Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

Mbuge ni moja ya Askari wanaopendwa sana na Wanajeshi waliopitia mikononi mwake, the Guy is so smart

Samia na watu wake wa Karibu walihofia ushawishi wake ndani ya jeshi.
Nikweli mshikaji angeweza pindua vizuri tu na hakuna ambaye angemletea fyuuuu.....hata mdosi wake angewekwa mateka...kwani jkt waliandamana kipindi cha nani? Msiwe mnasahau bana
 
Acha ujinga wa kidini ndg yangu!!! Kumpa ukuu wa mkoa kampendelea sana,maslahi ya jeshini tunayajua ni madogo ukilinganisha na maslahi mapana aliyopewa sasa hivi
Kupelekwa mikoa ya mipakani ndio jambo la kumuadhibu viongozi wakubwa wa kijeshi....ni kawaida yao kupeana adhabu kwa mtindo huo...jamaa kaadhibiwa...
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Naona wengi wamekwepa kuusema ukweli kwamba miradi mingi walopewa JKT ilinyima fursa kwa wapigaji.

Hivyo kwakuwa raisi Samia anaelewa umuhimu wa wapigaji na wenye kutaka fedha kwa njia za madili na mkato kulikuwa na ulazima wa kurudisha miradi hiyo na kutoa tenders kwa wapigaji.

Hata kama inasemwa Jenerali Mbuge alikuwa ni mpigaji, lakini kwa mfano nyumba ya kawaida ya mtumishi wa serikali badala ya kukadiriwa ujenzi wake uwe shilingi milioni 100 na mpigaji kwa JKT ingegharimu kiasi cha milioni 40-80 tu.

Kwa kuwa twataka kuendelea kuwa na watu wa aina ya Lugumi basi yote yadhihirisha lengo khasa la kuwepo kwa mama Samia kwenye awamu hii.

Huo ndo ukweli.

Mungu atuepushe na mabalaa zaidi watanzania.
 
Naona wengi wamekwepa kuusema ukweli kwamba miradi mingi walopewa JKT ilinyima fursa kwa wapigaji.

Hivyo kwakuwa raisi Samia anaelewa umuhimu wa wapigaji na wenye kutaka fedha kwa njia za madili na mkato kulikuwa na ulazima wa kurudisha miradi hiyo na kutoa tenders kwa wapigaji.

Hata kama inasemwa Jenerali Mbuge alikuwa ni mpigaji, lakini kwa mfano nyumba ya kawaida ya mtumishi wa serikali badala ya kukadiriwa ujenzi wake uwe shilingi milioni 100 na mpigaji kwa JKT inghegharimu kiasi cha milioni 40-80 tu.

Kwa kuwa twataka kuendelea kuwa na watu wa aina ya Lugumi basi yote yadhihirisha lengo khasa la kuwepo kwa mama Samia kwenye awamu hii.

Huo ndo ukweli.

Mungu atuepushe na mabalaa zaidi watanzania.
Amen,uzuri Mungu lile balaa kubwa kabisa alishatuondolea mwezi uleeee.Tuna unafuu Sasa hivi.
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Inawezekana hayuko tayari kuyumbishwa ndio maana wakatafuta mtu anayepiga saluti kwa utii bila kujali madhara
 
Wote tunafaham kwamba Major General Mbuge alikua anaandaliwa kuwa CDF. Na kwakua mama alikua ndani ya mfumo, basi itoshe tu kusema kwamba kuna mengi aliyajua ambayo pengine sio ya kufurahisha sana.
Zipo tetesi nyingi za wivu pia
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Mbuge alikuwa anakata Tsh 20,000 ya posho kwa kila kichwa cha kijana aliyeko mafunzoni. As such akawa ndiyo chanzo cha mgogoro wa vijana dhidi ya jeshi
 
Mbuge alirukishwa vyeo kimuhemuko na jiwe kiasi ya kwamba seniority haikuzingatiwa, ila yote kwa yote jamaa ni fogo sana kapiga sana kibunda kwenye ukuta wa mererani na ujenzi wa Ikulu
Kumbe ni Wivu siyo?
 
Mbuge alikuwa anakata Tsh 20,000 ya posho kwa kila kichwa cha kijana aliyeko mafunzoni. As such akawa ndiyo chanzo cha mgogoro wa vijana dhidi ya jeshi
Hii itakuwa fitna na pengine ilipikwa na wajanja kwa kisingizio kuwa anapelekewa hiyo pesa kumbe walikula wenyewe juu kwa juu,
 
Mbona hukuwahi kuuliza kwa nini Magufuli alimuondoa CAG-Prof Assad ilihali hakuwa ametimiza miaka 60? Kama Katiba inavyotaka?
Na badala yake unauliza suala ambalo sio la kilazima au hakuna masharti yoyote kwa mtu wa cheo hicho asitolewe!
Magufuli aliulizwa sana hadi tasisi za kimataifa zilimuliza kwani wewe hukuwepo kipindi hicho ?
 
Rais hawezi kutishwa na kiongozi yeyote wa kijeshi,upole na unyonge unaouona kwa raia ndo huo huo upo Jwtz,polisi,Magereza nk hamna watu majasiri wa kumtingisha rais hata Iweje,,,hivyo Mbuge hakuondolewa kwa sababu ya kuogopwa bali kwa mipango mingine ambayo rais aliipima akaona ampeleke huko
Kwenye kupima ndipo Rais alidanganywa na wenye wivu na mbuge
 
Back
Top Bottom