Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #121
Huo mkoa wa pwani umejaliwa mawaziri wengi. Pia nauona mnyukano Kati ya Jk na Makamba family. Ni suala la muda, tusubiri.Jaffo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mkoa wa pwani umejaliwa mawaziri wengi. Pia nauona mnyukano Kati ya Jk na Makamba family. Ni suala la muda, tusubiri.Jaffo?
Kwan hawa ni team tofautiPia nauona mnyukano Kati ya Jk na Makamba family. Ni suala la muda, tusubiri.
Siasa zina mambo Mengi, Sasa ugomvi unakuja Mtoto wa Nani atangulie kuwa RaisKwan hawa ni team tofauti
Kuwa mtoto wa mjini siyo lazima uzaliwe mjini.! Kuwa mtoto wa mjini Kunahitaji tu, akili ya kuufahmu mji,Kona zake ,shughuli zake, mipango yake na kuwa na uwezo wa kunufaika na hata kutawala na kudhibiti fursa zote za muhimu zilizopo mjini.
Kuwa mtoto wa mjini Kunahitaji uelewa wa kila kinachoendelea mjini na kuwa na uwezo wa kunufaika na kila fursa iliyopo mjini.
Ukiwa na uwezo wa kutawala au kudhibiti fursa zilizopo mjini hapo wewe ni zaidi ya mtoto wa mjini. Kwa maelezo haya utaelewa kuwa kuzaliwa mjini na kuwa mtoto wa mjini ni vitu viwili tafauti sana.
Unaweza kuzaliwa mjini, ukakulia mjini lakini ukawa huna habari ya chochote kinachoendelea mjini , hapo utaanzaje kujiita mtoto wa mjini??!!
Mwagito kwanini siku hizi JK haitwi Dr Jakaya na badala yake mnamuita tu Mh. Jakaya? Au u dr huko ccm ni kwa ajili ya mwanaccm akiwa rais tu? Je Samia mtaendelea kumwita Dr baada ya 2030?Umeambiwa 2005 uwe muelewa!
Inawezekana nafsi ilimsutaNafsi ilikuwa inamsuta kwa sababu alisemaga sio MTZ ni mwarabu wa Di-Pi-World
Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.
Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika bila kumpa Rais mstaafu Kikwete fursa ya kuzungumza mambo adhimu kuhusu Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim.
Ikumbukwe Kikwete aliwahi kuwa waziri wa mbo ya nje miaka 10.
Kwa vyotevyote vile lazima kakutana na kufanya kazi na Dr Salim Ahmed Salim akiwa OAU.
Pia Kikwete alikuwa mtumishi ktk chama huku Dr Salim akiwa waziri Mkuu na baadae waziri wa nchi za nje katikati ya miaka ya 1980
Wakati Kikwete akiingia bungeni Mara ya Kwanza 1988, Dr Salim alikuwa waziri wa nchi za nje. Hivyo wanafahamiana pakubwa tu, kwani Jk yeye alianza na unaibu waziri wa Nishati na Madini 1988 baada ya kuteuliwa ubunge.
Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?

Alishiriki kumfanyia fitina kuteuliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano, 2004/2005! Walimpa majina yote mabaya,hizbu, nk,Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.
Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika bila kumpa Rais mstaafu Kikwete fursa ya kuzungumza mambo adhimu kuhusu Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim.
Ikumbukwe Kikwete aliwahi kuwa waziri wa mbo ya nje miaka 10.
Kwa vyotevyote vile lazima kakutana na kufanya kazi na Dr Salim Ahmed Salim akiwa OAU.
Pia Kikwete alikuwa mtumishi ktk chama huku Dr Salim akiwa waziri Mkuu na baadae waziri wa nchi za nje katikati ya miaka ya 1980
Wakati Kikwete akiingia bungeni Mara ya Kwanza 1988, Dr Salim alikuwa waziri wa nchi za nje. Hivyo wanafahamiana pakubwa tu, kwani Jk yeye alianza na unaibu waziri wa Nishati na Madini 1988 baada ya kuteuliwa ubunge.
Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?
