Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?

Mimi katika yote mengi yaliyoandikwa kwenye mada hii, haya maneno machache tu "...jabari la siasa hili..." ndiyo yaliyonitoa pumzi.
WaTanzania hupenda sana kutia chumvi, tena nyingi, hata pasipostahili kuwemo chumvi.

Mada umeipangilia vizuri kabisa katika mtiririko unaoeleweka; halafu hata kabla hujaifikisha penyewe hasa, ukaamua kuibwaga tu chini kama zigo lililokulemea na huwezi kuendelea kulibeba hata kwa hatua moja tu?

Kuna uzito gani ambao ungekuwa mgumu sana kwako kuuelezea kabla ya kuuliza swali llako.

Hukujua chochote kuhusu kugombea urais uliowahusisha hao watu wawili? Ingekuwa umeharibu mada yako kama ungegusia lolote kuhusu tukio hilo lililowahusu hao wawili?

Unaacha hapa liwe kama fumbo kwa wasomaji wako, au siyo?
 
Kikwete kashiriki pakubwa sana chini ya wanamtandao kumsulubu vibaya sana Salim Ahmed Salim. Angekua muungwana angetumia hiyo fursa kutubu!
Na kwamba alikubali mwaliko wa kuwepo kwenye hadhara hiyo, bila shaka kuna jambo nyuma yake.

Ingekuwa uungwana sana kusema kitu. Kukaa kimya ndiko huku kunakoendelea kuzua sintofahamu.
 
Magufuli mjini hakuletwa na JK.... Magufuli aliingia mjini enzi ya Mwinyi chini ya bahasha toka kwa Julius Nyerere na kukabidhiwa kwa Mkapa aliyemfikisha hapo alipoishia.

Unajua nani aliileta familia yao nchini? Dhumuni lake unalijua? Unaonekana mtoto sana kwa siasa za nchi hii.
SANA! 🙌🏾
 
Enzi hzo tunasoma shule za msingi Dr Salim alikuwa maahrufu mno katibu mkuu wa OAU

KUNA vijana hap wanyoa viduku hawamjui huyu nguli
Kwani vijana wa siku hizi Dr. Wanajua nini?!

Ni hasara tupu maskini! Yaan nikitafakari miaka ishirini ijayo tutakuwa na kizazi cha KISENGE MNO! jitu linabahatisha kumaliza degree halina chochote linajua masikini zaidi ya story za kina Diamond na kina Nay wa mitego, iPhone mpya, Umalaya na ngono, mademu, kuwaza maisha mazuri na magari makali bila hata kujua vinapotoka ndomana matoto yetu mengi yanaishia kuwa MASENGE!, Club na Kunyoa minyoo ya KISENGEKISENGE tu! Napatwaga na hasira sana!

Natamani aje kiongozi kama yule wa Korea anyooshe hiki kizazi.. 😔😔😔
 
Magufuli mjini hakuletwa na JK.... Magufuli aliingia mjini enzi ya Mwinyi chini ya bahasha toka kwa Julius Nyerere na kukabidhiwa kwa Mkapa aliyemfikisha hapo alipoishia.

Unajua nani aliileta familia yao nchini? Dhumuni lake unalijua? Unaonekana mtoto sana kwa siasa za nchi hii.
Magufuli alizaliwa Nkome, kisha wakaahamia Chato. miaka ya themanini mwanzoni wakazi wengi wa Nkome walihamishwa na wengi walienda Morogoro huko Ifakara na wengine Tabora na kadhalika.
Magafuli aliingia mjini miaka ya themanini akisoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Wakati huo wanaomuita mshamba walikuwa hata Dar hawaijui. Wengine walikuwa bado wako Kigoma wakivuna mawese na kwenda primary bila viatu huku miguu imejawa na vumbi.
 
Watu wanajadili ya maana na yenye mantiki wewe unaongea upuuzi! Sasa babu seya ni nani kwenye nchi hii?! Amechangia nini?! Yeye ni wa kwanza kwenda jela na wa mwisho?! Watanzania wangapi wamefungwa Congo?! Umetaka kuwasikia au kujua historia zao?! Huyo Babu seya kama aliwapelekea vigogo upuuzi wake wacha wamnyooshe iwe funzo kwa wengine wa aina yake.
Masikini Babu Seya

Hivi yuko wapi?
 
Ni uzuzu wa Watanzania kumuona Lowassa shujaa kwa vile alikuwa anagawa pesa.

Lakini huyo mzee alipaswa kunyongwa hadharani tena uchi .

Amecheza michezo michafu sana na mkwere.

Kubenea hawezi kumsahau kwa zile tindikali.

Kama Mungu hujibu basi kuna watu wameanza kula matunda ya kazi zao.
Walio haribu hii nchi ni Lowasa na Kikwete kwa tamaa zao kutaka uongozi wa nchi. Ndo maana waliishia kusalitiana.
Hili nitaongea wazi. Kikwete ni mtu mbaya sana tena ni mwenye fitina, anaroho ya husuda na anadhani bila yeye Tanzania aiwezi kwenda. Huyu Kikwete na mwenzie Lowasa walimzushia DR: Salim Hamed Salim na kujenga chuku dhidi yake.

