Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Duh!Hapo unachokitafuta tuseme yaliyojili kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Hadi kwenye kumpitisha mgombea Urais, CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Hapo unachokitafuta tuseme yaliyojili kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Hadi kwenye kumpitisha mgombea Urais, CCM.
Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?
Unaropoka sana bwana mdogo!Hahahahahaaaaa! Huyo magufuli wenu mjini kaletwa na kina JK
Na kwamba alikubali mwaliko wa kuwepo kwenye hadhara hiyo, bila shaka kuna jambo nyuma yake.Kikwete kashiriki pakubwa sana chini ya wanamtandao kumsulubu vibaya sana Salim Ahmed Salim. Angekua muungwana angetumia hiyo fursa kutubu!
SANA! 🙌🏾Magufuli mjini hakuletwa na JK.... Magufuli aliingia mjini enzi ya Mwinyi chini ya bahasha toka kwa Julius Nyerere na kukabidhiwa kwa Mkapa aliyemfikisha hapo alipoishia.
Unajua nani aliileta familia yao nchini? Dhumuni lake unalijua? Unaonekana mtoto sana kwa siasa za nchi hii.
Kwani vijana wa siku hizi Dr. Wanajua nini?!Enzi hzo tunasoma shule za msingi Dr Salim alikuwa maahrufu mno katibu mkuu wa OAU
KUNA vijana hap wanyoa viduku hawamjui huyu nguli
Magufuli alizaliwa Nkome, kisha wakaahamia Chato. miaka ya themanini mwanzoni wakazi wengi wa Nkome walihamishwa na wengi walienda Morogoro huko Ifakara na wengine Tabora na kadhalika.Magufuli mjini hakuletwa na JK.... Magufuli aliingia mjini enzi ya Mwinyi chini ya bahasha toka kwa Julius Nyerere na kukabidhiwa kwa Mkapa aliyemfikisha hapo alipoishia.
Unajua nani aliileta familia yao nchini? Dhumuni lake unalijua? Unaonekana mtoto sana kwa siasa za nchi hii.
Masikini Babu Seya
Hivi yuko wapi?
Walio haribu hii nchi ni Lowasa na Kikwete kwa tamaa zao kutaka uongozi wa nchi. Ndo maana waliishia kusalitiana.Ni uzuzu wa Watanzania kumuona Lowassa shujaa kwa vile alikuwa anagawa pesa.
Lakini huyo mzee alipaswa kunyongwa hadharani tena uchi .
Amecheza michezo michafu sana na mkwere.
Kubenea hawezi kumsahau kwa zile tindikali.
Kama Mungu hujibu basi kuna watu wameanza kula matunda ya kazi zao.
Kaamua kuwa mkimya,maana akiongea mnatafsiri mengineKama hakupewa nafasi ulitaka ajipeleke kwenye kinasa sauti!
kwasababu muda ulikua mchache na mambo yalikua mengi mno.Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.
Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika bila kumpa Rais mstaafu Kikwete fursa ya kuzungumza mambo adhimu kuhusu Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim.
Ikumbukwe Kikwete aliwahi kuwa waziri wa mbo ya nje miaka 10.
Kwa vyotevyote vile lazima kakutana na kufanya kazi na Dr Salim Ahmed Salim akiwa OAU.
Pia Kikwete alikuwa mtumishi ktk chama huku Dr Salim akiwa waziri Mkuu na baadae waziri wa nchi za nje katikati ya miaka ya 1980
Wakati Kikwete akiingia bungeni Mara ya Kwanza 1988, Dr Salim alikuwa waziri wa nchi za nje. Hivyo wanafahamiana pakubwa tu, kwani Jk yeye alianza na unaibu waziri wa Nishati na Madini 1988 baada ya kuteuliwa ubunge.
Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?
UNAKUMBUKA uchaguzi wa 2005 walichomfanyia dr salim?Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.
Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika bila kumpa Rais mstaafu Kikwete fursa ya kuzungumza mambo adhimu kuhusu Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim.
Ikumbukwe Kikwete aliwahi kuwa waziri wa mbo ya nje miaka 10.
Kwa vyotevyote vile lazima kakutana na kufanya kazi na Dr Salim Ahmed Salim akiwa OAU.
Pia Kikwete alikuwa mtumishi ktk chama huku Dr Salim akiwa waziri Mkuu na baadae waziri wa nchi za nje katikati ya miaka ya 1980
Wakati Kikwete akiingia bungeni Mara ya Kwanza 1988, Dr Salim alikuwa waziri wa nchi za nje. Hivyo wanafahamiana pakubwa tu, kwani Jk yeye alianza na unaibu waziri wa Nishati na Madini 1988 baada ya kuteuliwa ubunge.
Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?
Bora hakuzungumza, ni mzee mfitini sana na ana vimelea hatari vya usaliti alimchafua mno SAS 2005.Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?
Babu Seya ni Mtanzania kama alivyo Yeriko Nyerere, Said Kubenea, Peter Madeleka na wengineWatu wanajadili ya maana na yenye mantiki wewe unaongea upuuzi! Sasa babu seya ni nani kwenye nchi hii?! Amechangia nini?! Yeye ni wa kwanza kwenda jela na wa mwisho?! Watanzania wangapi wamefungwa Congo?! Umetaka kuwasikia au kujua historia zao?! Huyo Babu seya kama aliwapelekea vigogo upuuzi wake wacha wamnyooshe iwe funzo kwa wengine wa aina yake.
SKumbe?Nilijua huwezi tia neno sababu maslahi kugongana
Ni wazi usio na shaka kundi la mtandao walimchafua Sana DR SALIM
Kwa sababu ratiba Alibaba sana hakukuwa na muda wa kutosha halafu machege umbea.Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.
Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika bila kumpa Rais mstaafu Kikwete fursa ya kuzungumza mambo adhimu kuhusu Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim.
Ikumbukwe Kikwete aliwahi kuwa waziri wa mbo ya nje miaka 10.
Kwa vyotevyote vile lazima kakutana na kufanya kazi na Dr Salim Ahmed Salim akiwa OAU.
Pia Kikwete alikuwa mtumishi ktk chama huku Dr Salim akiwa waziri Mkuu na baadae waziri wa nchi za nje katikati ya miaka ya 1980
Wakati Kikwete akiingia bungeni Mara ya Kwanza 1988, Dr Salim alikuwa waziri wa nchi za nje. Hivyo wanafahamiana pakubwa tu, kwani Jk yeye alianza na unaibu waziri wa Nishati na Madini 1988 baada ya kuteuliwa ubunge.
Kwanini jabali hili la siasa hakuzungumza chochote juu ya Mwanadiplomasia Dr Salim?
Mimi sio mwenye uziKaamua kuwa mkimya,maana akiongea mnatafsiri mengine