Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

Mbuge alipandishwa vyeo haraka na kupewa sifa waziwazi ili aandaliwe kisaikolojia. Wakati bunge la Jobo lingekuwa chini ya Magu na katiba ikabadilishwa ili Magu agombee tena "kwa kulazimishwa" au kuombwa basi hiyo 2025 tiyari Mabeyo ashastaafu na Mbuge anakuwa CDF. Kwa kuwa hakustahili basi angekubali kumlinda Magu ambaye wakati huo kuanzia 2026 hangekuwa anastahili.

Maandalizi yalikuwa yanaenda sambamba na kuwa na bunge la kijani tu na kuzuia mikutano ya upinzani. SSH alijua Mbuge hayuko satisfied naye na ni threat kuwa rank za juu jeshini. Makamanda wengine walikuwa hawapendi kumuona Mbuge anapendelewa mwishoni waliobaki wote hawakuwa wanamtaka.

Haya ni maoni yangu. Nachukia mtu anapotoa maoni binafsi bila angalizo mwingine atajua ndio fact na evidence
 
Mbuge ni moja ya Askari wanaopendwa sana na Wanajeshi waliopitia mikononi mwake, the Guy is so smart

Samia na watu wake wa Karibu walihofia ushawishi wake ndani ya jeshi.
Mbuge ni mkorofi na mbabe sana, ila ni msimamiaji mzuri na hapendi ubabaishaji. Hapendwi na junior wala senior officers.
Mbuge ni mzuri mkiwa vitani ila sio wakati wa amani kama huu
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
He is not part of the establishment,yeye sio mmoja wa system iliyopo sasa hv,ni kitu Cha kawaida.
Pole pole,bashiru,Makonda wote walitamba Awamu iliyopita.
Sasa hv ipo imeingia Awamu nyingine imewapiga chini.
 
Hii itakuwa fitna na pengine ilipikwa na wajanja kwa kisingizio kuwa anapelekewa hiyo pesa kumbe walikula wenyewe juu kwa juu,
Sio fitna. Yeye kama mkuu wa JKT vijana wanakatwa hela ile inaitwa ya kizalendo yeye alichukua hatua gani kama alikuwa sio yeye? Hela inakuja 50,000 ila kabla haijafika inakatwa kama nusu na hapo ikifika inanunua vitu kambini kwa bei ghali. Nyinyi ndio mnasema SSH anahujumiwa
 
Acha ujinga wa kidini ndg yangu!!! Kumpa ukuu wa mkoa kampendelea sana,maslahi ya jeshini tunayajua ni madogo ukilinganisha na maslahi mapana aliyopewa sasa hivi
Mkuu wa JKT unamlinganisha na RC kimaslahi? are u serious
 
MG Mbuge aliteuliwa kuwa RC siku kadhaa baada ya vijana wa JKT kuandamana kwenda Ikulu. Yawezekana kuna jambo nyuma ya pazia lilichochea jambo hili ikabidi kuweka balance.
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?

Tumewahi kuona RC ambaye alikuwa Lieutenant General sembuse huyu Major General!
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Kwahiyo wewe ni ndugu yake umekuna kumtetea huku?
 
jkt ni mgini hata jiwe aliwaondoa aliowakuta huko ili aweke watu wake wale kwa pamoja kuna mmoja alitupwa uyahudi akawe mwambata ubalozini aligoma kwenda ila mwisho yakamshinda ikabidi aende tu
 
Jeshi halitaki siasa na ushabiki upande,usiomtaka wao walimtaka ,hata hivyo mwacheni afanye kazi
 
Angekuwa Muslim mpaka muda huu tunavyojadili hili suala angekuwa bado yupo katika nafasi aliyoondolewa. Kwa sasa siyo Muislam basi ndiyo maana aliondolewa katika kitengo kile.
Kwa hiyo alipoondolewa akawekwa Muislamu, au?
 
Back
Top Bottom