Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Mkuu jaap, your concern ni very genuine, na hii ni plus plus kwa Rais Samia as An African Woman, Tanzanian Woman na a Zanzibari lady, wanawake huwa hawajengi kwao, angekuwa ni mwingine, baada tuu ya yeye kuwa Rais wa JMT, tungeshuhudia ujenzi wa Ikulu ya Kizimkazi fasta!.Mh Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi kanishangaza baada ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini,, anatoka hotelini na msafara anaenda kwao, Je kwao haja jenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini kilo mita 7 kutoka kijijini kwao au ndo anatumia tozo zetu.
Watu wengine wanajitoa ufahamu tu, wanajua fika kuwa Rais haamui mwenyewe pa kukaa.
BMW msambaa wa lushoto yuleMbona BWM alikua halali pale lupaso,alikua anaenda kulala mtwara mjini au dar? Ni maamuzi.
Hata ujenge ikulu kwenu hawezi kulala na mumewe sababu ya milaumilazao solution waendelee kulala hoteliniMkuu jaap, your concern ni very genuine, na hii ni plus plus kwa Rais Samia as An African Woman, Tanzanian Woman na a Zanzibari lady, wanawake huwa hawajengi kwao, angekuwa ni mwingine, baada tuu ya yeye kuwa Rais wa JMT, tungeshuhudia ujenzi wa Ikulu ya Kizimkazi fasta!.
Kwa vile mimi ni miongoni wa waelimishaji umma humu, kwa kuwafunza kuhusu Ikulu ya Chato Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! na ili kurahisisha usafiri wa Chato, mimi Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!, sasa maadam kijiji alichozaliwa rais wetu ni Kizimkazi, jee kuna ubaya wowote tuanze maandalizi ya uhamasishaji wa ujenzi wa Ikulu ndogo ya Kizimkazi?. Sio lazima ijengwe kwa fedha za serikali, bali hatua ya kwanza ni tubadili baadhi ya mila na desturi za kibaguzi za asili za mtoto wa kike akiolewa, atajenga kwa mumewe kule alikoolewa!. Sasa binti huyu wa Kizimkazi ndiye rais wa JMT, apewe nafasi Watanzania tumjengee ili eneo hilo liwe ni eneo muhimu la kihistoria kijiji alipozaliwa rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania. Rais wetu awe huru kwenda likizo ndefu Kizimkazi kama zile likizo za Chato.
Mnalionaje hili?.
Pĺ
THANK YOU,RAIS HUPANGIWA AKAE WAPI,KWA JINSI TAKWA LA KIUSALAMA LITAKAVYOPENDEKEZA.Rais haamui yeye alale wapi?
Hivi huwa wanalinda mwili au roho?Rais analindwa 24/7- na Kuna mazingira yanatakiwa yawalidhishe Wanaomlinda ndo wampe rukhusa ya kukaa,Kula au kulala hapo. So Kama Nyumbani kwao bado Mazingira sio rafiki kiusalama itabidi kulala sehemu nyingine.Ndo maana kila Mkoa una Ikulu kuepusha haya
Watapiga rangi nyumba ya mtu wowote yule hata jirani na lami itajengwa usiku na mchana.Ila siku akindanji utaona WAnampereka kwao......Kwa SASA hawapajui
Ndio maana huku anaishi hotelini tu 😂Kwao ni Oman huko ni sehemu aliyokulia
Kwani alikwambia atakwenda kwao kila mwezi?Hizo gharama anazotumia mahotelini na timu yake na kwa thamani ya hotel za zanzibar kwa miaka mitano si anajenga ikulu ndogo hata tatu? Maana akifika anapishwa hotelini.
Zanzibar ni kisiwa cha utalii duniani watu maarufu wana michezo wakubwa Duniani wanaenda kutalii Zanzibar,, Zanzibar kuna hoteli kulala tu usiku moja million 6 na hoteli zipo vijiji uko.Kama kijiji kina hotel ya kumuacomodate president , hicho kijiji kipo vema sana.
Waswahili huwa hawajengi makwaoMh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Siyo maamzi tu ni kwamba kwao nyumba ni za hovyoMbona BWM alikua halali pale lupaso,alikua anaenda kulala mtwara mjini au dar? Ni maamuzi.