Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?


Labda alikuwa mdokozi
 
siioni tofauti ya mbuge na makamba kiutendaji.... ni mbabaishaji anaejua kucheza na fursa.

waliofanya nae kazi wanamjua.....

..Ni kweli kwamba Maza kawarudisha jeshini na kawapandisha cheo Mbuge, na Gaguti?
 
Nikwasababu nchi yetu inasheria dhaifu, teuzi na tengua ni maamuzi ya mtu binafsi, tungekuwa na sheria za hao wateuliwa kuwa wanapatikana kwa utaratibu fulani huo ujinga wa kila rais kuja na steps zake isingekuwepo
Nchi ya hovyo sana hii!
 
Naona kafia india...
Poleni ndugu na jamaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…