawanya kwa wakosoaji wa serikali mitandaoni. Hiyo investigative journalism kilikuwa kichaka cha money laundering alikuwa anatumika kwa kazi maalum kazi chafu.
Ina maana walengwa(watumiaji) wa kitabu chake ni jamii gani? Watanzania au? Au hajui kiswahili? Kabendera ni mtanzania kweli?Eti ameona aandike Kwa lugha ya kigeni kabisa hahahhaha..!!
Umekisoma?Magufuri alikua gaidi ila kitabu Cha kubendera ni kama gazeti la udaku kaandika utumbo na kutumia mihemko
Unapo andika kitabu inatakiwa ujue watakao kisoma kitabu chako, (the audience), Mimi naandika kitabu mama Cha ujasiriamali kwa kimombo Bado sijakizindua natafsiri kwa kiswahili, nitazindua kwa lugha mbili,Ina maana walengwa(watumiaji) wa kitabu chake ni jamii gani? Watanzania au? Au hajui kiswahili? Kabendera ni mtanzania kweli?
May utakuwa unamaanisha Kubenea ila yeye alimwagiwa tindikali (Bado navuta kumbukumbu mwandishi alieng'olewa meno Bado haiji zaidi Ulimboka ambae hakuwa mwandishi)Hapana yule alikuwa mwandishi wa habari, Ulimboka alikuwa Daktari
Asante kwa taarifaAsante mkuu nimesharekebisha.
kama alikuwa anapambana na mafisadi ndani ya chama?Uzuri pia majipu yalioiva alikuwa anashughulika nayo maana nyembe na sindano alikuwa navyo mfukoniJPM ALIKUWA KERO HADI KWA CCM WENYEWE. KINA KINANA NA MAKAMBA HAWATAKAA WAMSAHAU, KINA NAPE WALIONJA JOTO YA JIWE.