Kumbe hujamuona?Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Mumewake labda atakuwa kakataa maza kujenga sasa unafikiri maza atafanyaje akileta viburi mwisho apigwe chini tuwe na Raisi singo maza.Mkuu yeye kalala hotelini tena karibu na kwao alipo zaliwa asubuhi anatoka hoteli anaenda nyumbani kwao hii imekaaje,, mbona Ma Raisi wote waliopita wakienda kwao wanafikia nyumbani kwao mfano Nyerere Butiama kwake kabisa na nyumba yake ilikuwa ya kawaida sana, Kikwete alikuwa akienda kijijini kwao Msoga alikuwa afikii hotelini anafikia kwake, Magufuli tulikuwa tunamuona Chato yupo kwake, nimeshangaa Mama yeye inamaana tokea awe mbunge mpaka makamu wa Raisi na sasa Raisi ina maana haja jenga nyumba nzuri ya yeye kufikia.?
Unavyorushia maua mpakaMkuu jaap, your concern ni very genuine, na hii ni plus plus kwa Rais Samia as An African Woman, Tanzanian Woman na a Zanzibari lady, wanawake huwa hawajengi kwao, angekuwa ni mwingine, baada tuu ya yeye kuwa Rais wa JMT, tungeshuhudia ujenzi wa Ikulu ya Kizimkazi fasta!.
Kwa vile mimi ni miongoni wa waelimishaji umma humu, kwa kuwafunza kuhusu Ikulu ya Chato Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! na ili kurahisisha usafiri wa Chato, mimi Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!, sasa maadam kijiji alichozaliwa rais wetu ni Kizimkazi, jee kuna ubaya wowote tuanze maandalizi ya uhamasishaji wa ujenzi wa Ikulu ndogo ya Kizimkazi?. Sio lazima ijengwe kwa fedha za serikali, bali hatua ya kwanza ni tubadili baadhi ya mila na desturi za kibaguzi za asili za mtoto wa kike akiolewa, atajenga kwa mumewe kule alikoolewa!. Sasa binti huyu wa Kizimkazi ndiye rais wa JMT, apewe nafasi Watanzania tumjengee ili eneo hilo liwe ni eneo muhimu la kihistoria kijiji alipozaliwa rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania. Rais wetu awe huru kwenda likizo ndefu Kizimkazi kama zile likizo za Chato.
Mnalionaje hili?.
Pĺ
Lakin mm naona aliwakosea sana,kama walikua wanamchukia kwanin walimpa ubunge?Watu wa Lupaso mliwaua wazazi wake kwa kuwatuumu wachawi yeye kanisa likamuokoa likamlea na kumsomesha ndiyo maana hakutaka kupasikia wala kuijenga Lupaso na kusini yote aliichukia.
Samia kajenga bara nyumba kali sana tu hapo MbweniSerikali ijenge sasa kwanini inamfanyia hivi kiongozi wetu
hizo gharama anazo tumia kwa nini asijenge kwao nimeishia kucheka tu kwamba hizo gharama anatoa yeye amaAna mwaka sasa ameshindwaje kuweka mazingira vizuri ya kwao ili kila akifika huko afikie?
Hizo gharama anazotumia mahotelini na timu yake na kwa thamani ya hotel za zanzibar kwa miaka mitano si anajenga ikulu ndogo hata tatu? Maana akifika anapishwa hotelini.
Je akiwa makamu wa rais alikuwa anafikia wapi? Yaani akienda ugenini nchi za nje afikie hotelini, akiwa home village pia afikie hotelini?
Zanzibar wana tozo kama hizi? Usiseme watanzania, sema watanganyika.Matumizi mabaya ya tozo tunazokamuliwa wa tanzania
Yeye aliwachukia siyo wao, kwasababu mambo mabaya walifanyiwa wazazi wake kipindi yeye yupo mdogo sana kwaiyo akalelewa na kanisa katoliki na kusomeshwa,, kwaiyo wana Lupaso hawa mchukii.Unavyorushia maua mpaka
Lakin mm naona aliwakosea sana,kama walikua wanamchukia kwanin walimpa ubunge?
Watu hawafatilii ila wanaona mfano Kikwete alale bangamoyo asubuhi aende Msoga unafikiri wananchi hawata muona anatoka hotelini asubuhi na kurudi usiku kwenda kulala?Wabongo bwana nalo hili lakufatiliwa [emoji51][emoji51][emoji34][emoji34]
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kwani kuna ubaya ikiwa ivo???!Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Hapa hatuzungumzii mila na desturi wala kuingilia na right to privacy ya rais wetu analala na nani!. Hapa tunazungumzia Rais wa JMT wa Awamu ya 6, kijijini kwao alipozaliwa ni Kizimkazi, akiamua kwenda likizo hawezi kufikia kijijini na kulala hapo kutokana na hadhi aliyonayo sasa hivyo kulazimika kulala hoteli 7km away.Mila na desturi itakua haziruhusu, haiwezekani yeye na mumewe kama yupo nae ziarani,wote kwa pamoja,wakalale nyumbani kwa mwanamke,kwanza ni dharau na bilashaka labda mumewe hana nyumba ya hadhi ya Rais kuweza kufikia,na kwa mila zao ni jukumu la mwanaume kujenga nyumba ya aina hiyo.
Kwasasa,kwasababu mumwewe hajaweza kujenga nyumba ya aina yake Rais,inaonelewa afikie hotelini.
Yeye si kaolewa jamani! Toka lini binti ,akajenga nyumba yake kwao? Yeye kwake ni kule kwa mumewe, huku ni mgeni. Na si lazima ulale kuwabana wadogo zako uliowaachaMh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Alibadili kabila akajenga lushoto na akaishi huko baada ya kustaafuSio mmakua wa kule lupaso?
Unapajua huko lkn !!! ni mbali na mji, maendeleo bado sanaa.Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Kura ni za Jimbo Zima. Lupasu sio Jimbo, huwenda alikuwa anapata vijiji vingineUnavyorushia maua mpaka
Lakin mm naona aliwakosea sana,kama walikua wanamchukia kwanin walimpa ubunge?
Hiyo hoteli ikoje?Mkuu yeye kalala hotelini tena karibu na kwao alipo zaliwa asubuhi anatoka hoteli anaenda nyumbani kwao hii imekaaje,, mbona Ma Raisi wote waliopita wakienda kwao wanafikia nyumbani kwao mfano Nyerere Butiama kwake kabisa na nyumba yake ilikuwa ya kawaida sana, Kikwete alikuwa akienda kijijini kwao Msoga alikuwa afikii hotelini anafikia kwake, Magufuli tulikuwa tunamuona Chato yupo kwake, nimeshangaa Mama yeye inamaana tokea awe mbunge mpaka makamu wa Raisi na sasa Raisi ina maana haja jenga nyumba nzuri ya yeye kufikia.?
Lami kutoka masasi Hadi pale kwake.Mkuu lami kutoka wapi kwenda wapi,,ndani ya mkoa wake wilaya tatu kati ya tano hakuweka lami na maji shida ...yaani ni mbovmbovu tu...ndio maana hakujenga kwao...
Acha basi,ni Yule chief Tu ndio aliuawa,lakini Maza alikufa Kwa maradhi Tu maana alikua mnene Hadi hawezi kuinuka.Wanaotoa Stori wanasema chief akikunyooshea kidole kesho hufiki.Watu wa Lupaso mliwaua wazazi wake kwa kuwatuumu wachawi yeye kanisa likamuokoa likamlea na kumsomesha ndiyo maana hakutaka kupasikia wala kuijenga Lupaso na kusini yote aliichukia.