Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Mwingine anayeishi kwa uchungu wa kusalitiwa ni Dr G Bilal. Huyu alikuwa Waziri kiongozi kama Vuai..alianza Mzee Mwinyi mwaka 1995.
..Maalim Seif na Salim Salim walimtonya Mzee Mwinyi kwamba akipendekezwa akatae na kubakia Raisi wa Zanzibar, ili njia iwe nyeupe kwa Salim Salim.
..Kufika kwenye kikao Mzee Mwinyi akawageuka wenzake, na kilichobaki sasa ni histori
Wazanzibar wakamsaliti ndani ya NEC. Alipewa u VP kumpooza lakini alistaafu kwa uchungu na anaishi nao.
kuvurugika kwa Bunge la Katiba sehemu kubwa sana ni kutokana na usaliti wa Wazanzibar.