“African socialism” did not work in Tanzania last time, either
www.economist.com
View attachment 3192819
President John Magufuli hates critics, gay people and accurate statistics
www.economist.com
Shida ya watanzania ni kudandia mambo, hivi unadhani kweli Kabendera alipata shida kwa sababu ya nakala za ujinga alioongea kwenye interview yake ya kuuza kitabu.
Au unaamini kweli hadithi zake za watu kutekwa sijui kuwa na ushahidi.
Kabendera alikuwa anaichafua nchi na kuwaambia wawekezaji wa kimataifa Tanzania sio sehemu salama ya kuwekeza akishirikiana na mafisadi kuichafua nchi.
Unadhani huyo Kabendera ni mtu wa maana kweli au alionewa na machozi yake ya mamba.
If anything Magufuli alimuonea huruma na kumtoa tu, ugomvi wake ulikuwa na usalama wa taifa.
Akitokea mwandishi mwingine zama hizi za Samia na kufanya aliyokuwa anafanya Kabendera atapewa treatment zilezile.
Ni kwamba mafisadi yanatudharau tu, maana yanaamua wao namna ya ku shape narrative kwa mambo yanayofanana (huyu mpe, huyu muache).
Zama za Magufuli walikuwa wanatengeneza mazingira ya kumu-attack, wanaenda chukua maiti mochwari zisizo na ndugu na kutupa baharini.
Ili umpinge Magufuli nafuu uwe sasa hivi unanufaika vinginevyo, ni mpumbavu wa hali ya juu kusikiliza hizi hadithi za majizi.
Kabisa unaamini Kabendera ujinga wake alikuwa anaandikia audience ya Tanzania, yeye alikuwa anaichafua serikali nje ya nchi.
Unadhani alichoongea kwenye interview yake ni genuine, zaidi ya machozi ya mamba tu; msaliti mkubwa yule.
Alistahili kila kilichompata kwa matendo yake. Hao watu sio wazuri wana kundi la kuwalipa tu la ku-shape narrative kwenye social media.