Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

Samia kajenga bara nyumba kali sana tu hapo Mbweni
Hiyo ya Mbweni ni nyumba yake mwenyewe personal house kama ile ya Msasani kwa Nyerere, Ursino kwa Jakaya, Upanga kwa Mkapa etc, serikali ina wajibu kumjengea Mama nyumba ya maana kijijini kwake!.
P
 
Hiyo ya Mbweni ni nyumba yake mwenyewe personal house kama ile ya Msasani kwa Nyerere, Ursino kwa Jakaya, Upanga kwa Mkapa etc, serikali ina wajibu kumjengea Mama nyumba ya maana kijijini kwake!.
P
Hivi Man bado tu una sugua benchi??
Hija pata hata kaUtezi kweli????
 
Mbona jpn walimuua hao hao wanaomlinda. Akawekea musu baadaye aliyemukewa naye wakaondoka naye baada ya kuwekewa hela akakubali kufanya yake naye wakafanya yao


ACHA apumzike, safari za nje zinachosha Sana, ila pia akiwa Tanganyika kwenye ziara anapata watu wengi na kusimama mda mrefu, mbona hamna huruma, lakini huwa Halali Sasa hamtaki apumzike🤣
 
Ni njia ya kupiga hela. Msafara wote unagharimiwa na serikali.
Halafu anapata kickback kutoka kwa wamiliki wa hoteli kama hoteli siyo yake mwenyewe.

Na pia ni njia ya kupeleka Zanzibar hela ya Tanganyika Haimuumi chochote na ameshatuona ni mazezeta, hatumfanyi lolote.
 
Tuta jenga ikulu ngapi..? Mm naona raisi yupo kazini hapaswi kulala kwao kisa tu kaenda kikazi karibu na kwao.
 
Tuta jenga ikulu ngapi..? Mm naona raisi yupo kazini hapaswi kulala kwao kisa tu kaenda kikazi karibu na kwao.
Kila rais wa JMT anapaswa kujengewa kwao!. Tutajenga as many as marais wetu, wakifika 100, tunajenga hata zikifika 100!
P
 
Kila rais wa JMT anapaswa kujengewa kwao!. Tutajenga as many as marais wetu, wakifika 100, tunajenga hata zikifika 100!
P
Sawa. Ila kwq mtazamo wangu wakiwa katika ziara za kikazi naona sio lazima walale kwao. Na raisi samia kaolewa hivyo naamini kajenga kwake na mumewe hilo sina wasi wasi nalo kwa saana. Maana tamaduni zetu tuna zijua mkuu. Na labda hajalala kwao kwa kuzingatia ukubwa wa matumizi na ratiba za kikazi maana msafara ni mrefu wote watalala kwao, waliopo kwenye msafara wake.
 
Naunga mkono hoja zako zote, lakini hoja yangu bado inasimama, maadam rais wa sasa wa Tanzania alizaliwa Kizimkazi, then eneo hilo liwe elevated, wageni watakaokuja kutembelea historia ya Samia, hawatahitaji kuona kaolewa wapi!, au amejenga wapi?. The history ni mahali alipozaliwa, alipokulia, aliposomea na alipoanzia!. Kama ile Nyumba ya Nyerere Magomeni inatunzwa, itakuwa ni alipozaliwa Samia?!.
P
 
Hapo nimekuelewa. Ila.pia naamini kwao nyumba nzuri tu zipo kawajengea wazazi wqke kama wapo hai bado. Labda kama ipo sheria ya kuwajengea maraisi wetu makwao mansion kila mmoja kwa wakati wake. Mengine atapaboresha mwenyewe zaidi.
 
Unapajua huko lkn !!! ni mbali na mji, maendeleo bado sanaa.
Napajua nimeishi miaka 7, Kama hujui Zanzibar huduma za kijamii zipo kila sehemu na huwezi kumuona mwanamke waki Zanzibar akibeba ndoo ya maji kichwani umbali wa mita 50 kutoka anapoishi, na Zahanati zipo karibu na usafiri siyo washida na wa Zanzibar hawana njaa sana, Ndiyo maana Mzanzibari anaweza kukupa nyumba ukae bure au ukiishiwa kodi anaweza akakuvumilia ata miezi 4 unakaa bila kukusumbua, Wao wa Zanzibar mali na utajiri siyo kipaumbele chao wanalizika na maisha ya kawaida tu" utakuta kiongozi mkubwa anaishi maisha ya kawaida sana.
 
RAIS Ni alama ya TAIFA, ZANZIBAR HAKUNA IKULU NDOGO ya RAIS was jamhuri ya muungano, HIVYO NI MUHIMU KUWA NA IKULU NDOGO KWA MAKAZI YA RAIS
Kwenye alama za Taifa Rais hayupo Bali Bendera ya Rais ndio ipo, pia alama za Taifa ni kujumuisha Fedha ya Tanzania,Mnyama Twiga, wimbo WA Taifa, Nembo ya Taifa na Bendera ya Taifa hiyo ni KWA mujibu wa Elimu ya Uraia
 
Sasa mgogoro wa wazaz wake yeye aliuingilia wa nini?kama walistahili kufanyiwa Hivo yeye kwanini ahukumu Wananchi waliompigia Kura?Shida watu wa kule pia hawataki kwao!
Hizo ni kashifa kwetu watu wa kusini. Nyie mmejazana Dar lakini mbona hatuwasemi? Sisi tulioko huku Nkotokwiana vijijini unawezaje kusema hatupendi kwetu? Acha hizo.
 
Wao wa Zanzibar mali na utajiri siyo kipaumbele chao wanalizika na maisha ya kawaida tu" utakuta kiongozi mkubwa anaishi maisha ya kawaida sana.
Its true, hata wale nanilii wao wa zile huduma hizi na zile, Wanzanzibari wenyewe halisi hawapangi bei ni wewe tuu mwenyewe kuwapa asante.

Kiukweli ni wastaarabu sana, wataratibu sana, wanyenyekevu sana na hawana makuu!. Ndio maana hata Mama ni rais wa JMT kwa zaidi ya mwaka sasa, angekuwa mwingine saa hizi ni ghorofa na uwanja wa ndege!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…