kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Asiseme ukweli???We ni mpumbavu na mwenye dharau sana
Kwanini ikulu hawakuwataja hao “viongozi mbali mbali” wa huko Ghana? Waziri wa mambo ya nje nk bado wanaweza kuwa viongozi mbali mbali.Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu.atleast alivyoenda uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.
Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?
View attachment 2236003
Wanekusikia wenyewe umesema wametoka kwenye marejesho ya vicoba lazima ungechezea za usoAsiseme ukweli???
Kwan hiyo picha si imejieleza, angalia hata wearing style ya waliompokea, huoni kama wametoka kwenye vikoba??
[emoji23][emoji23] et mkuu wa wilayaWe ni mpumbavu na mwenye dharau sana
Bila kumtukana mleta hoja,Picha zinaonyesha kabisa.Bora angepokelewa hata kimyakimya.Hayo mapokezi ya wenyeji hayajakaa kidplomasia kabisa.Huyo mmoja kama mpiga debe alochangamka.Hakustahili kabisa kuwa kwenye hiyo foleni.We ni mpumbavu na mwenye dharau sana
Labda hiyo safari siyo rasimi kwa serikali ya Ghana. Kama ilivyokua Royal Tour, ile safari haikua rasimi kwa Rais wa Marekani ndiyo maana hakupokelewa na Biden. Hiyo ya Ghana kwa picha hiyo, kama ndiyo yenyewe, mapokezi hayo si ya level ya Rais wa nchi.Bila kumtukana mleta hoja,Picha zinaonyesha kabisa.Bora angepokelewa hata kimyakimya.Hayo mapokezi ya wenyeji hayajakaa kidplomasia kabisa.Huyo mmoja kama mpiga debe alochangamka.Hakustahili kabisa kuwa kwenye hiyo foleni.
Labda Katibu Tarafa ulipo Uwanja wa Ndege.Ebanae!
Kama huyo jamaa alievaa kachumbali sijui ana cheo gani hapo