Ha ha ha! Unadhani anamafanikio gani kunishinda? Au unadhani wote tulio humu jamii forum ni waganga njaa. Tuliza akili jamii forum ni watu wa kila aina, kiuchumi, kisiasa, na kijamii. Hujui ukoo wangu wala hunijui.Dua ya kuku haimpati mwewe. Bila kujali katumia njia gani mafanikio aliyoyapata wewe na wajukuu zako hamtayafikia. Toka kajitafutie riziki yako ama mambo ya siasa yana wenyewe. Wanasiasa woteee ! Nasema wote waliopita na waliopo wa chama tawala na pia wapinzani kwa kuwa ni wanasiasa woteee!! Uwaonavyo sivyo walivyo!!,uwafikiriavyo sivyo walivyo, ila wao wapo kama walivyo. Ni watu wanaotangaza kwa nguvu zote kile wanachotaka watu wakiamini hata kama kitu chenyewe wao hawakiamini lakini kama kinawapa maslahi watajifanya wanakiamini. Kwaufupi WANASIASA WOTE NI WAIGIZAJI.
Umesababisha nimuonee huruma Dr SalimIli aanze kuzunguka mbuyu wakati watu wanajua aliyesema Dr. Salim sio mtanzania na hizbu ni nani? Mwalimu Nyerere, Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani. Hakuwa ana bahatisha.
Kati ya "Lulu" njema za Tanzania, ambazo alizilinda kwa maarifa na nguvu zake zote ni Dr. Salimu. Wakati ule Dr. Salimu alipokuwa kijana, kama angeachwa akae kule na wale wana mapinduzi, sidhani kama angefika alipofika.
Huyu ni mzalendo wa kweli. Ni Mtanzania haswa. Na anastahili kupewa nafasi yake sababu ya matendo yake. Sio ujanja ujanja, rushwa na maadili mabovu ya uongozi ambayo wengine wengi wanafikiri wanapoyafanya, watanzania hawayaoni.
Ipo siku kila mtu atavuna anayopanda. Kwangu mimi, Salute Dr. Salim Ahmed salim kwa yote uliyoitendea ardhi yetu ya Tanzania.
Mwenye macho haambiwi ona...na mwenye masikio haambiwi sikia...muda utaendelea kutenga pumba na mchele.
Nadhani asingekuwa na la kusema zaidi ya kumuomba radhi Salim kwa maneno ya hovyo waliombaka kupitia wantandao wakiongozwa na kichwa cheupe, kwa ahadi ya kuachiwa kijiti baada ya mbio kumalizika.Protocol ya kawaida sana
Cha ajabu kichwa cheupe hakuachiwa huo UraisNadhani asingekuwa na la kusema zaidi ya kumuomba radhi Salim kwa maneno ya hovyo waliombaka kupitia wantandao wakiongozwa na kichwa cheupe, kwa ahadi ya kuachiwa kijiti baada ya mbio kumalizika.
Wakati fulani ni bora sana kunyamaza ili yaliyotokea yasikumbukwe.
History comes back to haunt you!Inafahamika ccm wakati ule Imemezwa na mtandao wa Chikwete na Mamvi Walimchafua sana Dr Salim.
2015 influence ya BWM ili take cover, Kwasasa kumzuia si kazi ndogo.Angekua mamba Magufuli asingepita CCM 2015!
Hata ndugu yetu Zitto aligusia jinsi Salim alivyochafuliwa lakini hakwenda mbali kuogopa kumgusa godfather wake!Nilijua huwezi tia neno sababu maslahi kugongana
Ni wazi usio na shaka kundi la mtandao walimchafua Sana DR SALIM
Watoto wadogo hawawezi kukuelewa masterVijana mnapenda miteremko ndio maana mnalia lia sijui dr.Salim alifanyiwa figisu niwakumbushe mamlaka hajawahi kuja kirahisi rahisi duniani kote.Nyie mnaona akina Putin wanaua wanaenda kinyume nao au kuwa challenge Bure.Figisu kwenye siasa kawaida sana.Acheni kulia lia
Waliomkataa Dr SAS ni Wazanzibar ndani ya NEC kwa tuhuma ni Hizbu
JK na mtandao wana shea yao. Siri ambazo TISS Wamekataa isiwekwe wazi ni hii, ili kumsitiri Jakaya na kundi lake
JokaKuu Pascal Mayalla