Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Labda alikuwa mdokozi