Huyu huyu Kikwete alimchukia Nyerere hadi leo. Kikwete hafai hata kukaribishwa Ikulu. Ukimkaribisha anataka yeye awe na sauti. Muda alotumika ulimtosha aachie nchi iongozwe na Rais aliyepo. Si kujifanya yeye ni mshauri mkuu.

Kikwete amefanya nchi hii imekuwa na vijana machawa kuwekana katika madaraka na kujenga siasa za chuki. Yeye mwenyewe alishakiri kuwa CCM ilifikia wakati uwezi acha maji mezani. Kisa kuogopa kumalizana. Na hii ilikuwa wakati wake Kikwete.

Kikwete ndo alianza mambo ya mtandao na Lowasa, madaraka yakaanza kutolewa kwa upendeleo. UDC, URC, na kadhalika vikawa vyeo vya kujuana. Hakukuwa tena na utaalam na sifa kama za zamani.

Wakavuruga hadi usalama wa Taifa kwa kuanza kuweka watu kiundugu na kujuana. Umahili ule wa zamani wa usalama wa Taifa ukaisha. Usalama umebaki kujipendekeza tu.

Hii mbegu imepandwa kipindi cha Kikwete na Lowasa. Kikwete hafai, harafu hana hata soni. Alitakiwa akae nyumbani kwake apumzike.

Kwa mara ya kwanza alipokuwa Rais kijana wake akawa kama prince, yaani anasauti utadhani nae anacheo katika nchi. Haya mambo hayakuwepo toka wakati wa Nyerere, Mwinyi, na Mkapa.

Kikwete umemaliza muda wako pumzika. Tuachie mama yetu. Muache basi nae afanye maamuzi yake. Usipomuingilia akatulia anauwezo wa kufanya vizuri. Shida Kikwete. Please leave her!

Kama Kikwete usikii Mungu anakuona. Anaona unayoyafanya kwa watanzania. Soon ukishupaza shingo Mungu ataingilia kati.
 
Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.

Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika bila kumpa Rais mstaafu Kikwete fursa ya kuzungumza mambo adhimu kuhusu Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim.
Ikumbukwe Kikwete aliwahi kuwa waziri wa mbo ya nje miaka 10.

Kwa vyotevyote vile lazima kakutana na kufanya kazi na Dr Salim Ahmed Salim akiwa OAU.
Pia Kikwete alikuwa mtumishi ktk chama huku Dr Salim akiwa waziri Mkuu na baadae waziri wa nchi za nje katikati ya miaka ya 1980

Wakati Kikwete akiingia bungeni Mara ya Kwanza 1988, Dr Salim alikuwa waziri wa nchi za nje. Hivyo wanafahamiana pakubwa tu, kwani Jk yeye alianza na unaibu waziri wa Nishati na Madini 1988 baada ya kuteuliwa ubunge.

Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?
kwasababu muda ulikua mchache na mambo yalikua mengi mno.
 
UNAKUMBUKA uchaguzi wa 2005 walichomfanyia dr salim?
 
Watu wanajadili ya maana na yenye mantiki wewe unaongea upuuzi! Sasa babu seya ni nani kwenye nchi hii?! Amechangia nini?! Yeye ni wa kwanza kwenda jela na wa mwisho?! Watanzania wangapi wamefungwa Congo?! Umetaka kuwasikia au kujua historia zao?! Huyo Babu seya kama aliwapelekea vigogo upuuzi wake wacha wamnyooshe iwe funzo kwa wengine wa aina yake.
Babu Seya ni Mtanzania kama alivyo Yeriko Nyerere, Said Kubenea, Peter Madeleka na wengine

Kama alidhulumiwa na kuteswa bila sababu nina haki ya kuulizia alipo

Aliwaletea vigogo upuuzi gani mama?
 
Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.

Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika bila kumpa Rais mstaafu Kikwete fursa ya kuzungumza mambo adhimu kuhusu Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim.
Ikumbukwe Kikwete aliwahi kuwa waziri wa mbo ya nje miaka 10.

Kwa vyotevyote vile lazima kakutana na kufanya kazi na Dr Salim Ahmed Salim akiwa OAU.
Pia Kikwete alikuwa mtumishi ktk chama huku Dr Salim akiwa waziri Mkuu na baadae waziri wa nchi za nje katikati ya miaka ya 1980

Wakati Kikwete akiingia bungeni Mara ya Kwanza 1988, Dr Salim alikuwa waziri wa nchi za nje. Hivyo wanafahamiana pakubwa tu, kwani Jk yeye alianza na unaibu waziri wa Nishati na Madini 1988 baada ya kuteuliwa ubunge.

Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?
Kwa sababu ratiba Alibaba sana hakukuwa na muda wa kutosha halafu machege umbea.
 
Back
Top Bottom