Kwanini Rais Magufuli alimfunga Kabendera?

siyo kweli, kama hamutaki kukosolewa basi msimame kwenye haki
 
Madaraka hayadumu ,tutende haki ,kibongo bongo rais ukishapiga miaka 10 unakuwa bilionea hadi unakufa ,yannini kuua wakosoaji ,wapinzani? Rais una vyombo vyote vya ulinzi na usalama unamuogopa Chaula kwa kuchoma karatasi? Unamuogopa Sativa? Unamuogopa Soka?
 
Magufuli kuwa dikteta sio la kusingisiwa angalia tu, utawala wake nchi alivyoifosi? ilikua fujo tupu kila sehemu.
 
Kapoteza muda mwingiii sana hajui ukiwa raia no.1 hayo ni kawaidΓ  sanaaa
 
Magufuli alikuwa kichaa. Muone hapa kwenye majabali amejilaza kama kenge anaota jua.
 
Hiyo ni longolongo tu. Leta majina ya hao alikuwa anawagawia hela hapa
 
Kidogo apigwe risasi akatupwe mto tufiji kama alivyomfanyia ben saanae
 
Like father, like son. Maji hufuata mkondo. Usaliti upo kwenye DNA yao, Ukoo, familia yote hawaoni shida kuiuza Tanzania nchi iliyowapokea na kuwasaidia kama wakimbizi.

Nchi ilikuwa inapambana na magaidi. Wananchi wa kawaida, Familia, polisi, viongozi wanauliwa ovyo kila siku, watu wanataka kusimamisha himaya yao yenye misimamo mikali ndani ya nchi kama walivyofanikiwa Msumbiji walipokimbilia. Shughuli nyingi zilianza kusimamia. Anakuja mtu anaanza kuwatetea akisahau kutetea waathirika, wahanga wa ugaidi.

Rais anaamua kuweka mambo sawa, Kabendera anaanza kutetea haki za magaidi, nchi iwekewe vikwazo, wawekaji wasije, uchunguzi wa haki za magaidi wakati huo huo hana habari na haki za wananchi wa kawaida wanaouwawa kila siku.

Wengi wanaomuona shujaa na kumsifia hapa sasa hivi wangekuwa wakimbizi, wakishindwa kuishi kwa amani, kufanya shughuli zao za kiuchumi, kuandika hapa JF kama JPM asingewanyoosha wahusika wote na huyu shujaa wao bila kupepesa macho.
 
Magufuli alikuwa kichaa. Muone hapa kwenye majabali amejilaza kama kenge anaota jua.
View attachment 3193836
Kwamba Magufuli alitaka kumtombaa mama yako Samia, na wewe unakubaliana na hili??

Nashangaa sana nyie machawa WA Samia kukifurahia hicho kitabu Cha Kibendera na wakati kimemdhalilisha zaidi Mama yenu kuliko hata Magufuli, haya mwambieni mama yenu afanye kuclear kuhusu hizo tuhuma nzito, maana yeye Bado Yuko hai na mpaka Sasa hivi naamini tayari amefikishiwa taarifa.... Asipoongea chochote tutaamini kweli tunaongozwa na mtu ambaye ni victim WA sexual harassment, ambaye kimsingi alistahili kuwa sober badala ya Ikulu.

Nyie machawa WA Samia akili zenu ni ndogo sana kama Tako la sisimizi
 
Mpaka Sasa hivi ni dhairi kabisa huyo Kibendera sijui Kabendera ni aina ya waafrika ambao Wana mchango mkubwa sana kwenye machafuko yanayoendelea kwenye bara hili la Africa.

Siku zote adui hawezi akakudhuru pasipokupata support yoyote kutoka Kwa mwanafamilia Mmoja wapo anayetoka humo humo ndani kwako.

Machafuko na vikundi vya kigaidi tunavyoviona hapa Africa, waanzilishi au waliofanya vikastawi ni waafrika wenyewe hasa hawa waandish WA habari uchwara wanaojiita investigative journalists.

Ulienda kule Nigeria Kuna mtu Amed Salkida huyu ni mwandishi WA habari ambaye aliwahi kufanya kazi Ikulu enzi za raisi Olisegun Obasanjo, mwishoni mwa mwaka 2015 ilikuja kubainika kwamba anashirikiana bega Kwa bega na kundi la Boko Haram, ina maana mipangi yote ya serikali jamaa ndio alikuwa anaipenyeza enzi hizo Boko Haram inajiimarisha kule kwenye jimbo la Bono na kutengeneza himaya Yao.

So endapo kama Magufuli asingesimama kidete kipindi kile basi upo uwezekano mkubwa sana leo hii Kibiti isingekuwa na bandera ya Tanzania kabisa, na badala yake ingekuwa ni himaya ya magaidi ambayo yangeweza kutusumbua kizazi hadi kizazi, yaani Kwa ufupi na sisi tungekuwa na maboko Haram hapa nchini.

Wakati huo watu kama akina Kabendera ambao ndio chanzo Cha kustawi Kwa magaidi hayo familia zao hazipo nchini..

Kwa hiyo watu kama huyo Kibendera/Kabendera kishughulikiwa na serikali ya Magufuli ilikuwa ni Moja ya maamuzi Bora kabisa kufanyika wakati ule.

Sahihi kabisa, Hawa wanaomshabikia Kibendera/Kabendera leo hii, hawajui kwamba kazi anayoifanya ni sawa na Ile aliyoifanya Amed Salkida WA Nigeria...
 
Angekuwa hai bado kitabu kingetoka tu kwa maana kwa namna alivyoua na kuteka raia hakuna namna angekwepa hii aibu.
Ben saanane kafa mwaka 2016/2017 Magufuli kafa 2021... Miaka 4/5 baadae, alikuwa wapi Ile miaka 4 kutoa hicho kitabu ambapo ndio ingeleta mantiki zaidi na watu wangemuamini???

Nini kimenfanya aje akitoe leo hii ambapo muhusika hayupo na ameshasahaulika???

Makovu yenu ya kihisia hayawezi kuponywa na hizo hekaya za kutunga... Bado mtaendelea kuumizwa tu marehemu mpaka kufa kwenu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Magu alijitoa muhanga???
Na wewe ukamuamini kua kajitoa muhanga..
Ccm ni walewale tu wafata ilani yao ambayo hawaifati.
Unafikiri kuchokonoa Ile mkataba ya kinyonyaji ya madini ni jambo rahisi ehee?? Unafikiri kila kiongozi WA kiafrika ana ujasiri wa kuwatikisa imperialists kama alivyokuwa anafanya Magu??

Hapa hatuongelei wizi na ulafi wa mafisadi ya ccm ambao ndio maadui wake wakubwa mpaka leo...!!

Huwezi ukaona risk taking aliyoifanya Magu enzi za uhai wake kama wewe ulikuwa ni mlamba makalio WA mafisadi na majizi ya rasilimali za taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…