Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

Mwingine anayeishi kwa uchungu wa kusalitiwa ni Dr G Bilal. Huyu alikuwa Waziri kiongozi kama Vuai
Wazanzibar wakamsaliti ndani ya NEC. Alipewa u VP kumpooza lakini alistaafu kwa uchungu na anaishi nao.

kuvurugika kwa Bunge la Katiba sehemu kubwa sana ni kutokana na usaliti wa Wazanzibar.
 
Kwani Urais wa Zanzibar na Makamu Rais JMT, Nani mkubwa? Uchungu wa nini Sasa?
 
Kwani Urais wa Zanzibar na Makamu Rais JMT, Nani mkubwa? Uchungu wa nini Sasa?
VP wa JMT ni Ceremonial , kufungua makongamano, kupokea ndege, kuwakilisha katika mazishi n.k. VP ana ripoti kwa Rais wa JMT. Yupo tu akisubiri 'ikiwa kutatokea ajali' kama ilivyotokea lakini hana nguvu za kiutendaji

Rais wa Zanzibar ana eneo na mamlaka. Kwa katiba ya 1977 Rais wa Zanzibar ana 'ripoti' kwa Rais wa JMT kwa baadhi ya mambo lakini ana mamlaka yenye nguvu kuliko VP.
Mfano, Karume alibadilisha na kusaini katiba ya Zanzibar 1984 toleo 2010 hata pale ilipokiuka katiba ya JMT

Nakuelewa !ni hivi, kiprotokali VP ni Mkubwa, kiutendaji Rais wa Zanzibar ana 'voting block na LIMITED instruments of power''. VP wa JMT hana vitu hivyo.

Kuna vurugu na figusu na kila aina ya ubovu wa Katiba ya 1977. Tunahitaji Katiba Mpya na muundo mpya wa Muungano kama unatakiwa kuwepo.
 
Ndiyo maana kumbe Bilal ana maumivu hadi leo? Ila wazanzibar wanajua kuumizana. Sipati picha ingekuwa nchi huru.
 
Ndiyo maana kumbe Bilal ana maumivu hadi leo? Ila wazanzibar wanajua kuumizana. Sipati picha ingekuwa nchi huru
 
Huyo mtu ni sifuri kabisa hana lolote la maana kwa sasa na ndie mshauri wa upumbavu wote unaondelea katika ktk uchumi wa Taifa hili. Ni afadhali hakupewa nafasi tena wangeweza wangemfukuza kabisa kwenye uzinduzi huo.
 
Kikwete ni mjinga sana yaani ww ulimchafua mwenzako kwamba sio mtanzania alafu unaenda na kwenye uzinduzi wa kavazi,akili za ugolo kabisa,kweli zoba ni zoba tu.
 
Ndiyo maana kumbe Bilal ana maumivu hadi leo? Ila wazanzibar wanajua kuumizana. Sipati picha ingekuwa nchi huru

Gharib ana maumivu na mwingine ni Vua Nahodha Shamsa ambaye sasa amepewa Ubunge na SSH kama zawadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…