Naona bado anatafuta cha kukujibuNa mkuu wa Tiss akitaka kuondolewa Rais anashauriwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona bado anatafuta cha kukujibuNa mkuu wa Tiss akitaka kuondolewa Rais anashauriwa na nani?
Kuna mdau kakuuliza baada ya hili jibu lako. Mjibu basi mjuvi wetuTISS
Alikuwa akitekeleza kwa kasi maelekezo ya Rais ikwawakosesha wengine ulaji wakampiga fitna aondolewe
Mbuge ni mkorofi na mbabe sana, ila ni msimamiaji mzuri na hapendi ubabaishaji. Hapendwi na junior wala senior officers.Mbuge ni moja ya Askari wanaopendwa sana na Wanajeshi waliopitia mikononi mwake, the Guy is so smart
Samia na watu wake wa Karibu walihofia ushawishi wake ndani ya jeshi.
He is not part of the establishment,yeye sio mmoja wa system iliyopo sasa hv,ni kitu Cha kawaida.Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Sio fitna. Yeye kama mkuu wa JKT vijana wanakatwa hela ile inaitwa ya kizalendo yeye alichukua hatua gani kama alikuwa sio yeye? Hela inakuja 50,000 ila kabla haijafika inakatwa kama nusu na hapo ikifika inanunua vitu kambini kwa bei ghali. Nyinyi ndio mnasema SSH anahujumiwaHii itakuwa fitna na pengine ilipikwa na wajanja kwa kisingizio kuwa anapelekewa hiyo pesa kumbe walikula wenyewe juu kwa juu,
Mkuu wa JKT unamlinganisha na RC kimaslahi? are u seriousAcha ujinga wa kidini ndg yangu!!! Kumpa ukuu wa mkoa kampendelea sana,maslahi ya jeshini tunayajua ni madogo ukilinganisha na maslahi mapana aliyopewa sasa hivi
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Kwahiyo wewe ni ndugu yake umekuna kumtetea huku?Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
MtajeTumewahi kuona RC ambaye alikuwa Lieutenant General sembuse huyu Major General!
Mtaje
Kwa hiyo alipoondolewa akawekwa Muislamu, au?Angekuwa Muslim mpaka muda huu tunavyojadili hili suala angekuwa bado yupo katika nafasi aliyoondolewa. Kwa sasa siyo Muislam basi ndiyo maana aliondolewa katika kitengo kile.